Twilumba
Platinum Member
- Dec 5, 2010
- 13,476
- 16,186
Wakati huo wewe utakuwa wapi, ndugu zako watakuwa wapi?Subiri siku biological weapon ikitua bongo mtahamia wenyewe Dodoma kumkimbia muamerika
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati huo wewe utakuwa wapi, ndugu zako watakuwa wapi?Subiri siku biological weapon ikitua bongo mtahamia wenyewe Dodoma kumkimbia muamerika
Pompeo siku hizi halali anaiwaza Tanzania
Kila kinachofanyika Tanzania anakifatilia
Anafuatilia kila hotuba za Rais wetu mpendwa pengine wanalazimika kujifunza hadi kiswahili ili wajue atasema nini.
Miaka ya katikati Tanzania tulipoteza ushawishi wetu wa kisiasa duniani ila toka Rais Magufuli ameingia madarakani mambo yamebadilika.
Bahati nzuri Rais wetu hana muda wa kwenda huko anatumikia Watanzania waliomchagua kwa mamilon ya kura.
Ikumbukwe Marikani huingiza Zaidi ya doller bilion tano kila mwaka kutokana na safari za viongozi wa Africa kwenda Marekani.
Ndani ya miaka minne Magufuli kutokwenda kule kinamuumiza kichwa pompeo
Kama Iran wameweza kumthibiti bwanyenye Kwanini sisi tumuogope?
Marais wa Africa wangekuwa kama Magufuli hakika bara la Africa lingeanza kupokea heshima inayostahili
Haiwezekani watu wanaiba raslmali zetu na sisi tunazindikiza huko kwa kutapanya mabilion ya walipa kodi.
Pompeo nenda kwa step,Tanzania ya leo sio ya jana
Rais Magufuli usitishike na hawa Mabeberu sisi Watanzania tunakuunga mkono kwa asilimia mia moja.
Baada ya pompeo kugonga mwamba huko Venezuela na north korea. Sasa anaanza kuleta janja janja kwetu, hatutakubali.
Tena mimi simwogopi kwenye ukurasa wake wa Twitter huwa nampa ukweli wake.
Ndugu yangu, Mabeberu ni Watanzania waliokabidhiwa nchi/madaraka na kuishia kufisidi viwanda vyote alivyotuachia baba wa taifa, walifisidi mashirika yote ya umma na kujigawia nyumba zote za serikali na mashirika ya umma! Mabeberu ni Watanzania waliopitisha mikataba ya kifisadi na siyo Wazungu au Wamarekani!! Please wake up and simply ooze out the truth and ashame the devil. Period.
We jidanganye tu. Ina maana hujasikia kwamba kabendera amerudi uraiani kwa kulipa mamilioni ya shilingi? Kwa mapenzi yako utaamini kwamba kabendera amelipa, wakati amekiri kwamba msiba wa mama yake hakuna hata ndugu aliyekuwa na hela na ikabidi marafiki na wanao mpenda kabendera wachangishane ndio mama akazikwa. Kwa taharifa mabeberu huwa hawatanii wakikuamulia utanyooka tu.Pompeo siku hizi halali anaiwaza Tanzania
Kila kinachofanyika Tanzania anakifatilia
Anafuatilia kila hotuba za Rais wetu mpendwa pengine wanalazimika kujifunza hadi kiswahili ili wajue atasema nini.
Miaka ya katikati Tanzania tulipoteza ushawishi wetu wa kisiasa duniani ila toka Rais Magufuli ameingia madarakani mambo yamebadilika.
Bahati nzuri Rais wetu hana muda wa kwenda huko anatumikia Watanzania waliomchagua kwa mamilon ya kura.
Ikumbukwe Marikani huingiza Zaidi ya doller bilion tano kila mwaka kutokana na safari za viongozi wa Africa kwenda Marekani.
Ndani ya miaka minne Magufuli kutokwenda kule kinamuumiza kichwa pompeo
Kama Iran wameweza kumthibiti bwanyenye Kwanini sisi tumuogope?
Marais wa Africa wangekuwa kama Magufuli hakika bara la Africa lingeanza kupokea heshima inayostahili
Haiwezekani watu wanaiba raslmali zetu na sisi tunazindikiza huko kwa kutapanya mabilion ya walipa kodi.
Pompeo nenda kwa step,Tanzania ya leo sio ya jana
Rais Magufuli usitishike na hawa Mabeberu sisi Watanzania tunakuunga mkono kwa asilimia mia moja.
Baada ya pompeo kugonga mwamba huko Venezuela na north korea. Sasa anaanza kuleta janja janja kwetu, hatutakubali.
Tena mimi simwogopi kwenye ukurasa wake wa Twitter huwa nampa ukweli wake.
Hii ID ya pili ya Kawe AlumniAkuonyeshe wewe kama nani
Kapige Na Kitecno chako
Endelea kujitejenya na kucheka mwenyewe...Nakuunga mkono comrade
Pompeo analazimisha watu wafanye ufirauni wasipofanya ati anakataza watu wasiende marikani
Wazungu wameanza kushiwa maarifa
Kama sisi TULIVYOKUPUUZA.Wewe Huna hoja nimeamua nikupuuze rasmi sasa

Nakuunga mkono comrade
Pompeo analazimisha watu wafanye ufirauni wasipofanya ati anakataza watu wasiende marikani
Wazungu wameanza kushiwa maarifa
hahahahahahahUna ID ngapi uanzishe uzi mwenyewe una comment mwenyewe
Mbona usihamie kwa Mabeberu ?
Magufuli anakwazwa na lugha ya kingereza pamoja na PhD feki hawezi kwenda kwenye international forumsPompeo siku hizi halali anaiwaza Tanzania
Kila kinachofanyika Tanzania anakifatilia
Anafuatilia kila hotuba za Rais wetu mpendwa pengine wanalazimika kujifunza hadi kiswahili ili wajue atasema nini.
Miaka ya katikati Tanzania tulipoteza ushawishi wetu wa kisiasa duniani ila toka Rais Magufuli ameingia madarakani mambo yamebadilika.
Bahati nzuri Rais wetu hana muda wa kwenda huko anatumikia Watanzania waliomchagua kwa mamilon ya kura.
Ikumbukwe Marikani huingiza Zaidi ya doller bilion tano kila mwaka kutokana na safari za viongozi wa Africa kwenda Marekani.
Ndani ya miaka minne Magufuli kutokwenda kule kinamuumiza kichwa pompeo
Kama Iran wameweza kumthibiti bwanyenye Kwanini sisi tumuogope?
Marais wa Africa wangekuwa kama Magufuli hakika bara la Africa lingeanza kupokea heshima inayostahili
Haiwezekani watu wanaiba raslmali zetu na sisi tunazindikiza huko kwa kutapanya mabilion ya walipa kodi.
Pompeo nenda kwa step,Tanzania ya leo sio ya jana
Rais Magufuli usitishike na hawa Mabeberu sisi Watanzania tunakuunga mkono kwa asilimia mia moja.
Baada ya pompeo kugonga mwamba huko Venezuela na north korea. Sasa anaanza kuleta janja janja kwetu, hatutakubali.
Tena mimi simwogopi kwenye ukurasa wake wa Twitter huwa nampa ukweli wake.
Magufuli anakwazwa na lugha ya kingereza pamoja na PhD feki hawezi kwenda kwenye international forums
"You used to die in ze lake"Mzee anatema yai hatari hukumwona sadic alivyokuwa anapiga kimombo?
"You used to die in ze lake"
"You used to die in ze lake"
Hamieni nyie mnaowaomba misaada kwa mlango wa nyuma mkiwaita wafadhili, wahisani na wabia wa maendeleo.