Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 949
- 2,865
Yaani kwenda kucheza pambano moja kisha kurudi zake Tanga
Wazanzibar wamejaa choyo husuda nongwa hadi kuandika barua kupinga mtanganyika kucheza pambano lake Huko Zanzibar
Wanasema hiyo ni fursa ya Wazanzibar pekee sio watanganyika!!!
Tukiwaambia Zanzibar hakuna MUUNGANO muwe mnaelewa.
Kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar
Kwa mujibu wa kanuni taratibu na sheria za SMZ na Zanzibar
Kila kitu cha Zanzibar ni kwa Wazanzibar pekee yao
Kuna Kocha mmoja tu wa bara amepewa kufundisha timu inaitwa KVZ lakini anabaguliwa kupita maelezo
Huku Zanzibar aende mgeni kutoka Kenya, Uganda, Burundi, Urusi, China, Ulaya ataheshimika lakini sio kutoka Tanganyika
Atabaguliwa kwa kila hali
Mfano Mdogo tu Mwakinyo kupeleka pambano lake Zanzibar wakati SMZ imetoa kibali na rukhusa
Wazanzibar wanasema rukhusa hiyo ni ya Wazanzibar peke yao. Watanganyika hawahusiki hivyo wacheze michezo huku kwao Tanganyika.
Haya hapa malalamiko ya mwakinyo mpaka anajiuliza huo na kinachoitwa muungano upo wapi ??
Kwa ufupi Wazanzibar wanataka waendelee na utaratibu wa kudumu wa CHAO CHAO cha Watanganyika pia CHAO mazima