Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,406
Zipo
Hongereni wakombe, na lami ni ile toka stand mpk keepleft krb na Sabato?
Zipo
Hii sheria ya mabasi kusafiri mwisho iwe saa 6 usiku SUMATRA inabidi waiangalie upya kwa mabasi yanayofika muda huo Morogoro, kwasababu watu wanaoenda Dar huwa na majukumu maalumu. Napendekeza haya mabasi yaruhusiwe kuendelea na safari mpaka Dar, Kwa vigezo vifuatavyo
1. Makampuni ya mabasi wawe na madereva watakaoendesha mabasi hayo kuanzia Morogoro, na orodha na majina yao pamoja na leseni ziwasilishe kwa RTO kilasiku, na kabla ya kuendesha wapimwe kilevi
2. Kuanzia saa sita usiku barabara ya Dar Moro haina magari mengi, kwahiyo ni salama zaidi Kwa muda huo kuingia Dar, no jams anywhere.
3. Itasidia kupunguza gharama za maisha kwa watanzania wenzetu nikiwemo mimi ambao safari za kwenda Dar ni lazima na si hiari.
4. Itaboresha maisha ya Watanzania na ukuaji uchumi
Fikiri kabla ya kutenda acha kuropokaMorogoro kituo cha uzinzi na ukahaba
Nakubaliana na wewe ila ningeongeza optionsHii sheria ya mabasi kusafiri mwisho iwe saa 6 usiku SUMATRA inabidi waiangalie upya kwa mabasi yanayofika muda huo Morogoro, kwasababu watu wanaoenda Dar huwa na majukumu maalumu. Napendekeza haya mabasi yaruhusiwe kuendelea na safari mpaka Dar, Kwa vigezo vifuatavyo
1. Makampuni ya mabasi wawe na madereva watakaoendesha mabasi hayo kuanzia Morogoro, na orodha na majina yao pamoja na leseni ziwasilishe kwa RTO kilasiku, na kabla ya kuendesha wapimwe kilevi
2. Kuanzia saa sita usiku barabara ya Dar Moro haina magari mengi, kwahiyo ni salama zaidi Kwa muda huo kuingia Dar, no jams anywhere.
3. Itasidia kupunguza gharama za maisha kwa watanzania wenzetu nikiwemo mimi ambao safari za kwenda Dar ni lazima na si hiari.
4. Itaboresha maisha ya Watanzania na ukuaji uchumi
Jamaa yangu wewe unaweza kulala kwenye Basi mfano Taqwa imetoka Kampala au Bujumbura ambako kwao wanatembea hata usiku.Kwani ni lazima ushuke kwenye basi? Hauwezi kulala humo humo?
jamaa yangu umeshawahi kupanda haya Mabasi au unatumia gari ndogoLabda mlichelewakufika Moro, sio lazima kulala.
Nimesafiri na basi (KVC Safari) tarehe 30-11-2016. Limeondoka Nyegezi bus stand saa 06:14 na limefika Ubungo saa saba na dakika kadhaa usiku wa tarehe 01-12-2016.jamaa yangu umeshawahi kupanda haya Mabasi au unatumia gari ndogoLabda mlichelewa
mwendo sasa hivi kwa mabasi ya abiria aua malori ni speed limit 80km/h
sasa km 1000 au 900 bado mahali popote pa makazi ya watu ni 50km/h
bado usimame stend dk15
hwezi ingia Dar ni lazima ujisogeze mpaka Morogoro ndipo wamepangiwa kulala.
Napo sasa kuna kero kupindukia
bora abiria wa Mwanza apande treni na kulala huko
Morogoro kituo cha uzinzi na ukahaba
Mabasi hayatakiwi kutembea baada ya saa 6 usikuKwann wanazuiliwa,
Ni kweli mkuu tatizo lingine linasababishwa na hao traffic maana vituo vya ukaguzi vimekuwa ni vingi mno ndani ya mkoa mmoja basi linasimamishwa zaidi ya mara nne mpaka tano.Hii sheria ya mabasi kusafiri mwisho iwe saa 6 usiku SUMATRA inabidi waiangalie upya kwa mabasi yanayofika muda huo Morogoro, kwasababu watu wanaoenda Dar huwa na majukumu maalumu. Napendekeza haya mabasi yaruhusiwe kuendelea na safari mpaka Dar, Kwa vigezo vifuatavyo
1. Makampuni ya mabasi wawe na madereva watakaoendesha mabasi hayo kuanzia Morogoro, na orodha na majina yao pamoja na leseni ziwasilishe kwa RTO kilasiku, na kabla ya kuendesha wapimwe kilevi
2. Kuanzia saa sita usiku barabara ya Dar Moro haina magari mengi, kwahiyo ni salama zaidi Kwa muda huo kuingia Dar, no jams anywhere.
3. Itasidia kupunguza gharama za maisha kwa watanzania wenzetu nikiwemo mimi ambao safari za kwenda Dar ni lazima na si hiari.
4. Itaboresha maisha ya Watanzania na ukuaji uchumi
Nakubaliana na wewe mkuu mabasi yaongezwe speed kidogo mpaka 100 na traffic wapunguze kusimamisha mabasi bila sababu ya msingi.Jamaa yangu wewe unaweza kulala kwenye Basi mfano Taqwa imetoka Kampala au Bujumbura ambako kwao wanatembea hata usiku.
Chumba ni kidogo watu 50,
kuna kukoroma
kuachia hewa nzito
kupapasana kiti cha nyuma (abiria mlikuwa hamjuani mmepanda tu asubuhi usiku mmeshajuana)
kujisaidia kwenye machupa ya maji (Condom na vitu vingine kutupwa nje na pembezoni mwa mabasi)
ukiwa kati ndio hata dirisha usifungue
Hebu wateteeni abiria wasafiri hata masaa 24
au magari yaende mwendo wa 100km/h yanaweza kufika ndani ya hayo masaa 16
Kuna Kikao cha Wadau, Serikali, na Polisi tunaomba muyaruhusu mabasi yatembee usiku
hawa wenye magari binafsi hawajui ADHA zake
Ni kweli mkuu baadhi wanabisha hata kusafiri hawajasafirijamaa yangu umeshawahi kupanda haya Mabasi au unatumia gari ndogoLabda mlichelewa
mwendo sasa hivi kwa mabasi ya abiria aua malori ni speed limit 80km/h
sasa km 1000 au 900 bado mahali popote pa makazi ya watu ni 50km/h
bado usimame stend dk15
hwezi ingia Dar ni lazima ujisogeze mpaka Morogoro ndipo wamepangiwa kulala.
Napo sasa kuna kero kupindukia
bora abiria wa Mwanza apande treni na kulala huko
Kwani huo si ndio alioeleza huyo ndugu hapo juu maana kwa kawaida mlionewa huruma maana ikifika saa 6 usiku mnatakiwa mlale.Nimesafiri na basi (KVC Safari) tarehe 30-11-2016. Limeondoka Nyegezi bus stand saa 06:14 na limefika Ubungo saa saba na dakika kadhaa usiku wa tarehe 01-12-2016.
Acha kukariri fuata uhalisia.
Nakubaliana na wewe mkuu kuna mambo mengi yanachia kulazimisha watu kulala njianiMimi nimewahi kulala pale kwa basi la kutoka Kyela mwez wa 10, Kwa kadri ya sababu zinazotolewa ukiwa mvivu wa kufikiri unaweza amini kuwa ni za msingi lakini ukweli ni kuwa ni mpango na wenye hotel na migahawa pale hivyo Rushwa Yahusika.
Dereva wa basi nililopanda alilalamikia kitu ambacho kweli nami nilithibitisha kipo. Hakuna gari ya mkoa iliyolala pale inaruhusiwa kuondoka kabla ya mabasi ya Abood. Mabasi ya mkoa yakijipanga Abood zinarihusiwa kuja kuegesha mbele ili ziwe za kwanza kurihusiwa ikifika SAA 12 asubuhi. Watoa masmuzi ya kijinga kama hayo hawahusiki na kero za kulala porini
Ni ushirikina wa hali ya juu kudhani kuwa ajali za mabasi zinaanza baada ya SAA NNE usoku.
Ni utafiti gani uliofanywa na hutuhumu SAA za usiku kuwa ni parameters muhimu kwenye ajali ? Uzembe uwe wa mchana au usiku unasababisha ajali lakini sio muda Fulani wa usiku au nchana.
Hiyo ni imani iliyopitwa na wakati
Ni wakati sasa magari yatumie taa zilizoekwa sio kwa ajili ya kupamba gari Bali ni kwa ajili ya kutumika wakati wa Giza
Bado tuko busy kutaka kurudi kule ambako toka mbeya hadi Dar kusafiri Sikh mbili wakati mabasi na muundo wa barabara unakidhi safari ya masaa 11 tu.
Hakuna gari imeundwa kwa kupata ajali iwe ni usiku au mchana. TBS na SUMATRA wasiruhusu kusajili magari yaliyotengenezwa kwa ajili ya kutembea mchana lakini sio mkuelrupuko wa kulazana barabarani kwa sababu zisizo na msinhgi kabisa
Hiyo siyo fani yangu mkuu.Labda hakua na hela huyu au hakujua bei za takeaway Moro kua buku 5 unafungashiwa mixer ... Next time mleta Uzi ukilala Moro nenda itigi au kaumbu utapata bidhaa bora kwa buku mbili tu