Mabalozi wa CCM Igunga wataka kujivua gamba; Wadai rushwa ilitumika

Ngoja watafute uongo mwingine waje nao, KAZI wanayo
 
hawa mabalozi nao ni kama matahira watu wazima wanadanganywa wanakubali kwa nini hawakuyasema hayo wakati wa uchaguzi, au kama walijua ni rushwa kwa nini hawakukataa?? hawa ndio walikuwa wanaongoza kwa kununu shahada pumb.fu

Ni wanafiki; wameona upepo wa siasa unavyokwenda kuwa muda si mrefu ccm kitakuwa chama cha upinzani. Cdm iwe makini katika kupokea Xmagamba ili kuendelea kulinda uadilifu na heshima ya chama.
 
Walikuwa wapi kutetea wana wa Igunga mapema wanajitokeza sasa boti imezama wanafiki hao ni kuwa wametoswa mgao wao
 
utamwelimisha nani huko kijijini ilihali vyama vya upinzani havina hata matawi? Ila kuna swali huwa najiuliza mjumbe wa nyumba kumi ni kwaajili ya kusaidia matatizo ya wanachi wanomzunguka au ni kwa ajili ya chama? Hivi ni laziama mjumbe wa nyumba kumi awe mwana ccm? Hivi wanateuliwa au wanchaguliwa na nani? Je atakuwa yupo kwa matakwa ya kuwasaidia wanachi au chama? Je anatumikia chama au ni watu? Hii nchi mi naona bora iuzwe tu hadharani kila mtu agawane chake akafie mbali kuliko wachache wanavyoiuza kimya kimya Utafikiri hatuoni. Wajinga ndio waliwao.

Tatizo la "tittle za ujumbe wa nyumba kumi" ni kwamba ilianza tokea wakati ule wa chama kimoja, so mjumbe pamoja na kwamba ni kwa utumishi wa wanannchi lkn pia ilikuwa kama imeungana na chama hadi leo mentality hiyo ipo ndipo mahala vyama vya upinzani vinatakiwa kupeleka elimu hiyo vjjni kuwapambanua wananchi. That way tutapiga hatua.
 
utamwelimisha nani huko kijijini ilihali vyama vya upinzani havina hata matawi? Ila kuna swali huwa najiuliza mjumbe wa nyumba kumi ni kwaajili ya kusaidia matatizo ya wanachi wanomzunguka au ni kwa ajili ya chama? Hivi ni laziama mjumbe wa nyumba kumi awe mwana ccm? Hivi wanateuliwa au wanchaguliwa na nani? Je atakuwa yupo kwa matakwa ya kuwasaidia wanachi au chama? Je anatumikia chama au ni watu? Hii nchi mi naona bora iuzwe tu hadharani kila mtu agawane chake akafie mbali kuliko wachache wanavyoiuza kimya kimya Utafikiri hatuoni. Wajinga ndio waliwao.

Mkuu mbona hilo swali lako lina majibu humo humo!
 
CCM inapumulia mashine.Ujinga ujinga huu waendelee nao hadi na chaguzi za 2015,patachimbika tu.
 
Mabalozi 18 wameamua kukihama CCM kwa kile walichodai ni ubadhirifu wa resources isivyohalali wakati wa uchaguzi ikiwa ni pamoja na rushwa. Hawajaamua wanahamia chama gani bado but CDM yawezakuwa kimbilio. Walitoa mfano wa rushwa kuwa ni katika mtaa wa KOKOTO ambapo laki tano zilitolewa kwa watu 48 na iliposhindikana kugawiana kwa haki ndio siri zikaanza kuvuja, wanadai pesa zilizomwaga zilikua kufuru lakini pia walilazimishwa kuvunja sheria ili kulinda maslahi. Sijui kama CCM watafika
Source: WAPO RADIO

Na bado tutasikia mengi.
 
mabalozi 18 wa ccm wa igunga wamejivua gamba.wamesema ccm imeshinda kwa sababu walikuwa wanatoa rushwa na ushahidi upo na wanaeleza pia jinsi m/kiti wao alivyokua anasambaza 45mil.wasema ijumaa ijayo watatangaza wanaenda chama gani.
wakati huo huo aliyekua mgombea wa ubunge kupitia cuf kasema hatagombea tena kwa sababu hana hela.anasema angekua na hela angeshinda.anasema kura zake 9000 zimenunuliwa na ccm.
source;ABDALLAH RAMADHAN WA WAPO RADIO
MY TAKE;
hela za rushwa zinaisambalatisha ccm.mia

Hivi huyu jamaa wa CUF anaposema kura zake 9000 zimenunuliwa na CCM ana maana gani? Hajui kuwa kwa kusema hivyo anamaanisha kuwa yeye ndiye aliyeziuza kwa CCM hizo anazodai kuwa ni kura zake maana kama zilikuwa zake kweli basi asingekubali ziuzwe kwa CCM.
 
mabalozi 18 wa ccm wa igunga wamejivua gamba.wamesema ccm imeshinda kwa sababu walikuwa wanatoa rushwa na ushahidi upo na wanaeleza pia jinsi m/kiti wao alivyokua anasambaza 45mil.wasema ijumaa ijayo watatangaza wanaenda chama gani.
wakati huo huo aliyekua mgombea wa ubunge kupitia cuf kasema hatagombea tena kwa sababu hana hela.anasema angekua na hela angeshinda.anasema kura zake 9000 zimenunuliwa na ccm.
source;ABDALLAH RAMADHAN WA WAPO RADIO
MY TAKE;
hela za rushwa zinaisambalatisha ccm.mia

Wasanii tu hao. Mbona hawakusema hayo kabla ya uchaguzi. Kama wako serious warudishe na pesa walizohongwa. Kwa nini hawakuwaambia makamanda wa CDM wakati wakiwa Igunga na kabla ya Uchaguzi ?.
 
hawa mabalozi nao ni kama matahira watu wazima wanadanganywa wanakubali kwa nini hawakuyasema hayo wakati wa uchaguzi, au kama walijua ni rushwa kwa nini hawakukataa?? hawa ndio walikuwa wanaongoza kwa kununu shahada pumb.fu
Hao inaonekana maneno yao nikutokana na hasira baada ya kuingizwa mkenge.Inaonekana wamedanganywa na magamba kwa ahadi kemukemu baada ya kutimiza chama cha magamba walichotaka kimewawacha SOLEMBA.WAMETUMIWA KAMA KARATASI YA CHOONI AMBAYO UMUHIMU WAKE UNAKWISHA BAADA YA KUUTUMBUKIZA CHOONI.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Mimi sitaki kusema kwa sasa nangojea hiyo siku yatakapo tokea ndipo nitakuwa na la kusema .
 
Mabalozi 18 wa CCM wajiengua na kudai wakati wa uchaguzi rushwa ilitawa. Habari hizi ni kutoka chanzo cha kuaminika gazeti la Majira
 
Back
Top Bottom