Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
mmmm we nawe huchelewi? bado watakaje??? kumbukumbu ikinoga kweli lazima msisitizo fulani hivi...
Hasa ile ya aliyekukata bikira, siyo? Haya jibu swali sasa: Umeshaolewa wewe?
mmmm we nawe huchelewi? bado watakaje??? kumbukumbu ikinoga kweli lazima msisitizo fulani hivi...
hahaha! Mi na ZD tulikutana sote tukiwa bikira. Nothing to fear! Hahaha!
Hee! kwi kwi kwi kwi! FL1 leo umewaza nini? kweli umenifurahisha.Mie sina uhakika lakini sidhani kama kuna ukweli wowote.Sababu ukimpa jina la mtu uliyempenda na pengine alishawahi kukuumiza si utakuwa unakumbushia maumivu jamani?
ni vyema sasa kila mtu ajaribu kujitafakari yeye mwenyewe kwa nni amepewa jina lake,utakuta wamo humuhumu wenye majina ya baba zao wa kitambo!
Kama wewe ndio ulimtenda labda,lakini kama ulitendwa wee,ngumu kwa kweliwanasema ni vyema kumsamehe kwa maumivu aliyokupa,lakini si vyema kumsahau kwa aliyoyafanya kukupa maumivu,ukimwangalia mwanao uliyembatiza hilo jina unakumbuka kuna watu na binaadamu hapa duniani
Mchumba unatoa siri za ndani! hujui hili ni dili siku hizi kama walemavu wa nanihii,tusijetukakatwa viungo vyetu. Naomba usirudie tena kwa usalama wetu.
Mchumba unatoa siri za ndani! hujui hili ni dili siku hizi kama walemavu wa nanihii,tusijetukakatwa viungo vyetu. Naomba usirudie tena kwa usalama wetu.
compressor hahahahahah ur so ...... teteteteteeeh
umenichekesha mwenzio uwiiiiiiiiiiiiiii
kam huamini siku nyingine uliza watu ni kwa nini ameitwa hilo jina lake utastaajabu.mi nikiulizwa inakuwa ni rahisi nimeitwa compressor coz baba alikuwa fundi mafriji na kila friji linalokuja yeye anasema ubovu wake ni compressor,issue zake dili zake ni compressor,ziwe nzima hata mbovu,then nilipokuja na mimi kaniita compressor.hii si haki! si haki pia kwa mtoto utayemzaa kumwita jina kutokana na matashi ya nafsi yakocompressor hahahahahah ur so ...... teteteteteeeh
umenichekesha mwenzio uwiiiiiiiiiiiiiii
Kama wewe ndio ulimtenda labda,lakini kama ulitendwa wee,ngumu kwa kweli
Eti ni kweli imekuwa ikitokea katika mahusiano tuliyo nayo ..long ago ulikuwa na mpenzi ambaye ulimpenda na yeye alikupenda kwa dhati lakini katika mazingira yasiyoeleweka inatokea msiwe pamoja ..umeoa,umeolewa inatokea mnapata mtoto ..kama ni wa kike husband ataomba wife naomba umpe jina la ZionD ,Bht,MJ1 ,carmel or vyovyote mradi ni jina la yule kipenzi wake wa zamani pasipo wife kujua hiyo secret
na kama wa kiume wife nae ataomba ooh honey naomba tumwite ,Nguli,Fidel,Xpin ,Geoff or vyovyote vile mradi yule wake wa moyoni aendelee kuwepo katika kumbukumbu za maisha yake
ya kweli haya...
!!!????
Thanks God we hujawahi kutendwa!
firstlady1...............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11
atendwe na nani tena ka si wewe wa kumtenda ? kaizer or
katika jamii nyingine na katika wakati muafaka mvundka mbivu huwa na thamani kwa sababu hutoa pombefirstlady1...............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11
FL huyu naona kama anajiandaa kunitenda vile.atendwe na nani tena ka si wewe wa kumtenda ? kaizer or
FL huyu naona kama anajiandaa kunitenda vile.
sasa ndo asubri kuonja ladha ya kutendwa! maana waliokwisha tendwa walianza bikra pia na walikuwa makini piaHajawahi ndio maana nlikuwambia nilimkuta kama alivyozaliwa. Hahaha!
YOU Can not say that again.