Mabeberu yameanza kutuheshimu sasa

Mabeberu yameanza kutuheshimu sasa

Wao pia wanategemea madini yetu

Nadhani utaelewa kwa kina comrade
Wewe kwanza tengeneza mtandao wako wa mianzi, iutumie huo kuwatukana "mabeberu".

Nitakuona wa maana.

Sio hapa unatumia mtandao wa "mabeberu", kisha unatukana hao hao "mabeberu".

Unajua sehemu gani ya bajeti ya Tanzania ni misaada ya hao unaowaita mabeberu?

Waswahili walisema "Baniani mbaya, kiatu chake dawa".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wekeni picha ya ujenzi wa bwawa ili wananchi waone
Njoo kisaki halafu uwaombe wahusika wakupeleke ukaone ili uje utoe ushuhuda vizuri maana naona hadithi za Ngoswe mnajitengenezea kichwani
 
Back
Top Bottom