Mabinti wa kiislam na usafi

Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
39,921
Points
2,000
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
39,921 2,000
Ni kweli, sio usafi wa mwili tu hata mazingira. Hiyo ndio sababu pekee huwa napenda kupanga nyumba yenye waislamu sie wagalatia tunazingua sana
 
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
39,921
Points
2,000
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
39,921 2,000
Haha Numby tunazungumzia usafi hayo ya kuliwa siku nyingine ila umeongea ukweli mtupu. Kuna mdada nilikuwa nakaa nae rum moja chuo alikuwa anajisitiri hatari ukikutana nae nje huoni mguu, mkono wala unywele wake alikuwa analiwa na mgalatia, pia alikuwepo muislamu mwenzie (huyu nadhani alikuwa hali) na kwao alikuwa ameacha mtu.
Wasafi wa mavazi ila kwenye kuliwa wapo vizuri,umekula watano na wenzio wamewala full kuwasifia tu mnyororo mrefu
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
3,248
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
3,248 2,000
Ni kweli, sio usafi wa mwili tu hata mazingira. Hiyo ndio sababu pekee huwa napenda kupanga nyumba yenye waislamu sie wagalatia tunazingua sana
Wewe ndio maana hunaga akili
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
3,248
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
3,248 2,000
Sawa mkuu ni kweli sina akili
Sijakuita mjinga kwa bahati mbaya, umesema huwa unapenda kupanga nyumba zenye waislamu sisi "nyie" wagalatia mnazingua sana

Biblia inasema hivi, jihadharini na wafarisayo wanaopaka chokaa makaburi lakini ndani yake ni mifupa mitupu

Ole wao waandishi na wafarisayo kwa kuwa mnasafisha ndani ya kikombe ndani yao mmejaa unyang'anyi
Injili kutoka matayo 23:1_13

Lala ukiitafakari hii mistari naamini sitakuja kukuita tena mjinga "KAMA" utabadilika
 
Mkuu ndio maana nimesema napenda kupanga nao kwa kuwa wako vizuri kusafisha nje ambako mimi haswaa ndio kunanihusu na ninakaa kwa raha. Kama hawasafishi 'ndani' mimi inanihusu nini aisee
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
3,248
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
3,248 2,000
Mkuu ndio maana nimesema napenda kupanga nao kwa kuwa wako vizuri kusafisha nje ambako mimi haswaa ndio kunanihusu na ninakaa kwa raha. Kama hawasafishi 'ndani' mimi inanihusu nini aisee
Tafakari tafakari tafakari.
 
Forum statistics

Threads 1,325,709
Members 509,271
Posts 32,200,230
Top