Mabeberu yameanza kutuheshimu sasa

Mabeberu yameanza kutuheshimu sasa

Baada ya kimya cha muda mrefu umerudi.. Nasikia ulipoteza simu na uchumi ulivokaza kupata nyingine imebidi udundulize kama kawaida ya watumishi wa umma ngazi ya kata.. Leo umerudi na mada yako kumuandama Pompeo.. Yaani katibu tarafa kigoma vijijini huko unapata ujasiri wa kumponda Pompeo na serikali yake! Kiukweli marekani wengi hatuipendi ila kuanzisha nao ugomvi bila sababu za msingi ni uendawazimu.. Hivi tunavobwabwaja kuhusu marekani tunajua madhara yake wakiamua kwenda jino kwa jino na sisi? Tuacheni hiki kiburi mavi maana marekani sio uganda ya Idd Amini au M-23 ya Raulent Nkunda.. Ugomvi na marekani tuwaachie Warusi na Wachina wao wana huo ubavu wa kushindana nae sio sisi ambao mpaka karne hii tunakuwa sponsored kutahiriwa na kuchimba vyoo.. Hizi bangi tuvute ila tusizinuwie kwa wamarekani ni hatari wakisema wadeal na sisi
 
Pompeo siku hizi halali anaiwaza Tanzania

Kila kinachofanyika Tanzania anakifatilia

Anafuatilia kila hotuba za Rais wetu mpendwa pengine wanalazimika kujifunza hadi kiswahili ili wajue atasema nini.

Miaka ya katikati Tanzania tulipoteza ushawishi wetu wa kisiasa duniani ila toka Rais Magufuli ameingia madarakani mambo yamebadilika.

Bahati nzuri Rais wetu hana muda wa kwenda huko anatumikia Watanzania waliomchagua kwa mamilon ya kura.

Ikumbukwe Marikani huingiza Zaidi ya doller bilion tano kila mwaka kutokana na safari za viongozi wa Africa kwenda Marekani.

Ndani ya miaka minne Magufuli kutokwenda kule kinamuumiza kichwa pompeo

Kama Iran wameweza kumthibiti bwanyenye Kwanini sisi tumuogope?

Marais wa Africa wangekuwa kama Magufuli hakika bara la Africa lingeanza kupokea heshima inayostahili

Haiwezekani watu wanaiba raslmali zetu na sisi tunazindikiza huko kwa kutapanya mabilion ya walipa kodi.

Pompeo nenda kwa step,Tanzania ya leo sio ya jana

Rais Magufuli usitishike na hawa Mabeberu sisi Watanzania tunakuunga mkono kwa asilimia mia moja.

Baada ya pompeo kugonga mwamba huko Venezuela na north korea. Sasa anaanza kuleta janja janja kwetu, hatutakubali.

Tena mimi simwogopi kwenye ukurasa wake wa Twitter huwa nampa ukweli wake.

Umemuonea wapi Pompeo amekaa anaangalia hotuba za Jiwe?

Unaweza tupatia evidence hapa?

Maana mnaharisha sijui mnajipangusa saa ngapi?
 
Wewe Huna hoja nimeamua nikupuuze rasmi sasa
Baada ya kimya cha muda mrefu umerudi.. Nasikia ulipoteza simu na uchumi ulivokaza kupata nyingine imebidi udundulize kama kawaida ya watumishi wa umma ngazi ya kata.. Leo umerudi na mada yako kumuandama Pompeo.. Yaani katibu tarafa kigoma vijijini huko unapata ujasiri wa kumponda Pompeo na serikali yake! Kiukweli marekani wengi hatuipendi ila kuanzisha nao ugomvi bila sababu za msingi ni uendawazimu.. Hivi tunavobwabwaja kuhusu marekani tunajua madhara yake wakiamua kwenda jino kwa jino na sisi? Tuacheni hiki kiburi mavi maana marekani sio uganda ya Idd Amini au M-23 ya Raulent Nkunda.. Ugomvi na marekani tuwaachie Warusi na Wachina wao wana huo ubavu wa kushindana nae sio sisi ambao mpaka karne hii tunakuwa sponsored kutahiriwa na kuchimba vyoo.. Hizi bangi tuvute ila tusizinuwie kwa wamarekani ni hatari wakisema wadeal na sisi
 
Huoni kina pompeo wanavyohaha hawakai ofisni
Wasubiri picha Ndio kwanza linaanza
Ndo kwanza mnahaha kwa kupigwa biti mtanyimwa misaada kama msingemwachia Eric nani anaemgwaya mwenzie sasa.Huwezi kuwa masikini ukawa jeuri
 
Mtu akiwa mjinga wala si vigumu kumjua.
Leo wewe umdharau mzungu wakati hata hicho kiti ulichokalia kimetoka ulaya?
Komputa, simu, usafiri unaotumia, tiba na kila kitu kimetoka kwao, na mwisho hata tiba wanakupa wao, kisha unasema unaogopa kugongwa???
Propaganda mufilisi kabisa hizo.

Ni lazima utazidi kumuogopa beberu kwa kuwa huna ujanja wa kumkwepaView attachment 1367957

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyetoa hili jina Beberu sijui aliwaza nini
 
Kwanza huna adabu

Nakupa onyo ukirudia sitakusamehe tena
Badilika
Acha ujinga dogo! Unamaanisha ushindani usiokuwa na tija! Marekani hakopi kwa ajili ya uchaguzi na hachepushi fedha za mkopo kwenda sehemu isiyohusika! Madeni ya Marekani yanalipika Ila ya kwenu hadi muombewe msamaha wa kufutiwa! Hilo limekukaaje?
 
Kwanza huna adabu

Nakupa onyo ukirudia sitakusamehe tena
Badilika
Ila wewe unayeishi kwa kutegemea makombo ya waliosaliti nafsi zao kina bashiru na bulicheka ndio una adabu!
Jiandae kwa mengine baada ya Nov dogo na acha kutishia nyau!
Jisamehe mwenyewe kwanza kwa kuisaliti nafsi yako! Njaa bwana!
 
Pompeo siku hizi halali anaiwaza Tanzania

Kila kinachofanyika Tanzania anakifatilia

Anafuatilia kila hotuba za Rais wetu mpendwa pengine wanalazimika kujifunza hadi kiswahili ili wajue atasema nini.

Miaka ya katikati Tanzania tulipoteza ushawishi wetu wa kisiasa duniani ila toka Rais Magufuli ameingia madarakani mambo yamebadilika.

Bahati nzuri Rais wetu hana muda wa kwenda huko anatumikia Watanzania waliomchagua kwa mamilon ya kura.

Ikumbukwe Marikani huingiza Zaidi ya doller bilion tano kila mwaka kutokana na safari za viongozi wa Africa kwenda Marekani.

Ndani ya miaka minne Magufuli kutokwenda kule kinamuumiza kichwa pompeo

Kama Iran wameweza kumthibiti bwanyenye Kwanini sisi tumuogope?

Marais wa Africa wangekuwa kama Magufuli hakika bara la Africa lingeanza kupokea heshima inayostahili

Haiwezekani watu wanaiba raslmali zetu na sisi tunazindikiza huko kwa kutapanya mabilion ya walipa kodi.

Pompeo nenda kwa step,Tanzania ya leo sio ya jana

Rais Magufuli usitishike na hawa Mabeberu sisi Watanzania tunakuunga mkono kwa asilimia mia moja.

Baada ya pompeo kugonga mwamba huko Venezuela na north korea. Sasa anaanza kuleta janja janja kwetu, hatutakubali.

Tena mimi simwogopi kwenye ukurasa wake wa Twitter huwa nampa ukweli wake.
Pompeo aogope takataka vere fane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom