Mabomu yamwibua Lowassa, arudi kwa kasi

Mabomu yamwibua Lowassa, arudi kwa kasi

Guys mssingize siasa kwenye issue ambazoni serious, Lowassa fisadi, watoto na akina mama wanahitaji msaada , kama nyie hamtoi akitoa yeye tatizo liko wapi? hivi mmeiona hali?? au ni kuandika andika tu! people are crying Lowassa alijua yatalipuka?? fxxx!!!!1

...hapa tulipofika, siamini hata anaepita na ving'ora hovyo hovyo barabarani mchana kutwa kama ni JEIKEI. Simwamini EdL km ana nia yoyote njema kwa hao wahanga, na siamini kauli yoyote ya viongoz wetu. Na nina kila justification ya imani yangu. Ukinipinga, niaminishe otherwise!
 
Sasa Lowassa amepata pa kuanzia, kama mjumbe na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya bunge ametangaza rasmi kuwa atawatembelea waathirika, na tena huenda akaanzisha harambee kuwachangia.

DOWANS - January Makamba
Mabomu ya jeshi - Lowassa

Hebu jaribuni kuweka uhusiano hapo

Kwanza alitakiwa amwambie Mwinyi na Mwamuyange wajiuzulu.
Pili yeye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi afanye kazi zake za kibunge na si kuanza kutumia maafa ya watu kwa Publicity.
Tatu, Hatuhitaji harambee kuwasaidia wahanga na waathirika, Serikali inapaswa itoe misaada bila masharti, ni kosa lao, serikali ina pesa za kutosha. Hili lifanyike haraka kama malipo ya DOWANS.
Nne, Sisi wananchi tunawasaidia wenzetu, hivi sasa tupo mimi na wenzangu na tumeleta katoni za maji na vyakula kuwasaidia walioharibikiwa na nyumba, HATUHITAJI KAMPENI WALA HARAMBEE ZA EDWARD LOWASA. Wananchi tupo pamoja na tunafanyakazi pamoja.

Anachotaka kukitumia Lowasa ni matatizo ya watu kwa ajili ya manufaa yake kisiasa. Sasa hivi anawakusanya akina RA na baada ya muda utasikia zimekusanywa bilion 1.
Lowasa stop! stop unafiki. Serikali ina pesa za kutosha hatuhitaji harambee zako. Lowasa tuache na majonzi yetu usituchafue zaidi. Huna mamlaka ya kiroho ya kumsaidia mtu, wewe ni Libertine. Lowasa tupo msibani tuache tafadhali
 
hivi, amiri jeshi mkuu, hafikirii kuwa anapaswa kuweka majeshi yake yaweze kuwasaidia wahanga kila janga linapotokea? nimeshangaa kuona mawasiliano na waathirika yanakuwa kwa njia ya TV, hivi wale waathirika wanapoambiwa rudini au kimbilieni mabondeni, via TV links nani anaweza kukimbia mabomu huku anasoma text kwenye TV!

ujumbe waliokuwa wanautoa haukuwa unawasaidia walengwa. Kama kweli walikuwa na lengo la kuwasaidia watu basi wangepita kuwakusanya watu na kuwapa japo mahema wawahifadhi. sio mtu kakimbia toka gongo la mboto hado buguruni afu unasema atembee tena hadi uwanja wa taifa! Masikhara hayo.

kazi kuchekacheka tu, kama tupo kijiweni,
 
By the virtue of his conduct, attitude and fate atakuwa anashukuru mungu 4 what has happened. remember he is a capitalist and by principal ...capitalists have no human face...anabore ...alideclare bungen that ndege ya uchum imetake-off na kwamb kuna wat wanawaonea gele. Hiyo ndege imepaa?imetua?ama fix. ilikuwa 2007 kabla hajajiuzulu
 
Kampeni zinaanza mwenye rungu analitumia vizuri huyu jamaa lakini lazima tumkubali ana akili sana tatizo lake ni fisadi tu..
 
...hakyanan EdL 2015 huyoooo IKULU. Mpende mspende. Anaebisha tuekeane dau? Chama Chetu Mamluki bana!
 
...hakyanan EdL 2015 huyoooo IKULU. Mpende mspende. Anaebisha tuekeane dau? Chama Chenyewe Mamluki bana!
 
wakat umefika separation of power utekelezeke. ebu bunge liwaachie serikal watekeleze wajib wao wa kikatiba na wao wasijigeuze kama watendaji wa kila siku. they r hypocricy
 
Vi vyema kuwa muwazi, kati ya mafisadi wote I Like Lowasa
 
sasa lowassa amepata pa kuanzia, kama mjumbe na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya bunge ametangaza rasmi kuwa atawatembelea waathirika, na tena huenda akaanzisha harambee kuwachangia.

Dowans - january makamba
mabomu ya jeshi - lowassa

hebu jaribuni kuweka uhusiano hapo


hivi mimi nimekosea au...

Lowasa ni mwenyekiti kamati ya mambo ya nje????? Au nimesahau????
 
Waziri wa Ulinzi na Geshi la Kujenga Ufisadi anasubiri nini kujiuzuru? Yalipolipuka Mbagala hakujifunza lolote? U-Dr. wake unanipa mashaka!
 
usituweke hewani bwana,tujaribu kuweka uhusiano gani?atimize wajibu wake kama mwenyekiti wa kamati,wahanga wasaidike,thats all i care about.....hayo mengine its up to him,kwasasa,tunafikiria wahanga na tunataka ukweli wa kilichotokea na uwajibikaji!!


Lowasa anataka kutoka dada yangu so hiyo ni go ahead yake....nadhani tuuuuuuuu
 
Inawezekana sio msafi ,ni kweli.Lakn kwa hili la mabomu jamani na yeye ni binadamu anasikia uchungu kwa yaliyotokea...Lets not judge him too much!
 
mkuu una maana na haya nayo yanatarajiwa kulipuka?


Hayo hayatalipuka ila yatasafiri tu kwenda kwenye miji ya watu, rais ataenda kuwafariji akichekacheka huku akigusa mabaki ya mabomu na kusema ina maana hili limekuja mpaka hapa?
 
tutakaoamua kumrudishia popularity ni sisi wenyewe... i wouldnt blame him kwasababu he is a politician and that is what they normally do
 
Yote haya yamesababishwa na Anna Makinda. Ila tumejanjaruka siku hizi ikiisha tu hii single ya mabomu tunarudi tena katika ile albam ya Dowans ambayo jamaa hataki kabisa kuisikia na sisi tutaipiga mara nyingi zaidi. Jamaa alikuwa analitafuta sana hili gap la kurudi katika jamii kwa style fulani. Huenda anatamani wafe hata watu 200 ili ishu izungumziwe muda mrefu
 
Hivi wakuu ikitokea Lowasa kama mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Bungeni akashinikiza wahusika waliofanya uzembe kujiuzulu, halafu akaishinikiza Serikali iwalipe waathirika na wakalipwa na akashinikiza silaha kwenye makambi mengine zihamishwe au ziteketezwe na yote hayo yakatekelezwa. Atakuwa amesaidia au hajasaidia?

Binafsi nadhani tumlaumu Lowasa kwa madhambi yake lakini tusimzuie kutoa mchango wake wenye manufaa kwa nchi...
 
Back
Top Bottom