Mabinti punguzeni kasi ya kusaka kuolewa.................

kaka wewe hembu acha hayo mambo
kitu cha muhiku ni borea kwa mwanamke kuolewa
na kutulizana na mtu mmoja ...
kuliko kula kila upande...
 
kwa niaba ya rose pleas mtake radhi, wala si maneno ya mkosaji , kwa akilizako we unadhani ndoa ni kitu cha kukimbilia au kunganganiza pole we ndi hivyo ndoa sio nishu sana kama wanaume nnavyodhani kwamba ni kitu sooooo special kwa wadada no dear huo wakati ushapita
asante
yan uyu ni kat ya wale vidume panya ambavyo vinazan maisha hayajakamilika bila ndoa
he is the special luza
dahh sjui anaish karne gan?
 
Rose hayo ni maneno ya mkosaji
tafuta maji kaogeshe ubongo wako
tafuta elimu ya utambuzi
tafuta makusudio ya bnadamu kuwepo dunian
tafuta dhana ya maisha tafuta dhana ya ndoa tafuta dhana ya happness....ukimaliza NIONE.
 
Rose hayo ni maneno ya mkosaji
IVI KUMBE SIJAOLEWA?
HATA KAMCHUMBA KAKUNIWEKA NDANI SJAWAI KUKAPATA NA WALA SINA?
EENH ennh jaman nilikuwa sijijui bwana....asante kwa kunikumbusha ma dEar ferds!!!!
 
Hivi kuna muoaji kwa siku hizi bila kummega muolewaji??tukubali tukatae hii kitu is big issue waoaji wa bila kumega niwachache sana coz utaskia ndoa lea baada ya miezi 2 mke kajifungua.

Hata CCM siku hizi wasema ukitaka kula sharti uliwe.....kwa hiyo tuna kazi hapo...........................
 
tafuta maji kaogeshe ubongo wako
tafuta elimu ya utambuzi
tafuta makusudio ya bnadamu kuwepo dunian
tafuta dhana ya maisha tafuta dhana ya ndoa tafuta dhana ya happness....ukimaliza NIONE.

Hapo umemwaga busara nzito na sina la kuongezea hata chembe...............................
 
Hivi kuna muoaji kwa siku hizi bila kummega muolewaji??tukubali tukatae hii kitu is big issue waoaji wa bila kumega niwachache sana coz utaskia ndoa lea baada ya miezi 2 mke kajifungua.
Kutesti zali muhimu, kina dada wenyewe wanaogopa asijefungiwa mbuzi ndani ya gunia ................ njemba
ina kamguu kam mtoto au ........... mchezo zero, si umemuona faithful kule katwambia yey moshi haendi
tena ......... lakini tatizo ni kote maana we ukisema humegi na siku ya siku unakuta ntoto ndo hivo tena keshamegwa kinona sasa unabaki na hasira ndani ya nyumba yako. Shida za nini bwana ...........................
 
Kwa mtazamo wangu dada zetu wengine wanakimbilia ndoa si kwa sababu ya fedha
yaweza tokea mdada kakaa muda mrefu 'aged' na hajaolewa na hana mtoto sasa hiyo inapelekea
kulazimisha ndoa na hapo mkware lazima atammega kwanza...... akingangania kupima kwanza
jamaa anamwaga then kama ndo bad lack imemuandama...............anaukwaa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom