Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 25,967
- 28,295
Au laa watekwee!Hao wazomeaji watakuwa ni vijana kutoka nchi jirani. Watanzania hawawezi kufanya hivyo. Uchunguzi ufanyike haraka ili wafikishwe mahakamani.
Au laa watekwee!Hao wazomeaji watakuwa ni vijana kutoka nchi jirani. Watanzania hawawezi kufanya hivyo. Uchunguzi ufanyike haraka ili wafikishwe mahakamani.
Na bado kufanyaje?. Kuzomea au kusikitika?🤣🤣🤣🤣🤣Ndugu zangu kwa masikitiko makubwa jana mabeberu wamewalipa watu wote walioingia kwenye hafla ya miaka 30 ya bongo fleva ili wamzomee, kumbagaza na kumbananga mwana FA.
Inauma sana. Mimi kama abduli aka Ponjoro wa Kinondoni nimesikitika sana. Na bado.
ha kweli, kumbe hayo maandamano muliro hakuyajua ajaze maafande wake hapo ukumbini?Watu wanaandamana miyoni siku zote.
Alitakiwa akae uteuzi tangu mwanzo kabisa. Huwa wanakubali vipi teuzi za hawa watu?Mwana FA jana aliaibika sana
hasafishiki kwa lugha yoyote ile KUZOMEWA KAZOMEWA na MULIRO na maafande wake hawakuwapo KUWAPOTEZA wazomeajiMwana FA hakuzomewa kwa sababu za kisiasa,bali alizomewa kwa kuingiza siasa kwenye burudani za watu,ni ukosefu wa maono,kwa mfano angesema kuwa leo tunashangilia na kucheza mziki hapa lakini miaka ijayo tutacheza kwenye arena ya kisasa ambayo itajengwa hivi karibuni,hakuna mtu angemzomea.Lakini ukichanganya mafuta na maji lazima balaa itatokea
Hivyo tu?. Halafu asimtaje Boss wake?. Kutumbuliwa kungemuhusu. Yeye alitakiwa akatae uteuzi tangu mwanzo ili kutunza heshima yake!Mwana FA hakuzomewa kwa sababu za kisiasa,bali alizomewa kwa kuingiza siasa kwenye burudani za watu,ni ukosefu wa maono,kwa mfano angesema kuwa leo tunashangilia na kucheza mziki hapa lakini miaka ijayo tutacheza kwenye arena ya kisasa ambayo itajengwa hivi karibuni,hakuna mtu angemzomea.Lakini ukichanganya mafuta na maji lazima balaa itatokea
😂😂Hao wazomeaji watakuwa ni vijana kutoka nchi jirani. Watanzania hawawezi kufanya hivyo. Uchunguzi ufanyike haraka ili wafikishwe mahakamani.