Nenda zako mwongo ambaye hajielewi! Nani wa kamati anahongwa kwa elfu kumi kama si unaumwa akili?
Rainbow si nimesikia imefungwa walifiwa ama???
Hivi hayo mahela ambayo Lowasa anadaiwa kuwa nayo ni nani mwenye uthibitisho kuwa kweli anayo?
Sina hakika na ukweli wa habari hii japo naamini inawezekana kabisa, hasa kwa CCM kuhonga kwa ajili ya kupata ulaji..maana imeshatokea sana
nataka tu kukosoa mnaohoji kuwa nani ahongwe elfu kumi? Sidhani kama ndivyo alivyosema mleta uzi. Yeye amesema huyo Kivuyo anagawa mabulungutu ya elfu kumi kumi...akimaanisha bulungutu la noti za elfu kumi kumi, sasa jumla ya hongo itategemea hilo bulungutu lina noti za elfu kumi kumi ngapi! Likiwa bulungutu la noti 100 maana yake ni milioni moja hiyo!
unaweza ukathibitisha au nihisia tuLowassa anatumia pesa nyingi ikulu kuna nn??
Lowassa anatumia pesa nyingi ikulu kuna nn??
hapohapo mleta mada kasema mabilioni je kwenye bilioni kuna ten ten ngapi na huyo kivuyo kaziweka kwenye boksi au rumbesa wakati anagawa? vilevile wanaogawiwa wanamhakikishia vipi kivuyo kwamba watampigia kura huyo lowassa at the end of the day sipingi kwamba ushawishi wa kutumia pesa haupo lakini tuwe realistic asije mtu kwa utashi wake anaoujua mwenyewe akaamua kupotosha ukweli
Nenda zako mwongo ambaye hajielewi! Nani wa kamati anahongwa kwa elfu kumi kama si unaumwa akili?