Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
Mabinti wengi hudhani njia rahisi ya kukwepa adha za umasikini ni kuolewa...............
Katika purukshani hizo za kutaka kuolewa hujikuta ngono nayo ipo mstari wa mbele kama vile kishawishi kwa pande mbili husika...................................
Na huko ndiko athari za kuambukizwa magonjwa yasiyotibika kama mdudu dudumizi hujitokeza......................................
Ushauri wangu weka kando ngono kwa gharama yoyote ile na hakikisha mnapimwa kwanza afya zenu....kama hataki mkimbie huyo mchumba kwa kasi ya mithiri ya mwanga au radi vile kwa sababu afya yako ni bora maradufu kuliko hiyo ndoa na hizo mali.................................Ukianza kupekechwa na mdudu hata hizo mali na huyo mume utamchukia..................na utabakia ukisema.....kweli majuto ni mjukuu..........