Mabeberu yameanza kutuheshimu sasa

Mabeberu yameanza kutuheshimu sasa

U
Nakuunga mkono comrade

Pompeo analazimisha watu wafanye ufirauni wasipofanya ati anakataza watu wasiende marikani

Wazungu wameanza kushiwa maarifa
Unamuunga mkono comrade gani wakati uzi wako?
 
Pompeo siku hizi halali anaiwaza Tanzania

Kila kinachofanyika Tanzania anakifatilia

Anafuatilia kila hotuba za Rais wetu mpendwa pengine wanalazimika kujifunza hadi kiswahili ili wajue atasema nini.

Miaka ya katikati Tanzania tulipoteza ushawishi wetu wa kisiasa duniani ila toka Rais Magufuli ameingia madarakani mambo yamebadilika.

Bahati nzuri Rais wetu hana muda wa kwenda huko anatumikia Watanzania waliomchagua kwa mamilon ya kura.


Ikumbukwe Marikani huingiza Zaidi ya doller bilion tano kila mwaka kutokana na safari za viongozi wa Africa kwenda Marekani.

Ndani ya miaka minne Magufuli kutokwenda kule kinamuumiza kichwa pompeo

Kama Iran wameweza kumthibiti bwanyenye Kwanini sisi tumuogope?

Marais wa Africa wangekuwa kama Magufuli hakika bara la Africa lingeanza kupokea heshima inayostahili

Haiwezekani watu wanaiba raslmali zetu na sisi tunazindikiza huko kwa kutapanya mabilion ya walipa kodi.

Pompeo nenda kwa step,Tanzania ya leo sio ya jana

Rais Magufuli usitishike na hawa Mabeberu sisi Watanzania tunakuunga mkono kwa asilimia mia moja.

Baada ya pompeo kugonga mwamba huko Venezuela na north korea. Sasa anaanza kuleta janja janja kwetu, hatutakubali.

Tena mimi simwogopi kwenye ukurasa wake wa Twitter huwa nampa ukweli wake.
Amefuta ile barua ya kumpiga ban Makonda?

In God we Trust
 
Back
Top Bottom