Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
mkuu ruta, sioni ubaya wa wao kuwa na kasi ya kutafuta waume.mabinti wengi hudhani njia rahisi ya kukwepa adha za umasikini ni kuolewa...............
Katika purukshani hizo za kutaka kuolewa hujikuta ngono nayo ipo mstari wa mbele kama vile kishawishi kwa pande mbili husika...................................
Na huko ndiko athari za kuambukizwa magonjwa yasiyotibika kama mdudu dudumizi hujitokeza......................................
Ushauri wangu weka kando ngono kwa gharama yoyote ile na hakikisha mnapimwa kwanza afya zenu....kama hataki mkimbie huyo mchumba kwa kasi ya mithiri ya mwanga au radi vile kwa sababu afya yako ni bora maradufu kuliko hiyo ndoa na hizo mali.................................ukianza kupekechwa na mdudu hata hizo mali na huyo mume utamchukia..................na utabakia ukisema.....kweli majuto ni mjukuu..........
Rutashubanyuma you are simple minded.
inawezekana wanaamini hivyo hasa wale walio na low education kutokana na ugumu wa maishi anona ndoa ni nafuu yake ila ki ukweli ndoa si suluhishi la matatizo ilani stress zilizofungamana na smooth layer ya upendo na ngono zembe ambapo baada ya muda mfupi sana hiyo layer huondoka na kuacha uhalisia wa maisha kuchukua mkondo wake................., ndoa si ya kukimbilia iache tu kama inakuja ije ila nt deal kwa sasa
Rose hayo ni maneno ya mkosaji
Unacheza na Harrier au Vitz wanaziba masikio na anayeto harrier hataki kusikia kitukinaitwa salama anataka asililizie pesa yake kwenye utelezi!!no else!!Mabinti wengi hudhani njia rahisi ya kukwepa adha za umasikini ni kuolewa...............
Katika purukshani hizo za kutaka kuolewa hujikuta ngono nayo ipo mstari wa mbele kama vile kishawishi kwa pande mbili husika...................................
Na huko ndiko athari za kuambukizwa magonjwa yasiyotibika kama mdudu dudumizi hujitokeza......................................
Ushauri wangu weka kando ngono kwa gharama yoyote ile na hakikisha mnapimwa kwanza afya zenu....kama hataki mkimbie huyo mchumba kwa kasi ya mithiri ya mwanga au radi vile kwa sababu afya yako ni bora maradufu kuliko hiyo ndoa na hizo mali.................................Ukianza kupekechwa na mdudu hata hizo mali na huyo mume utamchukia..................na utabakia ukisema.....kweli majuto ni mjukuu..........
Mabinti wengi hudhani njia rahisi ya kukwepa adha za umasikini ni kuolewa...............
Katika purukshani hizo za kutaka kuolewa hujikuta ngono nayo ipo mstari wa mbele kama vile kishawishi kwa pande mbili husika...................................
Na huko ndiko athari za kuambukizwa magonjwa yasiyotibika kama mdudu dudumizi hujitokeza......................................
Ushauri wangu weka kando ngono kwa gharama yoyote ile na hakikisha mnapimwa kwanza afya zenu....kama hataki mkimbie huyo mchumba kwa kasi ya mithiri ya mwanga au radi vile kwa sababu afya yako ni bora maradufu kuliko hiyo ndoa na hizo mali.................................Ukianza kupekechwa na mdudu hata hizo mali na huyo mume utamchukia..................na utabakia ukisema.....kweli majuto ni mjukuu..........
Get checked.., some people think/believe that they have to get married, no matter what..mainly due to peer pressure and/or better life. Afya yako should be a top priority.
Hahah ........... umeua hapo mkubwa ................ ila sio siru ............. dudumizi ni hatari ........... udongo unakula watu sio mchezo ......:sad:Unacheza na Harrier au Vitz wanaziba masikio na anayeto harrier hataki kusikia kitukinaitwa salama anataka asililizie pesa yake kwenye utelezi!!no else!!