Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 20,047
- 16,178
Speed limit ndo issueWa kyela anawahi wa tukuyu analala moro??
Hayo mabasi mnayopanda ni mikangafu, yanafika moro saa tano na kuendelea hivyo yanazuiwa.
Speed limit ndo issueWa kyela anawahi wa tukuyu analala moro??
Hayo mabasi mnayopanda ni mikangafu, yanafika moro saa tano na kuendelea hivyo yanazuiwa.
kweli kaka.mwnza apanda mabasi haya kwa uchache KISESA.LEO au AMIT.dar unangia leo leo na mwanza hakuna kulala.ukipanda magoboleWa kyela anawahi wa tukuyu analala moro??
Hayo mabasi mnayopanda ni mikangafu, yanafika moro saa tano na kuendelea hivyo yanazuiwa.
Ni kweli kabisa mkuu watu wanapata shida sana na bajeti zinaongozekaBadala ya kuwalaza watu Moro vikosi vya ulinzi na usalama vibuni mbinu na mkakati mpya wa kuhakikisha toka Moro to Dar barabara yake ni salama 24/7 maana ni pafupi sana na wanaweza kujipanga vzr na mambo yakaenda kuliko kukwamisha watu as if wanapanda treni
Basi kwa taarifa yako mbasi yote uliyoyataja yamelala Morogoro jana Kisesa Dar luxury Najumunisa hiyo Leo ndiyo niliyokuwa nimepandakweli kaka.mwnza apanda mabasi haya kwa uchache KISESA.LEO au AMIT.dar unangia leo leo na mwanza hakuna kulala.ukipanda magobole
Unajua mkuu hujajua tatizo ni huu utaratibu waliouweka Shanyanga mabasi yanaingia saa 3 Igunga saa 6 Dodoma saa 1 Morogoro saa 5 unakuta Traffic wapo Msamvu wanasubiriKisbo, Isamilo,dar lux,kisesa na kidia one ndio bus pekee zinazolala dar,nyingine zote zinalala Morogoro
Madereva mkuu wanabadilishana tatizo kuna zuio la kutotembea mabasi baaya ya saa 6 usiku.Kwahiyo kutoka hapo morogoro kwenda dar pana ajali ndio manake mnalala hapo morogoro?.Mbona kenya ni 24 hrs na hakuna ajali. Waweke madereva watatu mmoja ananzia mwanza mpaka Manyoni a na fika anakabidhi chombo, mwingine anapokea Manyoni mpaka moro anakabidhi chombo, mwingine anapokea moro mpaka dar chombo kinafika.
Sina taarifa kamili wakati mimi mwenyewe nimekuwa mhanga janaWewe huna taarifa sahihi. Mabasi yanayolala Morogoro ni ya Bukoba, kigoma na Musoma, mengine yote yanafika Dar japo inakuwa usiku.
Mkuu kwa utaratibu wa sasa dereva anatakiwa asitembee zaidi ya km 80 kwa saa achilia mbali maeneo ambayo yameweka mabango yanayomtaka dereva atembee km 50 mpaka 20Kwa mabasi yanayotoka Mbeya (Tukuyu, Tunduma, Kyela) kulala Moro itakuwa ni kuwachosha abiria kwa sababu basi huwa zinafika hapo msavu saa 9 au 10 jioni muda ambao ni mapema kbs.
Kulala njiani pamoja na usalama kwa kweli ni usumbufuNakubaliana na wazo hili, ni kweli kabisa kuwa madereva muda huo wa usiku wanakuwa wamechoka sana kutokana na safari ndefu na pia kwavile Traffice Police na tochi zao hazipo usiku, mwendo wanaokwenda nao ni wa kasi sana na hivyo uwezekano wa kusababisha ajali ni mkubwa.. Pengine ni busara tu kwa wahusika Sumatra kuweka utaratibu mzuri ili abiria na wamiliki wa mabasi waweze kufahamu ratiba na mazingira ya maeneo ambapo mabasi ya abiria yanalazimika kulala, ili maeneo hayo yaandaliwe ili kuwepo huduma zote muhimu na usalama wa abiria pia uzingatiwe
Suala siyo unafanya shughuli gani kinachotakiwa nikufika safari yako maana kama utafika saa 7 siku inayofuata utaendelea na shughuli zingine badala ya kuendelea na safarikwa mfano ukiingia dar saa saba usiku utafanya shughuli gani za kiuchumi?
Asante sana mkuuPolen
Safari ya Mwanza na Songea ni karibu zinalingana tena Songea ina milima mingi na kona kushinda Mwanza tatizo mkuu ni utaratibu mpya wa serikalinadhani kwa songea ameteleza tu hyo route hawalali Moro dar wanafika kuanzia saa 4 na ukiwa unatoka dar kwenda songea now wanafika kuanzia saa 3
Imesomeka mkuuRuvuma na Mbeya
Ni kweli mkuuMkuu mimi nakumbuka miaka ya 80s mabasi yalikuwa yanatembea usiku, kwa mfano unachukua sleeping coach to mwanza unaondoka ubungo saa mbili ya usiku unalaalaa weee asubui uko nyegezi unaenda kweye mishe mishe unageuka usiku wake to dar unaingia ubungo saa mbili asubuhi unaenda kuoga halafu ofisini.
Mkuu kwa umri wangu kwanza mambo hayo nilishaachana nayoMkuu wewe hukufurahia kulala pale Msamvu wanapoita Itigi? Hukuona wadada wenye mapaja manono wakiwa kwenye vimini?
Mwanza wanafika saa 8 usiku hawa wa Morogoro wana kiherehere wanataka sifaNayale yanayoenda mwanza yanalala wapi? Bora tu walale wanakimbia mno, mchana akikimbia tu tochi hiyo
[emoji12] [emoji12] mkuu siyo wote wenye uwezo huoSi ndio maana tumeagiza ndege zaidi, tusipominya huku kwenye mabasi kule tutapata hasara.
Kinachofuata mtalala kibaha mpaka wengi mje kupanda bombadier hehehehehe.
ZipoKUNA BUS ZA SWANGA-DAR sikuizi?