Mabomu yamwibua Lowassa, arudi kwa kasi

MABOMU YALIPUKA!!!!
:A S 20:
Kwanza kabisa nawapa pole wale wote walio poteza ndugu na mali zao katika janga hili.
Pili nawapa pole wale wote ambao wamejeruhiwa kwa namna moja au nyingine kutokana na mkasa huu wa mabomu kulipuka.
Tatu. Raisi Kikwete hakikisha unapokea taarifa kamili kuhusu mkasa mzima na uitangazie umma ni nini kilicho sababisha mabomu hayo kulipuka. Hakikisha wahusika wote kuanzia juu mpaka chini unawa-wajibisha kikamilifu. Wafukuze kazi mara moja kwa kuwa wazembe katika kazi zao. Hakikisha wale wote walioathirika na janga hili wanafidiwa kisawasawa. Kwa walio poteza maisha yao, hakikisha wanazikwa kwa heshima zote na wewe ukihuzulia mazishi yao.
Nne. Hakikisha ghala la kuhifadhia silaha za serikali zinahamishwa na kuwekwa mbali na makazi ya watu kwaajili ya usalama wa watanzania pamoja na usalama wa silaha zenyewe. Hakikisha idadi ya mabomu yote inapatikana (yaliyo lipuka pamoja na yaliyosalia).
Kama utashindwa kufanya hivyo, basi nakuomba wewe mwenyewe ujiwajibishe kwa kuachia ngazi.
Tano. Hili ni janga la Taifa zima na usizani kuwa ni la CCM pekee.
 
Sasa Lowassa amepata pa kuanzia, kama mjumbe na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya bunge ametangaza rasmi kuwa atawatembelea waathirika, na tena huenda akaanzisha harambee kuwachangia.

DOWANS - January Makamba
Mabomu ya jeshi - Lowassa

Hebu jaribuni kuweka uhusiano hapo

Mwakimbi,

Yaonekana kana kwamba ume-Think Great!



Hivi vitu kweli inaonekana kama vile ni pre-planned na MAFISADI! Kwamba hawa jamaa wameanza kuingia kwa GEAR YA REVERSE. Hii yaweza onekana kama vile ni coincidence but in reality is a strategic plan for the CORRUPTERS to clean themselves before the eyes of Tanzanians for the coming 2015 GE!. Nitaeleza kidogo kile ninaona kinatengenezwa hapa:
  1. JANUARI MAKAMBA-M/KITI KAMATI YA NISHATI&MADINI: Amepewa Ubunge makusudi akitokea IKULU kwa kazi maalumu ya kuirudisha DOWANS. Dalili zimejiionyesha kuwa baada tu ya Bunge kuanza akamlima barua Ngeleja kuhusu MGAWO wa umeme na hapohapo akapewa kuwa Mwenyekiti wa Kamati/Nishati na Madini.Baada tu ya kuanza kazi kama M/Kiti AKAPENDEKEZA MITAMBO YA DOWANS IWASHWE.Lengo ni kumsafisha EL kuwa RICHMONDULI/DOWANS haikuwa na tatizo ila Sita na Mwakyembe ndiyo tatizo.
  2. EDWARD LOWASA-M/KITI KAMATI YA ULINZI&USALAMA: Amepewa Ubunge makusudi pamoja na kuwa na TUHUMA za RICHMOND/DOWANS kwa kazi moja tu,nayo ni kumsafisha na kumrejeshea heshima EL na HATIMAYE AGOMBEE URAIS(URAHISI) 2015. Baada ya kuingia Bungeni tayari EL amepewa kuwa M/Kiti Kamati Ulinzi&Usalama for a purpose. Ili aonekana kuwa anafanya kazi yake kwa Umakini mkubwa imebidi kutengenezwe mazingira: AGIZA WANAJESHI WA GHALA LA SILAHA G/MBOTO WALIPUE MABOMU ILI M/KITI WA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA AINGIE KAZINI!!!Kama watu wamemuona JK kwenye eneo la matukio ya MABOMU BILA SHAKA wanaweza kupata picha halisi. JK alikuwa anaongea kwa kuchekacheka na kimzahamzaha KAMA VILE ALIJUA HILI TUKIO LITATOKEA na wala hakuwa akionyesha huzuni yoyote kuwa tukio hili limepoteza maisha ya Watanzania wasikouwa na hatia. Tayari kesha panga kuitisha KAMATI YA ULINZI&USALAMA chini ya Lowassa na yeye JK akiwa Amiri Jeshi Mkuu. Kumbuka JK na EL ni marafiki wa chanda na pete. Kazi ni moja kuweka mkakati wa kusafishana kwa ajili ya Uchaguzi wa 2015 kupitia MGONGO WA MABOMU YA G/MBOTO.
 
Back
Top Bottom