Kiwarhoapandenga
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 2,078
- 1,808
Mpumbavu husema muungwana kwake ni vitendoWewe Huna hoja nimeamua nikupuuze rasmi sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpumbavu husema muungwana kwake ni vitendoWewe Huna hoja nimeamua nikupuuze rasmi sasa
Mwenzako nyerere aliwananga sana mabeberu kumbe wanampuuza tu akipewa misaada akatai,alipotaka kufurushwa ikulu akawaomba msaada wakamrudisha,alipopigwa njaa wakamlisha.Hawa jamaa wameumbwa na mioyo tofauti ni sawa na mtoto kumtusi mzazi Na mzazi amtupi mwanae anajua bado ajitambui.Miaka 60 tangu Uhuru tungeonyesha mfano kwamba tumeweza jitegemea hata kujenga vyoo na kufuta nyumba za nyasi tumeshindwa ndio tutaweza kweli.Nyie wapinzani mnavituko kweli
Kwahiyo na wewe kwa huo ugoro unajiona ni mtu wa kufanya reasoning
Huko sipo mimi ni rationalistUna hoja gani wewe zaidi ya kubeba mabegi ya mbowe
Deni ndio hilo linapaa tunaelekea kufisika yaani mwisho wa kukopesheka huku tumeuwa vyanzo vya ndani tutawakwepa vipiUtanyenyekea vipi unaomba mkopo wakati unaulipia!
Nakukumbusha Marikani Ndio Nchi ina deni kubwa zaidi duniani
Deni ndio hilo linapaa tunaelekea kufisika yaani mwisho wa kukopesheka huku tumeuwa vyanzo vya ndani tutawakwepa vipi
Ukiuwa private sector, ukauwa demokrasia, ukauwa diplomasia,unapaa kuelekea wapi kama sio kuzimu.Kuiheshimu Nchi yetu,baada ya kuanza kuchanja mbuga kiuchumi
Acha ujinga dogo! Unamaanisha ushindani usiokuwa na tija! Marekani hakopi kwa ajili ya uchaguzi na hachepushi fedha za mkopo kwenda sehemu isiyohusika! Madeni ya Marekani yanalipika Ila ya kwenu hadi muombewe msamaha wa kufutiwa! Hilo limekukaaje?Utanyenyekea vipi unaomba mkopo wakati unaulipia!
Nakukumbusha Marikani Ndio Nchi ina deni kubwa zaidi duniani
Ukiuwa private sector, ukauwa demokrasia, ukauwa diplomasia,unapaa kuelekea wapi kama sio kuzimu.
Mbona kenyatta anasafiri kila mwezi kwenda kwa Mabeberu ameipatia nini Nchi yake zaidi ya kitopea kwenye ufukara tu
Jamaa kajiumbua kweupee,kumbe huwa anajipa like yeye mwenyewe,CCM mmeishiwa aiseeUna ID ngapi uanzishe uzi mwenyewe una comment mwenyewe


Kawe alumni huyu ndio yule ndugu yako mnaechangia ngozi?
Nashindwa kuelewa,iweje mtu ahangaike vyote hivyo!Yaani anawahi kujijibu sijui ili iweje?Nafsini kwake anawazaje?Yaani ni kama kujiibia pesa yako mwenyewe!!
Tangu lini beberu kumuheshimu mbuzi jike? Mkia tu kwenda mbele, mbele za watu!
Mkuu nitag kwenye huo jMbona umemkimbia kiranga?
Nakuunga mkono comrade
Pompeo analazimisha watu wafanye ufirauni wasipofanya ati anakataza watu wasiende marikani
Wazungu wameanza kushiwa maarifa
Wacha tutafute popcorn!Huoni kina pompeo wanavyohaha hawakai ofisni
Wasubiri picha Ndio kwanza linaanza
Nionyeshe picha ya Stiglers gorge ikiwa katika ujenzi wa bwawa