Romanus js
Member
- Jul 6, 2026
- 24
- 52
.
Anamaanisha MAMBUZI DUME ndio wamemzomea HamisiBeberu gani? Mmeshaona watanzania hawana akili, mabeberu ndio wana akili kuwapambania madhila yao. Kila kitu ni mabeberu tu, kwani wananchi hawana akili?
Jana nasikia kuna watu walikamatwa vipenyo walikuwa wengi sana😁😁 kumbe kazomewa !!!
Kweli raia wanauchungu na Nchi Yao ila ni vile tu wanaogopa kupigwa RPG
Wee acha use..... yani raia wanapoonesha kuchoka na mienendo ya hii serikali haramu ww unakimbilia kusema ni mabeberu mbn mnawafanya wabongo km wapuuzi wakat wote akati nyie ndo wa.......😤😡Ndugu zangu kwa masikitiko makubwa jana mabeberu wamewalipa watu wote walioingia kwenye hafla ya miaka 30 ya bongo fleva ili wamzomee, kumbagaza na kumbananga mwana FA.
Inauma sana. Mimi kama abduli aka Ponjoro wa Kinondoni nimesikitika sana. Na bado.
Punguza jazba, soma vizuri.Wee acha use..... yani raia wanapoonesha kuchoka na mienendo ya hii serikali haramu ww unakimbilia kusema ni mabeberu mbn mnawafanya wabongo km wapuuzi wakat wote akati nyie ndo wa.......😤😡
Huo ni ukweli sio jazibaPunguza jazba, soma vizuri.
Inaonesha IQ yako haiko sawa.Huo ni ukweli sio jaziba
IQ yako ingekuwa saw ungeelekeza njia bora ya kutatua tatizo na sio kusingizia mabeberuInaonesha IQ yako haiko sawa.
Mwana FA hakuzomewa kwa sababu za kisiasa,bali alizomewa kwa kuingiza siasa kwenye burudani za watu,ni ukosefu wa maono,kwa mfano angesema kuwa leo tunashangilia na kucheza mziki hapa lakini miaka ijayo tutacheza kwenye arena ya kisasa ambayo itajengwa hivi karibuni,hakuna mtu angemzomea.Lakini ukichanganya mafuta na maji lazima balaa itatokeaNdugu zangu kwa masikitiko makubwa jana mabeberu wamewalipa watu wote walioingia kwenye hafla ya miaka 30 ya bongo fleva ili wamzomee, kumbagaza na kumbananga mwana FA.
Inauma sana. Mimi kama abduli aka Ponjoro wa Kinondoni nimesikitika sana. Na bado.
Ndiyomaana nakwambia hujui fasihi😁IQ yako ingekuwa saw ungeelekeza njia bora ya kutatua tatizo na sio kusingizia mabeberu
Usikwepeshe hv unais ni kwanin unaitwa ponjoro wa kinondoniNdiyomaana nakwambia hujui fasihi😁
Hivi unajua neno ponjoro lina asili gani na ni nini maana yake?Usikwepeshe hv unais ni kwanin unaitwa ponjoro wa kinondoni
Tumeanza ule utamaduni wa swali juu ya swaliHivi unajua neno ponjoro lina asili gani na ni nini maana yake?
Ndio,kwakuwa watu wengi hutumia neno bila kulifahamu asili yake na maana yake.PONJORO NI NENO LA KISWAHILI MAANA YAKE NI MTU MVIVUTumeanza ule utamaduni wa swali juu ya swali
Najua shida ni IQ ndiyomaana umeshindwa kabisa kutambua kuwa uzi huu ni sarcasm.Usikwepeshe hv unais ni kwanin unaitwa ponjoro wa kinondoni
Kwa hakika mabeberu sii watu wema!Ila zipo tetesi kuwa tikiti zilinunuliwa wahudhuriaji na bado Ntu kazimewa?Ndugu zangu kwa masikitiko makubwa jana mabeberu wamewalipa watu wote walioingia kwenye hafla ya miaka 30 ya bongo fleva ili wamzomee, kumbagaza na kumbananga mwana FA.
Inauma sana. Mimi kama abduli aka Ponjoro wa Kinondoni nimesikitika sana. Na bado.