Mabinti punguzeni kasi ya kusaka kuolewa.................

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,422
911,172
Mabinti wengi hudhani njia rahisi ya kukwepa adha za umasikini ni kuolewa...............

Katika purukshani hizo za kutaka kuolewa hujikuta ngono nayo ipo mstari wa mbele kama vile kishawishi kwa pande mbili husika...................................

Na huko ndiko athari za kuambukizwa magonjwa yasiyotibika kama mdudu dudumizi hujitokeza......................................

Ushauri wangu weka kando ngono kwa gharama yoyote ile na hakikisha mnapimwa kwanza afya zenu....kama hataki mkimbie huyo mchumba kwa kasi ya mithiri ya mwanga au radi vile kwa sababu afya yako ni bora maradufu kuliko hiyo ndoa na hizo mali.................................Ukianza kupekechwa na mdudu hata hizo mali na huyo mume utamchukia..................na utabakia ukisema.....kweli majuto ni mjukuu..........
 
mabinti wengi hudhani njia rahisi ya kukwepa adha za umasikini ni kuolewa...............

Katika purukshani hizo za kutaka kuolewa hujikuta ngono nayo ipo mstari wa mbele kama vile kishawishi kwa pande mbili husika...................................

Na huko ndiko athari za kuambukizwa magonjwa yasiyotibika kama mdudu dudumizi hujitokeza......................................

Ushauri wangu weka kando ngono kwa gharama yoyote ile na hakikisha mnapimwa kwanza afya zenu....kama hataki mkimbie huyo mchumba kwa kasi ya mithiri ya mwanga au radi vile kwa sababu afya yako ni bora maradufu kuliko hiyo ndoa na hizo mali.................................ukianza kupekechwa na mdudu hata hizo mali na huyo mume utamchukia..................na utabakia ukisema.....kweli majuto ni mjukuu..........
mkuu ruta, sioni ubaya wa wao kuwa na kasi ya kutafuta waume.
 
Inapokuja maadili naelewa kazi tunayo.................hakuna apendaye kuyafuatilia na kuyazingatia.........hii reaction is quite common until the fireworks inside somebody's body begins burning in earnest...................and then you will hear the gnashing of the teeth for lost opportunities.........
 
inawezekana wanaamini hivyo hasa wale walio na low education kutokana na ugumu wa maishi anona ndoa ni nafuu yake ila ki ukweli ndoa si suluhishi la matatizo ilani stress zilizofungamana na smooth layer ya upendo na ngono zembe ambapo baada ya muda mfupi sana hiyo layer huondoka na kuacha uhalisia wa maisha kuchukua mkondo wake................., ndoa si ya kukimbilia iache tu kama inakuja ije ila nt deal kwa sasa
 
Rutashubanyuma you are simple minded.

Better be simple-minded but fearing the Almighty God.....................

inawezekana wanaamini hivyo hasa wale walio na low education kutokana na ugumu wa maishi anona ndoa ni nafuu yake ila ki ukweli ndoa si suluhishi la matatizo ilani stress zilizofungamana na smooth layer ya upendo na ngono zembe ambapo baada ya muda mfupi sana hiyo layer huondoka na kuacha uhalisia wa maisha kuchukua mkondo wake................., ndoa si ya kukimbilia iache tu kama inakuja ije ila nt deal kwa sasa

Hoja hizi ninaziafiki mia kwa mia..................................
 
Kuolewa ni haki ya kila binadamu na ni wajibu wa kila mmoja msichana kwa mwanaume kutafuta mwenza. Ila zitumike njia sahihi na zisizo na adhari kama kupelekea kupata mgonjwa yasiyo na tiba kama Ukimwi. Ngono isiwe ni fimbo ya kumpata mwenza.
 
ndoa ninin jaman?
kwan lazma kuolewa ili ujione umekamilika na upate garantee ya hapnes?
wenye ndoa wanalia ao haifai sasa wewe tena unakonda kwa kuitaka ndoa mmh jaman
ebu acha ije in its own way na si kukonda kwa sababu yake
kuwa wew kuwa huru furaha kamili pia itakujia pasipo ata kuitaj john akuletee furaha!!
 
Rose hayo ni maneno ya mkosaji

kwa niaba ya rose pleas mtake radhi, wala si maneno ya mkosaji , kwa akilizako we unadhani ndoa ni kitu cha kukimbilia au kunganganiza pole we ndi hivyo ndoa sio nishu sana kama wanaume nnavyodhani kwamba ni kitu sooooo special kwa wadada no dear huo wakati ushapita
 
Mabinti wengi hudhani njia rahisi ya kukwepa adha za umasikini ni kuolewa...............

Katika purukshani hizo za kutaka kuolewa hujikuta ngono nayo ipo mstari wa mbele kama vile kishawishi kwa pande mbili husika...................................

Na huko ndiko athari za kuambukizwa magonjwa yasiyotibika kama mdudu dudumizi hujitokeza......................................

Ushauri wangu weka kando ngono kwa gharama yoyote ile na hakikisha mnapimwa kwanza afya zenu....kama hataki mkimbie huyo mchumba kwa kasi ya mithiri ya mwanga au radi vile kwa sababu afya yako ni bora maradufu kuliko hiyo ndoa na hizo mali.................................Ukianza kupekechwa na mdudu hata hizo mali na huyo mume utamchukia..................na utabakia ukisema.....kweli majuto ni mjukuu..........
Unacheza na Harrier au Vitz wanaziba masikio na anayeto harrier hataki kusikia kitukinaitwa salama anataka asililizie pesa yake kwenye utelezi!!no else!!
 
Get checked.., some people think/believe that they have to get married, no matter what..mainly due to peer pressure and/or better life. Afya yako should be a top priority.
 
Hapo wasema ukweli kabisa, Wazazi na jamii pia hua na mchango mkubwa, JITU laja na LEXUS ama Ballon, katoka DUBAI , madhahabu mengi shingoni, kabla watu hawaja mchunguza vizuri, kesha wahi kitoto cha wenyewe hata hakijui maneno!!!, Mara gafla jamaa kaanguka na bibie kaachiwa MZIGOOO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Get checked.., some people think/believe that they have to get married, no matter what..mainly due to peer pressure and/or better life. Afya yako should be a top priority.

Hapo umelongaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..................................................
 
Unacheza na Harrier au Vitz wanaziba masikio na anayeto harrier hataki kusikia kitukinaitwa salama anataka asililizie pesa yake kwenye utelezi!!no else!!
Hahah ........... umeua hapo mkubwa ................ ila sio siru ............. dudumizi ni hatari ........... udongo unakula watu sio mchezo ......:sad:
 
Hivi kuna muoaji kwa siku hizi bila kummega muolewaji??tukubali tukatae hii kitu is big issue waoaji wa bila kumega niwachache sana coz utaskia ndoa lea baada ya miezi 2 mke kajifungua.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom