Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Nimecheka sana kaka mbona unatupa chai ya moto alafu haina sukari??

Iyo gari ni SCANIA HIGER TOURING na sio gemilang kaka iyo body imeundwa na HIGER CHINA under scania license,

Hapa bingo hatuna sababu hizi..

Bei
Kodi
Kikubwa Zaidi ni vipimo vya izo bus ni mita 12 na mita 13.8/14 tz mwisho wetu ni mita 12.5 ukinunua ilo shart litembee na escot ya abdomal au ulikate kama ilasi
Inawezekana nimekosea lakini nimeshapanda gemilang botwana na ilikuwa Man sio scania ,
Na ilifanana Sana na hiyo alopost mdau
Sent
 
Basi za ghotofa au hiyo moja hapo juu mdau aliyopost haziwezi kutembea Tanzania kwa sheria za Tanroad, Ni ndefu kwa sheria za Tanroad itabidi zitembee na vipeperushi vya abnormal.
Ilasi bus wa vwawa ilibidi akate kupunguza urefu marcopolo 2010 yake mpya kabisa kuepuka faini za Tanroad.

Sent
Hawa wanaotunga hizi Sheria..sijui hua wanawaza nn
 
Unaziona gemilang zikiwa huko Malaysia? Hizi ni injini nyuma haya nitofautishie hizi na izo sauli tuone. View attachment 1494942View attachment 1494943View attachment 1494944
Katika post yangu nimekueleza kuwa gemilang ina original kioo kimoja Cha mbele , zile za akina sauli huoni kuwa zina vioo viwili?
Gemilang original ina finishing ya fibers na plastic ndani umeahaiona ile ya Tashrif ilivyochoka ndani finnishing? Ni mabati tupu , hata mabuti ya mzigo Ni heavy metal full makelele likitembea

Hizi pia Ni gemilang original View attachment 1494946
AMNE1_TP1095_%40_61x.JPG


Sent
 

Attachments

  • AMNE1_TP1095_%40_61x.JPG
    AMNE1_TP1095_%40_61x.JPG
    128.6 KB · Views: 2
Kwa jinsi biashara ya basi ilivyomzingua hawezi kutamani Tena kuwa na magari, kwanza biashara ya Lori za kichina labda ubebe mafuta , sio hard work. ndio hazidumu kabisa huko utasema Bora hata mabasi yao .

Sent
si la kucheka ila samahani, imebidi nicheke..
gari zake ni tipper za vifusi, vichwa vyote HOWO
 
Botswana hakuna gemilang mkuu chunguza vizuri pengine unazungumzia yale masufuria ya kisauz MCV
Sijui exposure yako Ila nafahamu niliwahi kupanda miaka ya 2011, wakati huo ilikuwa Ni Man ,last time nimepita Botwana ilikuwa mwaka 2014 na bado ilikuwepo hiyo basi , gabarone to fransis Town

Sent
 
si la kucheka ila samahani, imebidi nicheke..
gari zake ni tipper za vifusi, vichwa vyote HOWO
Nimeziona nikaishia kusikitika tu, kwa mtaji au jina alikokuwa nalo, alikosa kitu kimoja vital Sana kwenye biashara ya magari ... Information!
Huwezi ukawa na business plan kubwa Kama ile yake halafu ukategemea gari ya kichina ndio I execute the plan! Never , kwake kufeli kwenye basi ilikuwa ni obvious.
Badala ya kulundika matakataka ya kichina , ilitakiwa anunue scania 10 tu mpya, angepata warranty ya miaka kadhaa kutoka Saab scania , na comprehensive insurance in case of emergency, then anarelax akikikusanya mpunga wake Tartiiiibu kabisa, by the time warranty inaisha angesgakuwa kaongeza zingine hata tatu, nne mpya

Sent
 
Sheria tz kwenda juu ni mita 5.5 double deck ina mita 4.2 tatizo sio kwenda juu tatizo ni meter long...
Ni mita 4.6 kwenda juu , ingekuwa 5.5 malori yangekuwa yanabebana yakipata hitifafu huko maporini. Kwasasa ili uibebe Lori Ni lazima uitoe matairi, na Kama ni Topline kibali lazima kihusike.

Sent
 
Sheria nyingi za Tanroad zinaumiza , interlink ya south Africa hadi leo inabidi iishie Tunduma .

Sent
Naona Tanzania matajiri wamepunguza urefu kidogo kwenye tela za Interlink ili wasisumbuliwe kama wakina Simba Mtoto,Usangu na Salman.
 
Boss aliamua kuzipaki zilikuwa na shida kwenye sensa za body kuna muda ilikuwa inajiinua sana ukitaka kuishusha inashuka moja kwa moja hadi chini! Wakashauri ziwekewe mzani ya kawaida akagoma kuwa itakuwa haina tofauti na mabasi ya kichina. Ile ilikuwa na uwezo unailaza upande uutakao, na hata ikiwa inapita kwenye makorongo ndani huwezi kuhisi chochote..
 
Boss aliamua kuzipaki zilikuwa na shida kwenye sensa za body kuna muda ilikuwa inajiinua sana ukitaka kuishusha inashuka moja kwa moja hadi chini! Wakashauri ziwekewe mzani ya kawaida akagoma kuwa itakuwa haina tofauti na mabasi ya kichina.. Ile ilikuwa na uwezo unailaza upande uutakao, na hata ikiwa inapita kwenye makorongo ndani huwezi kuhisi chochote..
Mkuu nipe uchambuzi kidogo wa zile Basi Grazia Venerale. Nilikuwa naiona njia hiyo ya Njombe siku hizi sijui kama zipo.
 
Tatizo hapa kwetu ujanja ujanja mwingi
Gari nyingi za hapa zinavuta 40 ft kwani zinatofauti gani na interlink za SA?
 
Hazipo kwa sasa ila walianzisha rout ya Mbeya~Arusha nako naona wameacha, Bus ziliandikwa Grecious kama sijakosea ila boss alikuwa ndugu na yule wa Grazia ya zamani!.. Yule boss wa Grazia aliwahi kuchonga body refu pale buguruni likawa na choo ndani! Aliiteka sana Njombe kipindi kile
 
Nimeona pia Ila inaondoa maana halisi ya interlink inakuwa pambo tu, Namibia gvm ya interlink ni Tani 70 huku kwetu nafikiri wame Zi limit kwenye Tani 56

Sent
 
Back
Top Bottom