Mabilioni anayomwaga Lowassa Dodoma, TAKUKURU mko wapi?

Mabilioni anayomwaga Lowassa Dodoma, TAKUKURU mko wapi?

Tunazitaka post kama hizi,ata kama team lowassa hamzitaki.Mtoa mada tuletee utupu wa hawa maselfishi wakutupwa.
 
Mbona Rainbow imefungwa toka juzi?
 
Leo ndio umedhihirisha uongo wako, hapo rainbow pamefungwa toka jana na ni sehemu ambayo ni wazi mno kiasi kwamba shughuri kama hiyo haiwezekani kabisa. Toeni habari za uhakika sio za kutunga
 
jamani tujitahidi kuacha kupakaziana matope si vizur. huwez jua nani atakuwa kiongozi mkuu wa nchi hii. hebu fikiria akiwa lowasa hiyo aibu utaipeleka wapi?
 
Ccm haiwez kuishi bila rushwa,

Na ndio maana mwaka huu,hata sisi tu watz tukiamua kuacha Mungu tu lazima awaadhibu
 
Una uhakika gani?Wewe umepewa ngp?Kwa nn hujaripoti PCB?Dodoma unafanya nini?Umetumwa na nani?
 
hapohapo mleta mada kasema mabilioni je kwenye bilioni kuna ten ten ngapi na huyo kivuyo kaziweka kwenye boksi au rumbesa wakati anagawa? vilevile wanaogawiwa wanamhakikishia vipi kivuyo kwamba watampigia kura huyo lowassa at the end of the day sipingi kwamba ushawishi wa kutumia pesa haupo lakini tuwe realistic asije mtu kwa utashi wake anaoujua mwenyewe akaamua kupotosha ukweli

Sawa, mtu anaweza akazusha. Lakini, assuming mleta post anasema ukweli, haimaanishi kweli ana hakika kuwa ni mabilioni. Hata kama ni mamilioni yanayoweza kukaa kwenye briefcase anaweza tu kusema mabilioni kwa kutaka kuonyesha kuwa ni pesa nyingi (ku-dramatize). Kuhusu uhakika kuwa watampigia kura mhongaji, wala hiyo siyo issue ya msingi. Mhongaji anatumia tu imani na baadhi ya wahongwaji wanatumia conscience tu na hata ushirikina kuamini kuwa asipompigia kura hatakuwa amefanya vizuri baada ya kupokea hela yake (conscience), au labda atadhurika (ushirikina). wengine hawajali, wanatafuna pesa na kura hawapigi. na wengine wanapewa pesa wakati walishaamua kumpigia kura mhongaji kabla hata ya kuhongwa kwa kuwa tu wanampenda au kumshabikia. Hizo zote ni possibilities.
 
Mkuu mda wa kuftari ushafika mtoa mada tafuta maji unywe.
 
Back
Top Bottom