Mabloo Twitter kuna madem wakali

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Una ufala mob akii
Hahaha kweli yaani nimejitahidi kumaliza post zote nimetoka kapa naona watu mnanena kwa lugha yenu wenyewe mnaelewana vizuri tu
 
Kichwa cha habari nikajua anamaanisha wakaka sasa nakuja kukutana na comments sasa nakutana na vitu vyeusi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wananiinua sana tuu sema sasa hawaposti tena vitu vya maana wanawaza kuinuana tuu jamani
Hahahah wapwa bwana ndio niliona billnass anawaambia wasimuite tena mpwa anata kuwowa hawajui yeye ni mchumba wa mtu
 
Weka picha kukazia uzi bloo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe utakuwa mzoefu wa twitter kama unajua hiyo technic ya kutafuta mwenye tweet😂
 
😂😂😂ntaenda kufukua hiyo pinned tweet nikulipue
 
Kule kuna na vitu watu hawaelewi yaani.
Watu wako kule for purpose..

Sasa wewe nenda kule kijinga kijinga tuu [emoji23]
Sure, watu wako kule madhumuni ukiingia kijinga utachoreshwa watu wanapiga pesa wanapita mbele! walimchoresha dotto now kapotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…