Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,873
- 15,125
Nilikuwa naiskia tu mirungi
Mara ya kwanza kuona mtu anatafuna mirungi pembeni yangu nkiwa nimepanda tashrif
Anavyotafuna utadhani ana njaa,na enzi zile Kuna vibigijii vinaitwa PK.kila sekunde anafungua kaka kama ishirini mpaka zinajaa mdomoni anatafuna huku mkononi kashika fungu la majani.
Mwamba anatafuna mirungi non stop toka Tanga Hadi ubungo terminal.shida Sasa hatafuni kistaarabu ni nyam nyam nilipata tabu.