Mabere Marando na utetezi wa Manji

Hii habari imeshaletwa na kujadiliwa hapa sijaona sababu ya wewe kuianzisha upya, kwa kifupi Mabere Marando anafuata "ethics" kumbuka yeye ana practice sheria na binadamu wote wanahitaji hiyo huduma kwani ni huduma ya msingi kama ilivyo huduma ya utabibu. Unafikiri daktari anaweza akagoma kumtibu mgonjwa kwa tuhuma?................................................................... Fikiria mkuu...
 
Mimi binafsi sina hakika kama kati ya Mengi na Manji kuna ambaye sio fisadi. Ukwasi mkubwa wa Bwana Mengi ulianzaanzaje?
 
kwa hiyo unaanza ku-justfy ule usemi....if you can't fight them, join them???
Marando amechemsa na ni ameshaanza kuwa a big liability for chadema. Marando ni kansa na soon ataiangamiza chadema for his selfishness. Kubali kataa lakini huo ndio ukweli

marando alijiunga chadema kisiasa na sio kwamba kaacha kazi yake ya uwakili. Kama kesi ingekuwa ya kisiasa hapo ndio angepata wakati mgumu lakini kesi sio ya kisiasa ni ya wafanya biashara wawili.
 
Leo kaanza kumtetea Manji, kesho Rostam............anaharibu credibility ya CDM
 
Hii habari imeshaletwa na kujadiliwa hapa sijaona sababu ya wewe kuianzisha upya, kwa kifupi Mabere Marando anafuata "ethics" kumbuka yeye ana practice sheria na binadamu wote wanahitaji hiyo huduma kwani ni huduma ya msingi kama ilivyo huduma ya utabibu. Unafikiri daktari anaweza akagoma kumtibu mgonjwa kwa tuhuma?................................................................... Fikiria mkuu...

Wakati inaletwa sikuwepo ndio maana nimeileta na kama ulishachangia kaa kimya tupate mawazo mapya.
 
Kivipi sasa? mfano wangu umelenga ajira kwamba mtu hutakiwi kuchagua unayemuhudumia.

Kesi hii ni MANJI VS MENGI na sio MANJI VS CHADEMA, kama ingekuwa MANJI VS CHADEMA hapo ndio tungemshangaa Marando kwa kuendana kinyume na chama chake. Nyinyi mmeichukulia kesi kisiasa na ndio maaana mnamshangaa MARANDO lakini hii kesi ni ya watu binafasi wawili na imetokea kwamba upande mmoja umemuajili MARANDO kuwa wakili wake.

KILA FISADI ni VS CHADEMA
 
marando alijiunga chadema kisiasa na sio kwamba kaacha kazi yake ya uwakili. Kama kesi ingekuwa ya kisiasa hapo ndio angepata wakati mgumu lakini kesi sio ya kisiasa ni ya wafanya biashara wawili.

Alitakiwa achukue sabbatical leave kama alivyofanya balozi wetu US.
 
.....Raia/Kampuni yeyote ktk Nchi hii anaruhusiwa kuwa na Mwanasheria/Wakili wake, Manji wakili wake aliemuajiri ni Mabere Marando na wameingia mikataba ya kisheria ya kumtetea Manji ktk shauri lolote mahakamani kwa malipo. ndivyo inavyofanyika sasa, Marando anatekeleza mkataba baina yake na Manji regard less ya kuwa ni Mwanasheria/Mwanachama wa Chadema inayopinga ufisadi.
Si hivyo tu, Marando aliwahi kusimama mahakama ya Rufaa kama Wakili kumtetea Babu Seya na familia yake ambao wana kesi ya kubaka. Sio kwamba anamtetea M-BAKAJI, anatimiza needs za mkataba baina yake na mteja wake, babu Seya. na pande mbili zinanufaika.
So Nje ya Siasa, Marando ni Mwanasheria/Wakili kitaaluma ambae anahitaji maslahi yeye binafsi na wanaomtegemea na Taifa kwa ujumla
 
Katika vitu vinavyonitia kinyaa ni kusoma jinsi watu wanavyoweza kukubali ku demonstate uelewa wao mdogo wa hata mambo yanayohusu maisha ya watoto wao na vizazi vyao. Kama kuna mtu kwa macho ama akili anayeshindwa kuungana na wale wanaotaka CCHADEMA ifanye maamuzi magumu LEO HII ama sivyo mimi binafsi niko tayari kuifuta katika moyo wangu na kuendesha kampeni kwa wale wote ninaowajua kwamba wamepigana kufa kupona kuipigania, basi ndugu na vizazi vyao wameliwa. Hapa ndio wakati pekee napoelewa kwa nini wasomi wa Tanzania tunatofautiana kama jua na mwezi. Its disgusting! ni watu kama hawa waliotupotezea wapambanaji humu ndani wakina invisible ni lazima wachukue hatua ama sivyo mtandao huu wa wasomi utabakia historia maana hatuwezi kuendelea kukosa michango ya watu wenye akili kwa kukumbatia hawa ma boot lickers,, eti kazi ni kazi kinyaa kabisa
 
Na angekuwa spika angetetea hayo hayo? (tuache unafiki)
 
Kwani JF ni CHADEMA forum?
 
Na wasiwasi na uelewa wako Bin, kwani kuwa mwana CDM maana yake usifanye kazi zingine? na hayo ya Manji kuwa Fisadi ndio hasa yamemfikisha Mengi mbele ya court, mimi na wewe tunaweza sema Manji ni fisadi kwa jinsi tunavyomtizama Manji na Ukwasi wake lakini bado hatuna concrete evidence, na Marndo kumtetea huyu bwana haimaanishi kuwa yeye sasa yuko upande wa mafisadi, hivi mfano bosi wako akiwa ni mwana CCM wewe ni CDM utaacha kazi kwa vile tu mnaimani tofauti?
 
Huyu Manji ni fisadi na wengi tunajua hilo. Huyu Manji anatetewa na Mabere Marando aliye mwanasheria wa CDM. Chadema inakemea ufisadi. Sasa uadilifu wa Mabere uko wapi, au pesa mbele maadili nyuma? Naamini Dr. Slaa ataisoma hii. Tusifumbiane macho pale tunapokwenda vibaya.

Lawyers are agents, not principals; and should neither criticize nor tolerate criticism based upon the character of the client whom they represent or the cause that they prosecute or defend. They cannot and should not accept responsibility for the clients practices. Rapists, murderers and even fisadis are entitled to a lawyer; and any lawyer who undertakes their representation must be immune from criticism for doing so.
 
Kwa iyo mnataka kusema wahasibu wote wenye kadi za cdm nao waache kazi ktk serikal ya ccm?mnataka madktari muhimbili akiletwa majeruhi wa ccm asitibiwe?mnataka maafisa kilimo wa upinzani wavunje vunje treka feki za kilimo kwanza?unataka maafsa TRA wasiikusanyie kodi serikali ya mafisadi? Unataka benki zote zigome kupokea ela za mafisadi akina EL,JK ,RA. Plz tujifunze kutofautisha professional behaviour na siasa. Unajua kuna siasa,uchumi,utamaduni,jamii/social...nk. Hizi category za maisha si zote ni siasa,siasa ni sehemu ndogo sana ktk jamii ya mwanadamu. Pasipo na public interest,hapana public interest!
 
Nikiangalia thread hii,namkumbuka hakimu mmoja mhaya Mtakyamirwa,uyu dada yake aliolewa Uchagani na kuachika. Uyu mama akadhulumiwa mali zote na kurudi Bukoba,baadae maisha yake yakawa magumu akaamua amstaki mmewe ili wagawane mali,kuna nyumba ambayo uyu mama aliijenga moshi kwa ela yake akiwa na mume wake. Uyu mama akamwomba mtakyamirwa amtumie nauli aje dar kuanzisha kesi,kakake kamtumia na uyu mama akaja dar na alikuwa anakaa kwa kakake wakati wa kesi. Bahati mbaya au nzuri kesi ikapangiwa hakimu,hapa akapangwa kakake Mtakyamirwa. Kaka akamwita dadake wakati wa dinner,akamhoji kama ana ushaidi wa kutosha au kesi ifutwe wakaelewane nje. Kwa kujua kuwa kaka ndo kashika mpini dadake akagoma kuitoa kesi mahakamani. Kwa kufuata vifungu vya sheria,siku ya hukumu kaka mtu aliamuru kuwa mshitaki ameshindwa kuihaminisha mahakama na ivo yule Mchaga akashinda kesi. Kurudi nyumbani kila mtu alimshangaa bwn Hakimu kwa kumsaliti dadake,ila jamaa akawaeleza kuwa iyo ni sheria wala si hakimu,jamaa alimpa nauli dadake arudi bukoba kuendelea na maisha yake. Mwanzøni hata mi nlishutuka na nkaona bora kakake angejitoa kusikiliza kesi ila advocate mmoja maalufu dar alinitoa dukuduku kuwa inawezekana mwenye taaluma akasimamia haki bila dhuluma. Mkileta ya mabere marando naona yale yale inawezekana!
 
Kwa namna ndio maana walimnyima uspika wa bunge, maana kama popo.....sometimes mnyama....sometimes ndege. najua inakuuma lakini hutaki kukubali.
 
Back
Top Bottom