Mabere Marando na utetezi wa Manji

Marando yupo kwenye kazi za CHADEMA. Nashangaa sana Manji anamtumia Marando. Atatumia kesi hii kupata information nyingi za kifisaidi ambazo ataziwakilisha CHADEMA zitumika kwenye hoja zao za kisiasa. Jamaa anachukua huku na kupeleka kule. Ndio maana Dr Slaa alishawahi kusema kuwa wanavijani wao wanawapa information hata za usalama wa Taifa. Hapa ameshaelewa ni jinsi gani Quality group walichukuwa hizo pesa na zilitumika vipi. Sasa subirini mikutano ya CHADEMA siku zijazo.
 
Back
Top Bottom