Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

SCANIA ni gari dume aisee, we angalia tu magari ya KILIMANJARO EXPRESS au SAIBABA kww miaka yote, huwezi kufananisha na hizi Broiler za kichina.

images%20(32).jpg
 
[QUOTE="t blj, post: 37035693, member: 6
Kuna mwaka flan tulipat kazi ya kusafirisha mtambo wa mzungu mmoja kutoka dar kwenda Rwanda , ilikuwa ni njia yenye milima sana ukitokea Kigali mtambo ulikuwa ni heat echanger ambayo ilikuwa imekuwa disassembled kwenye trailer 13, kwa Bahati mbaya gari yetu ndio ilionekana ni nzee Kati ya gari zote na supervisor wa mzigo Ali I rule out kwamba kwa thamani ya mzigo na terrain unapokwenda mzigo isingefaa kubebwa na gari yetu , ni 164 480 ya mwaka 2000 na wakati huo na ilikuwa ina Kama Miaka 15 , plus 2 millions km on the clock, bas baada ya vikao vya hapa na pale , tukamjenga transport officer akakubali tupakie kwa masharti ya rate pungufu ili apate pesa ya Maji...!! Kiukweli kazi ilikuwa inalipwa vzr . Kilichotokea huko rwanda gari mbili Kati ya zile pamba zilishindwa kufika eneo la tukio , moja ilikufa Engine km 110 nyuma na nyingine ikauwa gearbox layshaft km 90 kabla ya site , site manager akatoa offer ya kwenda kuvuta zile trailers , wote wakakataa , ikabidi tujitoe muhanga maana bila trela zote kutimia delivery note ilikuwa haisainiwi kwa yoyote hivyo tungepoteza muda sana pale tukaenda kuchukua trela ya kwanza tukaileta site , tukafata ya pili tukaleta site , then tukaenda kupakia horse zote mbili , kurudi dar , Sasa Ile feeling nilisikia wakati narudi nyumbani huku tumezibeba gari mbili ambazo zilitumika Kama kielelezo cha kutunyima kazi ,.. I'll just never forget that, , V8 zina sauti flan ya mamlaka , very sweet , and deep pound to pound note . Tulipo fika dar ndio tulikuwa gumzo kwenye Ile ofisi na tukalipwa rate Ile Ile ya wenzetu plus gharama ya kuzibeba horse na kuifikisha site zile trela ,
I can imagine!!! Zile horse zilizokufa ni aina gani?[/QUOTE]Daf xf euro 5 na Man tga 440 with all the bells and whistles, halafu zikawa outsmarted na Gari ya 10+years of service
 
Hvi wadau kuna basi naziona zinapga route ya Lusaka to Jo'berg , kimuonekano hizi basi ni nzuri sana na nimezpenda bt hapa bongo sijawahi kuziona licha ya kuwa wabongo tunapenda sana basi nzuri swali ni kwamba hizi basi zikiwa mpya zinauzwa kiasi gani na used bei gani na vip uimara wa hizi basi lakin pia kwanin hapa kwetu hatuna hizi pamba?
FB_IMG_1603138192761.jpeg
FB_IMG_1602937270378.jpeg
FB_IMG_1600763987704.jpeg
 
Hvi wadau kuna basi naziona zinapga route ya Lusaka to Jo'berg , kimuonekano hizi basi ni nzuri sana na nimezpenda bt hapa bongo sijawahi kuziona licha ya kuwa wabongo tunapenda sana basi nzuri swali ni kwamba hizi basi zikiwa mpya zinauzwa kiasi gani na used bei gani na vip uimara wa hizi basi lakin pia kwanin hapa kwetu hatuna hizi pamba?View attachment 1629051View attachment 1629054View attachment 1629055
Irrizar I series
kwa sheria za Tanroad , hiyo Basi itabidi itembee na mabango meupe yaliyoandikwa abnormal mbele na nyuma pamoja na vitambaa viwili vyekundu kwenye side mirrors , huku ikilazimika kutembea kuanzia saa 12 ya asubuhi na mwisho ni 12 jioni. Mana ni ndefu kwa mujib wa sheria zetu
Bei ni very close to billion moja kwa pesa ya Tanzania
 
Mkuu t blj kuna basi za Volvo B10M hapa Tanzania kuna kampuni ya Secret Coach inazo zinapiga Dar-Mtwara.

Hizi basi injini imewekwa katikati au nyuma ya ekseli ya mbele, vipi uimara wake na Kwa mazingira ya huku zinaweza kuhimili. Maana daily hizi naziona zinapigwa spana Kibonde Maji.
 
Ile basi mbona mdebwedo hivi mkuu au naona vibaya.

Itakuwa mikono ya mafundi imefanya iwe mdebwedo. Ukiisogelea pembeni kila eneo imeandikwa precautions kuanzia sehemu za kuweka mafuta, coolants na betri.

Volvo si mashine ya kubeza tena kwa njia ya kusini inaanza vipi kuwa mchele mchele.
 
Hvi wadau kuna basi naziona zinapga route ya Lusaka to Jo'berg , kimuonekano hizi basi ni nzuri sana na nimezpenda bt hapa bongo sijawahi kuziona licha ya kuwa wabongo tunapenda sana basi nzuri swali ni kwamba hizi basi zikiwa mpya zinauzwa kiasi gani na used bei gani na vip uimara wa hizi basi lakin pia kwanin hapa kwetu hatuna hizi pamba?
Ingia https://autoline.info utaona Bei ya hizi bas used sio kubwa kivile tatzo lipo kwenye urefu tu ndio sheria za bongo zinapo wabania watu
 
Mkuu t blj kuna basi za Volvo B10M hapa Tanzania kuna kampuni ya Secret Coach inazo zinapiga Dar-Mtwara.

Hizi basi injini imewekwa katikati au nyuma ya ekseli ya mbele, vipi uimara wake na Kwa mazingira ya huku zinaweza kuhimili. Maana daily hizi naziona zinapigwa spana Kibonde Maji.
Volvo ikiwa mpya sawa,Ila katika maisha yake ya mwisho zinasumbua sana , Kama hizo za dar mtwara
Miaka ya 90 ilikuwepo moja chiku express Volvo B7, ilikuwa inaingia mnazi mmoja saa 9 ikitokea songea , baadaye zainab buss service nao wakanunua B7
 
Sio kwamba unataka tuhitimishe SCANIA ni simba wa barabara zetu?
 
Back
Top Bottom