t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 6,382
- 14,786
Inawezekana nimekosea lakini nimeshapanda gemilang botwana na ilikuwa Man sio scania ,Nimecheka sana kaka mbona unatupa chai ya moto alafu haina sukari??
Iyo gari ni SCANIA HIGER TOURING na sio gemilang kaka iyo body imeundwa na HIGER CHINA under scania license,
Hapa bingo hatuna sababu hizi..
Bei
Kodi
Kikubwa Zaidi ni vipimo vya izo bus ni mita 12 na mita 13.8/14 tz mwisho wetu ni mita 12.5 ukinunua ilo shart litembee na escot ya abdomal au ulikate kama ilasi
Na ilifanana Sana na hiyo alopost mdau
Sent