Mabasi kutoka mikoa ya mbali kulala Morogoro

Mabasi kutoka mikoa ya mbali kulala Morogoro

Huo ni mpango madhubuti wa wenye Mahotel na maguest house pale morogoro baada ya zile warsha na Semina za watumishi wa Serikali kufutwa rasmi na JPM.
Sasa mahotel wanalala panya na paka ndipo wakabuni kamtindo haka kwa ushirikiano wa Wazee pesa.
 
Kuna magari yanachomoa mzee!!!. Mwezi huu nimepanda basi jina kapuni. Tulifika morogoro saa mbili usiku. Dar saa 4. Sitamani kulipanda tena. Maana kwa speed ile bora nilale morogoro nifike dar kesho yake saa 7.
 
Wanazuia ikifika saa 5
 
Mabasi ya mwanza yanazuiwa Morogoro endapo tu yakiwasili hapo saa tano usiku na si vinginevyo.

Sisi wote ni wasafiri hapa. Tunalijua hili.
 
Back
Top Bottom