Mabibo hostel waua mtuhumiwa wa mwizi.

menyidyo

JF-Expert Member
Oct 9, 2010
1,339
194
Wanafunzi wanaoishi mabibo hostel wanamalizia kumuua mwizi aliyeruka toka gorafa ya 3 block e. daah jamaa hawana hata huruma.
 
yaan ni mawe tu wanaponda kichwani. anamwagika damu balaa.
 
safi sana...nawapongeza an kuwasihi muendelee na moyo huo huo
 
ivi unawezaje kuiba sehemu kama mabibo hostel? wanafunzi wote wale... ila jamaa ndo hatunaye tena. auxiliary police hakusaidia ki2.
 
kama ulishawahi kuibiwa unaweza kufahamu machungu!
Hakimu alishasoma hukumu??
Chanzo cha wizi si udokozi, fanya utafiti ufahamu chanzo. Kuua vibaka hakujapunguza wimbi la wizi...
 
mi nafikiri wamekremu zaidi kuua lazima wapige mawe ilikuwa issue ndogo kumnywesha ule uchafu wa maji ya chooni nyuma ya lile hall
ashiki unamnywesha kikombe kizima unamwachia..sisi tulimkamata mwizi wakataka kumpiga nikawambia tutumie mbinu mbadala jamani
tukaenda nyuma ya nyumba ya mtu ikatafutwa ndoo na kikombe jamaa akalazimishwa kunywa akachiwa asbh wanamkuta yuko kala baruti njia ya kimara kuita shika saa nyingi..so vijana wangu sikunyingine msionekane wauwaji bali waamuliaji mpeni maji ya tanki la chooni kikombe kimoja kinamtosha
anyway

Goodjob
 
Hukumu hii wanapewa vibaka, wanaoiba weusi kwa wazungu hela nyingiiii wanapeta.
Siwatetei wezi ila jamani mtaani maisha magumu. Nilishamkamata mwizi nikamweka chini nikaongea naye kwa kina kisha nikamuacha aende zake.
 
Walau inaonesha kua usomi wao haujafuta traditions dhidi ya mwizi akifumwa...
I wish wangekua na nguvu hio hio dhidi ya mapacha watatu...
 
Licha ya kuwa wezi wanakera lakini hiyo adhabu haifai kwani askari hawapo??
 
Walau inaonesha kua usomi wao haujafuta traditions dhidi ya mwizi akifumwa...
I wish wangekua na nguvu hio hio dhidi ya mapacha watatu...
Ipo siku hao mapacha watatu nao watapata adhabu kama hiyo...
 
Ipo siku hao mapacha watatu nao watapata adhabu kama hiyo...


Saa ingine inakatisha tamaa, tuna kasumba ya kusahau... Jana nilifurah nilikuta uzi ukidai Kipara arudi uraisi!!!
Hata hivyo bana time will tell, I wish ije kua kama Egypt the way Hosni na wakaribu toka the wife na fellow leaders wamekua treated..
Naamini just five years ago hapa asingeamini yatamkuta! Kakomba pesa for more than 25 years..
 
Nasikia alichukua pochi ya mwanafunzi wa kiume akakuta condom 2 za salama na yanban
na doller 5 ya marekani sii zimbabwe
 
pale mabibo mara kwa mara wanaibiwa....inakua mbaya zaid hajulikan nan mwizi.
Sasa jamaa mzigo ameubeba!
R.i.p
 
Wanafunzi wanaoishi mabibo hostel wanamalizia kumuua mwizi aliyeruka toka gorafa ya 3 block e. daah jamaa hawana hata huruma.
Ulivyoandika kichwa cha habari...bado sijelewa."Mabibo wamuuwa mtuhumiwa wa mwizi"Sasa huyo mwiz mwenyewe mbona ameachiwa?
 
Back
Top Bottom