Mabasi kutoka mikoa ya mbali kulala Morogoro

duuh Songea huwa wanafika Dar 4:30 usiku inakuwaje wanalala moro
nadhani kwa songea ameteleza tu hyo route hawalali Moro dar wanafika kuanzia saa 4 na ukiwa unatoka dar kwenda songea now wanafika kuanzia saa 3
 
Nyosha Maelezo kaka wapi Na wapi ?mikoa hio haipo sijawai siki
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] awewe rweyemamau weewee...loohh
Ni wazo zuri ila kama mtanzania mwenzangu nakukumbusha tu, hatuna mikoa inaitwa Tukuyu na Songea. Siku nyingine tafuta majina sahihi ya mikoa na hii si kwa faida yako tu, bali kwa walio bado kwenye elimu msingi
 
Wanajamvi, imekuwa ni jambo la kawaida kwa mabasi kutoka Mwanza Tukuyu Songea Mwanza Kigoma kuzuiliwa Morogoro.
DUNIA NZIMA NI TANZANIA PEKEE MABASI YANAZUIWA KUTEMBEA USIKU,HATA SOMALIA MABASI YANATEMBEA 24/7 HAKA KANCHI NI KA AMRI AMRI.
 
Tuondokane na ujima kwamba mabasi hayawezi kusafiri usiku. Nchi nyingi zikiwemo za jirani mabasi yanasafiri usiku!
Kwa nini bus isiondoke Mwanza au Kyela saa nne usiku na kufika Dar asubuhi?
Baadaye mtu anafanya shughuli zake na kuondoka usiku kurudi Mwanza au Kyela!
 
Pole mkuu kama unatoka mwanza kuja dar jipange tu upande ndege mbona bei zimeshuka sana kuliko kulala njiani na unachoka sana.
Ni ujinga kusafiri Km 1000 kwa Siku 2 Mwaka 1970 nilisafiri Km hizo hizo kwa Siku 2. Leo 2016 miaka 46 mataka nisafiri vilevile?. Polisi waache ushamba
 
DUNIA NZIMA NI TANZANIA PEKEE MABASI YANAZUIWA KUTEMBEA USIKU,HATA SOMALIA MABASI YANATEMBEA 24/7 HAKA KANCHI NI KA AMRI AMRI.
Kwa kweli ni shida maana Somalia ndiyo kwenye vita visivyokwisha
 
Tuondokane na ujima kwamba mabasi hayawezi kusafiri usiku. Nchi nyingi zikiwemo za jirani mabasi yanasafiri usiku!
Kwa nini bus isiondoke Mwanza au Kyela saa nne usiku na kufika Dar asubuhi?
Baadaye mtu anafanya shughuli zake na kuondoka usiku kurudi Mwanza au Kyela!
Na ndivyo ilivyokuwa zamani
 
Ni ujinga kusafiri Km 1000 kwa Siku 2 Mwaka 1970 nilisafiri Km hizo hizo kwa Siku 2. Leo 2016 miaka 46 mataka nisafiri vilevile?. Polisi waache ushamba
Ni balaa mku vilaki vitatu
 
Ni wazo zuri ila kama mtanzania mwenzangu nakukumbusha tu, hatuna mikoa inaitwa Tukuyu na Songea. Siku nyingine tafuta majina sahihi ya mikoa na hii si kwa faida yako tu, bali kwa walio bado kwenye elimu msingi
Sawa mkuu nimekusoma
 
Ruvuma na Mbeya
 
Mkuu mimi nakumbuka miaka ya 80s mabasi yalikuwa yanatembea usiku, kwa mfano unachukua sleeping coach to mwanza unaondoka ubungo saa mbili ya usiku unalaalaa weee asubui uko nyegezi unaenda kweye mishe mishe unageuka usiku wake to dar unaingia ubungo saa mbili asubuhi unaenda kuoga halafu ofisini.
 
Wanajamvi, imekuwa ni jambo la kawaida kwa mabasi kutoka Mwanza Tukuyu Songea Mwanza Kigoma kuzuiliwa Morogoro.

Pamoja na nia nzuri ya usalama lakini abiria wanateseka sana hasa ukizingatia kipindi hiki gharama za maisha Imekuwa juu.

Jana nilikuwa mhanga baada ya kukwama mji kasoro bahari nikitokea Mwanza.

Nadhani sasa wadau ni wakati muafaka wa kufuta safari za moja kwa moja kutoka katika hiyo mikoa ili abiria ajue kabisa kwamba atalala njiani.

Nawasilisha wakuu kwa mawazo yenu ju ya jambo hili.
Mkuu wewe hukufurahia kulala pale Msamvu wanapoita Itigi? Hukuona wadada wenye mapaja manono wakiwa kwenye vimini?
 
Wewe ganyana ebhe utakuwa kaongo, basi gani lilikuwa linatumia masaa tu kufika Mwanza miaka hiyo ya 80? Kwa barabara gani?
 
H
Mkuu wewe hukufurahia kulala pale Msamvu wanapoita Itigi? Hukuona wadada wenye mapaja manono wakiwa kwenye vimini?
Alikuwa anasafiri na wakwe zake si aibu tupu.
 
Wanajamvi, imekuwa ni jambo la kawaida kwa mabasi kutoka Mwanza Tukuyu Songea Mwanza Kigoma kuzuiliwa Morogoro.

Pamoja na nia nzuri ya usalama lakini abiria wanateseka sana hasa ukizingatia kipindi hiki gharama za maisha Imekuwa juu.

Jana nilikuwa mhanga baada ya kukwama mji kasoro bahari nikitokea Mwanza.

Nadhani sasa wadau ni wakati muafaka wa kufuta safari za moja kwa moja kutoka katika hiyo mikoa ili abiria ajue kabisa kwamba atalala njiani.

Nawasilisha wakuu kwa mawazo yenu ju ya jambo hili.
Nayale yanayoenda mwanza yanalala wapi? Bora tu walale wanakimbia mno, mchana akikimbia tu tochi hiyo
 
Si ndio maana tumeagiza ndege zaidi, tusipominya huku kwenye mabasi kule tutapata hasara.

Kinachofuata mtalala kibaha mpaka wengi mje kupanda bombadier hehehehehe.
 
Back
Top Bottom