Mabomu yamwibua Lowassa, arudi kwa kasi

Mwikimbi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,762
825
Sasa Lowassa amepata pa kuanzia, kama mjumbe na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya bunge ametangaza rasmi kuwa atawatembelea waathirika, na tena huenda akaanzisha harambee kuwachangia.

DOWANS - January Makamba
Mabomu ya jeshi - Lowassa

Hebu jaribuni kuweka uhusiano hapo
 
Ukweli hayo yaliyopo Pekers Arusha ndio yatamaliza huo mji. Ni upuuzi wa hali ya juu kuweka eplosives kwenye makazi ya watu . Aibu kuu Tanzania. maeneo ya jeshi Huko mondoli nimakubwa ajabu lakini mabomu ya vita ya Uganda yako Moshono Pekrs.
 
usituweke hewani bwana,tujaribu kuweka uhusiano gani?atimize wajibu wake kama mwenyekiti wa kamati,wahanga wasaidike,thats all i care about.....hayo mengine its up to him,kwasasa,tunafikiria wahanga na tunataka ukweli wa kilichotokea na uwajibikaji!!
 
Ukweli hayo yaliyopo Pekers Arusha ndio yatamaliza huo mji. Ni upuuzi wa hali ya juu kuweka eplosives kwenye makazi ya watu . Aibu kuu Tanzania. maeneo ya jeshi Huko mondoli nimakubwa ajabu lakini mabomu ya vita ya Uganda yako Moshono Pekrs.
mkuu una maana na haya nayo yanatarajiwa kulipuka?
 
mkuu una maana na haya nayo yanatarajiwa kulipuka?

Kwa nini yasilipuke kama life span imeisha au mazingira yakuyatunza sio ideal?? serikali isipuuzie hili swala . Makambi yote mabomu yateguliwe.

Nini kazi ya panya wa SUA ? kwa nini wasitumike kugundua mabomu yanayokaribia kulipuka?

:A S 20::A S 20::A S 20: RIP na pole majeruhi
 
Sasa Lowassa amepata pa kuanzia, kama mjumbe na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya bunge ametangaza rasmi kuwa atawatembelea waathirika, na tena huenda akaanzisha harambee kuwachangia.

DOWANS - January Makamba
Mabomu ya jeshi - Lowassa

Hebu jaribuni kuweka uhusiano hapo

Hoja yako ina aina fulani ya mwelekeo ya kufanya uchunguzi zaidi maana its too much coincidencces! HAMAD asubuhi ya leo kasema huenda kuna hujma!! nashauri kama kuna mwandishi wa habari humu jamvini amuulize vizuri HAMAD atufafanulie ili tupate pahala pa kuanzia!!!!!!!
 
Ukweli hayo yaliyopo Pekers Arusha ndio yatamaliza huo mji. Ni upuuzi wa hali ya juu kuweka eplosives kwenye makazi ya watu . Aibu kuu Tanzania. maeneo ya jeshi Huko mondoli nimakubwa ajabu lakini mabomu ya vita ya Uganda yako Moshono Pekrs.
Wewe Mfamaji nani kakwambia kuwa kuna mabomu T/Parkers. Don't assume my dear, the place is safe. Don't wory.
 
haiwezekani...tena haiwezekani
kama ingekuwa inawezekana basi wasingemchagua jamaa tena kupita bila kupingwa..lol..
K wa ccm inasezekana sana, kwa sababu akili zao zote zilishafikia kikomo cha kufikiria na kuona Lowasa ndio basi
who cares?..yes we do, but they don't and are the ones holding powers.
Tanzania bila Edward Lowassa inawezekana!
 
Sasa Lowassa amepata pa kuanzia, kama mjumbe na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya bunge ametangaza rasmi kuwa atawatembelea waathirika, na tena huenda akaanzisha harambee kuwachangia.

DOWANS - January Makamba
Mabomu ya jeshi - Lowassa

Hebu jaribuni kuweka uhusiano hapo
hawa viongozi wote kkuwatembelea wananchi then what next ...solution ? wamesikia pale ni kule serengeti wanakoendaga.....waache SIHASAuanzia baba yao kikwete wanatuzingua tu wazee....mabomu yameshalipuka mara tatu hii na zote wameenda !
 
Anajaribu kutusahaulisha tuone amezaliwa upya katika vazi la kuwajali wa TZ. Unafiki utawaua wapenda madaraka kwani hapa ndo anataka sasa aonyeshe yeye ni mtu mwema aliyewapenda wa TZ. Na hii ndo maana ana juhudi za kuonyesha bado DOWANS inahitajika ila kilichokosewa pale ni mkataba ila tu alikuwa na lengo zuri tu la kuwasaidia wa TZ.

Tunahitaji mawazo mapya na siyo mawazo yaliyopigwa msasa au kufutwa vumbi.
 
Na zile mvua za kutengeneza vipi atatuletea maana huku kishapu pakavu sana
 
Guys mssingize siasa kwenye issue ambazoni serious, Lowassa fisadi, watoto na akina mama wanahitaji msaada , kama nyie hamtoi akitoa yeye tatizo liko wapi? hivi mmeiona hali?? au ni kuandika andika tu! people are crying Lowassa alijua yatalipuka?? fxxx!!!!1
 
Back
Top Bottom