Mabasi kutoka mikoa ya mbali kulala Morogoro

Mabasi kutoka mikoa ya mbali kulala Morogoro

Ubungo 80's???!?? Hapakuwa na stand pale Ubungo terminal.
Nakumbuka pale Ubungo enzi za single lane palikuwa panaitwa Ubungo minazi. Mkifika mnanunua mikate kisha mnaanza mwendo
Mkuu hujanielewa,mimi nilikuwa nakumbushia 80s mabasi yalikuwa yanatembea usiku.ukirudishwa ule utaratibu leo hii na mabasi ya leo yapo ya sleeping coaches itakuwa safi.
 
Hujanielewa mwanangenya.
Wewe ndusu si ndo umesema ulikuwa unapanda sleeping coach saa 2 usiku hapo Ubungo, unalala asubuhi unajikuta uko Nyegezi unafanya mishemishe yako unarudi na la usiku tena? Miaka hiyo ya 80 wala stendi ya Nyegezi haikuwapo lusindo o'nyanda!!
 
Watoto wa mfalme wanaposhambuliana, chukua jembe ukalime!
 
Badala ya kuwalaza watu Moro vikosi vya ulinzi na usalama vibuni mbinu na mkakati mpya wa kuhakikisha toka Moro to Dar barabara yake ni salama 24/7 maana ni pafupi sana na wanaweza kujipanga vzr na mambo yakaenda kuliko kukwamisha watu as if wanapanda treni
 
Wanajamvi, imekuwa ni jambo la kawaida kwa mabasi kutoka Mwanza Tukuyu Songea Mwanza Kigoma kuzuiliwa Morogoro.

Pamoja na nia nzuri ya usalama lakini abiria wanateseka sana hasa ukizingatia kipindi hiki gharama za maisha Imekuwa juu.

Jana nilikuwa mhanga baada ya kukwama mji kasoro bahari nikitokea Mwanza.

Nadhani sasa wadau ni wakati muafaka wa kufuta safari za moja kwa moja kutoka katika hiyo mikoa ili abiria ajue kabisa kwamba atalala njiani.

Nawasilisha wakuu kwa mawazo yenu ju ya jambo hili.

Nchi yetu imejaa maamuzi mengi ya kijingakijinga tu.
 
JUMATATU SASA SITA YA USIKU TUKIWA NA HOOD TOKA ARUSHA TULIKUTANA NA BASI LIMEKULA MZINGA MAFINGA. SABABU NI MWENDO KASI, TUKAPIGWA PINI NA SISI TUKALALA HAPOHAPO BADALA YA MAKAMBAKO.

NI BORA TU YALALE MORO KUPUNGUZA AJALI
 
Moro mkifika kuanzia saa 4 na kuendelea na traffic wakiwakazia basi mtalala tu ila kunakuwaga na Noah zinachukua vichwa mpaka dar
 
KWA NINI MABASI YASIRUHUSIWE KUTEMBEA USIKU?
 
ukitaka usilale either shinyanga au mwanza kama unatoka dar au mwanza .......panda gari hizi

kisbo yeyote ile iwe 2x2 au 3x2 ..hizi gari ni za kwanza ama kwenda dar au mwanza usidanganyike na ma luxury utalala njiani

dar lux....hapa sasa hua yanakwenda kama ma 3 either mwanza au dar kuna uwezekano mkubwa moja au mawili kulala njiani au yote yasilale

star bus ...hili gari either linakua la 2 au 3 kutoka mwanza kwenda dar au vice versa
 
Wanajamvi, imekuwa ni jambo la kawaida kwa mabasi kutoka Mwanza Tukuyu Songea Mwanza Kigoma kuzuiliwa Morogoro.

Pamoja na nia nzuri ya usalama lakini abiria wanateseka sana hasa ukizingatia kipindi hiki gharama za maisha Imekuwa juu.

Jana nilikuwa mhanga baada ya kukwama mji kasoro bahari nikitokea Mwanza.

Nadhani sasa wadau ni wakati muafaka wa kufuta safari za moja kwa moja kutoka katika hiyo mikoa ili abiria ajue kabisa kwamba atalala njiani.

Nawasilisha wakuu kwa mawazo yenu ju ya jambo hili.
Siku ambayo madereva wa mabasi watakapo acha bangi,mirungi na viroba amini siku hiyo bus zote zitaruhusiwa kutembea usiku.
 
Back
Top Bottom