Mabeberu yameanza kutuheshimu sasa

Mabeberu yameanza kutuheshimu sasa

Nyakati zimebadilika
Mwenye shida ni Tanzania sio Marekani, tanbua hilo kwanza.
Tulisikia lugha sampuli hiyo na tukashiriki kulaani enzi za Raisi Nyerere pammoja na propaganda hizo sikumuona Marekani akisalimu amri,sana sana ni Raisi Nyerere ndie alitembea Marekani akakinga bakuli njaaa njaa.
 
Unadanganyika na GDP ambayo inaandaliwa na Mabeberu ili kuendelea kumvika shuka la ujinga mwafrika?

Export yao ni maua ya Mabeberu kwenye mashamba yao kenya hiyo ni pesa ya beberu Hakuna mkenya ananufaika

Bajeti yao ni hewa nenda kapitie utekelezaji wa bajeti ya mwaka juzi

Awareness ya kuzungumza kingereza Au mauaji ya kikabila?
Ukabila Kenya ulishakwisha wanachapa maendeleo. Chukua nchi hizo zilizowatumia positive falme za kiarabu,Singapore, Malaysia,south korea, Brazil,hongkong,Thailand ,India kwa uchache.Watawala wa kiafrica wanawananga mabeberu sababu ni kikwazo kwao kuuwa watu wao,kukaa mda mrefu madarakani, kikwazo kwao kwa utawala wa kidikteta. Bila the Hague, misaada, wangetutesa usiku na mchana kwa risasi furaha yao ni kutawala masikini
 
Wapinzani mkiishiwa hoja mnaanza kubweka kueneza uongo mtandaoni

Tanzania ya leo sio ya jana, pompeo ajitafakari
Mitandaoni unajichujia mwenyewe taarifa,si mmeyabana magazeti yaandike mvipendavyo.Nyerere alifaulu sababu zilikuwa ni zama za Giza alimiliki magazeti na vyombo vya kuchapia hivo aliwapa habari alizotaka yeye za nimeota kuna vita.Kumbe TV anamiliki yeye pekee nchi nzima.Zama zimebadilika hii ni dotcom yenye kuresoning,sio hile ya cooked information iliyofundishwa somo la historia lililochujwa eti umasikini wetu umeletwa na ukoloni,Mara sijui ukoloni mamboleo,mara sijui mashirika ya kimataifa utadhani hizo factors hazipo nchi hizo tulizokuwa nazo sawa kimaendeleo baada ya Uhuru. Kumbe ilikuwa ni janja janja ya watawala wa kiafrica kuwatupia lawama external factor wakati watawala ndio chanzo cha ufukara wetu Africa.
 
Hivi hizo 7800/= mnazopewa kila post mnashindwa kununua visimu Vinci vingi kuliko ku log out kila ukijikomment kwenye vi threads zenu ona Leo umejidhalilisha kweupe,
 
Hivi hizo 7800/= mnazopewa kila post mnashindwa kununua visimu Vinci vingi kuliko ku log out kila ukijikomment kwenye vi threads zenu ona Leo umejidhalilisha kweupe,
Yehodavi kalala mbele kasingizia anaenda shule utadhani jf haipo dunia nzima.Kusafisha mikojo ni lazima uwe umelewa
 
Pompeo siku hizi halali anaiwaza Tanzania

Kila kinachofanyika Tanzania anakifatilia

Anafuatilia kila hotuba za Rais wetu mpendwa pengine wanalazimika kujifunza hadi kiswahili ili wajue atasema nini.

Miaka ya katikati Tanzania tulipoteza ushawishi wetu wa kisiasa duniani ila toka Rais Magufuli ameingia madarakani mambo yamebadilika.

Bahati nzuri Rais wetu hana muda wa kwenda huko anatumikia Watanzania waliomchagua kwa mamilon ya kura.

Ikumbukwe Marikani huingiza Zaidi ya doller bilion tano kila mwaka kutokana na safari za viongozi wa Africa kwenda Marekani.

Ndani ya miaka minne Magufuli kutokwenda kule kinamuumiza kichwa pompeo

Kama Iran wameweza kumthibiti bwanyenye Kwanini sisi tumuogope?

Marais wa Africa wangekuwa kama Magufuli hakika bara la Africa lingeanza kupokea heshima inayostahili

Haiwezekani watu wanaiba raslmali zetu na sisi tunazindikiza huko kwa kutapanya mabilion ya walipa kodi.

Pompeo nenda kwa step,Tanzania ya leo sio ya jana

Rais Magufuli usitishike na hawa Mabeberu sisi Watanzania tunakuunga mkono kwa asilimia mia moja.

Baada ya pompeo kugonga mwamba huko Venezuela na north korea. Sasa anaanza kuleta janja janja kwetu, hatutakubali.

Tena mimi simwogopi kwenye ukurasa wake wa Twitter huwa nampa ukweli wake.
Wewe na nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyerere alikwenda kwenye mikitano muhimu na alihutubia Mabeberu sana sio hii ya siku hizi Viongozi wa Africa wakiwa wanahutubia Mabeberu yanatoka nje

Haiwezekani
Kweli akili zako ni ndogo mno! Kutoka nje na kuacha kumsikiliza anayehutubia ni ishara ya kutokubaliana na hotuba hiyo na kupuuzwa kwa mhutubiaji! Wenzetu huthamini sana muda na huwa hawapendi kupotezwa muda wao kwa ngonjera na vijembe vya kijinga Kama vya mwenyekiti wako asiyejua aongee nini, mahali gani, wakati gani na watu gani!
By the way, ule mkopo kutoka kwao mlishaupata? Unapoomba msaada na mkopo ni lazima kunyenyekea na kinyume chake utakosa na kupata hasira za sungura mhoro wa sisitaki mbichi hizi!
Heshimu watu uvae viatu na acha kuwalable kwa majina ya kipuuzi yaliyopitwa na wakati!
Propesa mimacho kapiga kimya na hasikiki lakini wewe kajamba nani ndio umwandikie Pompeo! Ona aibu!
 
Wapinzani mkiishiwa hoja mnaanza kubweka kueneza uongo mtandaoni

Tanzania ya leo sio ya jana, pompeo ajitafakari
Mkiishiwa hoja mwazijibu kwa risasi,kubambikia watu kesi za uhaini,uhujumu,uraia,kodi,ocd weka huyu ndani akae ndani utadhani ndani ni kuzimu kumbe umepewa mda wa kupumzika tu.Hivi kuna Lumumba mwenye uwezo wowote wa kujibu hoja bila msaada wa polisi kweli
 
Attachments

  • 2313388_1582204788565.png
    2313388_1582204788565.png
    150 KB · Views: 9
Utanyenyekea vipi unaomba mkopo wakati unaulipia!

Nakukumbusha Marikani Ndio Nchi ina deni kubwa zaidi duniani
Kweli akili zako ni ndogo mno! Kutoka nje na kuacha kumsikiliza anayehutubia ni ishara ya kutokubaliana na hotuba hiyo na kupuuzwa kwa mhutubiaji! Wenzetu huthamini sana muda na huwa hawapendi kupotezwa muda wao kwa ngonjera na vijembe vya kijinga Kama vya mwenyekiti wako asiyejua aongee nini, mahali gani, wakati gani na watu gani!
By the way, ule mkopo kutoka kwao mlishaupata? Unapoomba msaada na mkopo ni lazima kunyenyekea na kinyume chake utakosa na kupata hasira za sungura mhoro wa sisitaki mbichi hizi!
Heshimu watu uvae viatu na acha kuwalable kwa majina ya kipuuzi yaliyopitwa na wakati!
Propesa mimacho kapiga kimya na hasikiki lakini wewe kajamba nani ndio umwandikie Pompeo! Ona aibu!
 
Una hoja gani wewe zaidi ya kubeba mabegi ya mbowe

Back
Top Bottom