Mabasi ya Usiku: Visa nilivyo kutana navyo!

Safari za usiku bila kukaa na pisi kali ni michosho sana. Juzi nimesafiri kwenda Moshi, nikakaa siti Moja na Mama mtu mzima, daaah ilikuwa ni jau. Then kukawa na pisi kali wamekaa wawil kwny siti ya nyuma yangu. Nilitamani nimwambie mmoja ahamie nlipo na Mimi nirud siti yake. 😒😒😮‍💨
Wewe unamatatizo (Jokingly).
 
Kata siti ya mbele dirishani, hiyo siti unaweza badilishana na mtu yeyote lakini kumbuka kubeba kinga.
Khe! wee! Hairuhusiwi kunaniliu ndani ya basi hata kama ni uck na mmeketi pamoja tena hairuhusiwi watu wazima kukaliana broo.
 
Imeandikwa "Usitamani mali ya mtu mwingine....." i.e. wewe ulitamani jirani yako

Next time napanda usafiri, nitapambana nikae siti ya mbele opposite na driver. Kisha nafungua apps zangu naanza kusoma.

Yanayoendelea huko nyuma sijali.🥰🥰🥰
 
Eh,Eh! Unafngua Apps zako tena.? Labda cjaelewa vizuri; Ni Apps gani?
 
Baada ya mabasi kuanza safari za Usiku, nimekuwa nikisafiri sana hasa kama nikikosa ndege. Mabasi hayo yana raha na karaha, hizi ni baada ya karaha;

  1. Jirani yangu anabdili nepi ya mtoto wa miaka 4 , kitu kinanuka balaa, safari nzima kuziba mdomo.​
  2. Jirani ile tumefika tu Kabuku kabla ya Segera pale michungwani tukitoka dar kuelekea Arusha, akanitapikia, alikuwa amekula makande, aloo si poa.​
  3. Konda kila saa ananiuliza kwanguvu jina langu na kituo ninachoshukia.​
  4. Gari ina AC, watu wanaziba zile buttons, joto kali unasinzia kwa kukosa oxygen.​
  5. Gari inasimama hotelini, chips kavu elfu 5 na mshikika mmoja elfu 2.​
  6. Wakati tukifika hotelini, dereva anashuka fasta, wao wanatwambia kula dakika 10, wameandaliwa na wanakula kwa muda ila abiria wa mwisho kushuka hata hajafika msalani anaambiwa muda umeisha gari inaondoka.​
  7. Kukaa siti moja na mkaka, tangu amepanda ameweka tunini twake masikioni, hata salamu hamna , masaa 8 hatujaongea eti tunafika Tengeru ananiuliza hapa ni wapi nikamwambia sijui labda ni Morogoro.​
  8. Huyo mkaka nimekaa naye kwenye TAHMEED ya Nairobi, akapiga simu kwa mpenzi wake wanaongea zaidi ya dakika 60 kimapenzi, kuna vitu walikuwa wanaongea mpaka ninasisi mka.​
Haha hiyo no 8 na 9 mecheka kweli.poleni
 
Nilikaa na mmama alikua amepika homu akafunga ili ale kwenye gari, ile tumeanza safari tu, akaanza kufungua mavitu na akawa ananilazimisha na mimi nile.

Nilikataa ila alisisitiza mno mwisho wa siku et akatoa 5000 ananipa ananiambia ntanunua maji ninywe maana nimekataa chakula.
She was expressing generosity- Kwa Desturi na Mila za Kibantu; mtu hakatai chakula kama hakuna sababu ya msingi bali huokota japo kakipande kwenye chakula hicho kisha anashukuru -Asante, nilikuwa nimekula muda sio mrefu.
 
Kuna siku nilikuwa natoka Mza-Arusha seat ya pembeni nikamkuta sister duu flani nikamsalimia akanicheck kuanzia juu hadi chini alafu akakausha na mimi nikasema fresh tu tumeenda kimya kimya tunafika Singida akaniomba nimuazime simu yangu ampigie mtu flani na mimi nikamcheck alafu nikamwambia simu yangu huwa haitumiwi na viziwi alafu ukimya ukaendelea
 
Enhe; Ukimya ulivyoendelea halafu baadaye nini kilitokea mkuu?
 
She was expressing generosity- Kwa Desturi na Mila za Kibantu; mtu hakatai chakula kama hakuna sababu ya msingi bali huokota japo kakipande kwenye chakula hicho kisha anashukuru -Asante, nilikuwa nimekula muda sio mrefu.
Kula kula ovyo siwezi mkuu.
Ningefanya hvo ningekuwa nimemfurahisha yeye alafu upande wangu nimeuminya
 
Baada ya mabasi kuanza safari za Usiku, nimekuwa nikisafiri sana hasa kama nikikosa ndege. Mabasi hayo yana raha na karaha, hizi ni baada ya karaha;

  1. Jirani yangu anabdili nepi ya mtoto wa miaka 4 , kitu kinanuka balaa, safari nzima kuziba mdomo.​
  2. Jirani ile tumefika tu Kabuku kabla ya Segera pale michungwani tukitoka dar kuelekea Arusha, akanitapikia, alikuwa amekula makande, aloo si poa.​
  3. Konda kila saa ananiuliza kwanguvu jina langu na kituo ninachoshukia.​
  4. Gari ina AC, watu wanaziba zile buttons, joto kali unasinzia kwa kukosa oxygen.​
  5. Gari inasimama hotelini, chips kavu elfu 5 na mshikika mmoja elfu 2.​
  6. Wakati tukifika hotelini, dereva anashuka fasta, wao wanatwambia kula dakika 10, wameandaliwa na wanakula kwa muda ila abiria wa mwisho kushuka hata hajafika msalani anaambiwa muda umeisha gari inaondoka.​
  7. Kukaa siti moja na mkaka, tangu amepanda ameweka tunini twake masikioni, hata salamu hamna , masaa 8 hatujaongea eti tunafika Tengeru ananiuliza hapa ni wapi nikamwambia sijui labda ni Morogoro.​
  8. Huyo mkaka nimekaa naye kwenye TAHMEED ya Nairobi, akapiga simu kwa mpenzi wake wanaongea zaidi ya dakika 60 kimapenzi, kuna vitu walikuwa wanaongea mpaka ninasisi mka.​
Ok watajaaa makoro iyo namba 8
 
Kuna siku nilikuwa natoka Mza-Arusha seat ya pembeni nikamkuta sister duu flani nikamsalimia akanicheck kuanzia juu hadi chini alafu akakausha na mimi nikasema fresh tu tumeenda kimya kimya tunafika Singida akaniomba nimuazime simu yangu ampigie mtu flani na mimi nikamcheck alafu nikamwambia simu yangu huwa haitumiwi na viziwi alafu ukimya ukaendelea

Bonge la Jibu Joh! 😂😂😂
 
Back
Top Bottom