Mabaharia mwenzangu, Hivi unajua "UMALAYA" ni gharama Sana?

Baharia mwenzangu hili nililiona kitambo sana tangia kipindi napata mateso ya madeni yasiyo ya msingi. Juzi kati nilipanga na dem wa kiha aje Zenji ila nimekaa nikawaza nimtoe kwa gia gani ili asije kunitia gharama zisizo na maana.

Kwanza kinachonifanya nikatae kuhonga ni kuwaza wazazi wangu. Sijawatumia hata shilingi elfu 10 nikapata baraka nianze kutumia laki nikapata laana za milele.

Kuhonga nilikuwa nahonga sana ila kwasasa mademu wananikataa wananiita baghili.... Eti ukimpa elfu kumi haitaki anataka 30. Nimeamua kula vinono kwa mke wangu maana ukimpenda mke wako utamu ni uleule.
Amina Amina! Ubarikiwe sana
 
Eeh bwana eeh it's me Mr. Liverpool again.

Mwenzenu nimekaa nikawazaa na kuwazua, nikaona dah "BAGOSHAAAA wanaume TUNANYONYWA SANAA"

Iko hivi.....

Mr. Liverpool ni mkulima wa Parachichi na miti ya mbao.

Sasa bana, leo nimekaa nikawa napanga bajeti ya kuingia Shamba.
Maana huwa naingia Shamba mwisho wa mwaka kupanda miti (kuanza new season) na kuhudumia iliyopo Shamba.

Aisee kwa kuwa miti yangu imekua mikubwa basi inahitaji pesa ndefu kiasi kwenye huduma (Kilimo biashara)

Sasa nikawaza ""Huwa natombe* na kuhonga za nini hizi hela..!!???""

Kwa scenario hii, Hebu fikiria hizi losted financial resources...

Umemtongoza demu akakuelewa na kutaka kukupa mbunye.
Sasa tuseme umeamua kuwa low kwenye matumizi.

1. Soon atakuomba vocha ,5000
2. Utatuma nauli akufate lodge uliyopo mpate vinywaji na kula kwanza 50,000 (nauli + vinywaji + msosi)
3. Utalipia chumba 20,000
4. Mtanunua vya kwenda navyo chumbani (Vinywaji+condom) 10,000
5. Asubuhi mtaagana 30,000

Hii nimefanya minimum cost ile kikaizu zaidi.

Yaani kwa mbunye ya siku moja umeteketeza 115,000/=

Yaani umeteketeza...
1. Gharama ya kununua Eka 1 kijijini huko
2. Gharama ya kulima Eka 2 mpaka 4 (inategemea na location ya Shamba lako).
3. Gharama ya kupalilia Eka 3 za shamba
4. Gharama ya kupata viwalo vikali full kutoka kwa Fred Vunja bei.

Ila nikawaza ""si opportunity cost"" @ umeamua kupiga chini ku-investment na future yako kwa ajili ya utamu wa usiku mmoja (exchanging of satisfactions).

Dah, hivi kila mtu akikaa chini ajumlishe zile pesa alizohonga mwaka huu tu hivi hanunui TRACTOR kweli akalipeleka Ifakara au Chimala huko likamuingizie pesa?

Dah kuzaliwa mwanaume ni mateso Sana, kila mwanamke utakaye mtongozo atahitaji pesa zako..!!!

Dah mwenzenu mi nimeacha.
Ni mama zetu
Ni dada zetu
Ni shangazi zetu
Ni mabinti zetu
Ni maua yetu
.....ila WANAMALIZA SANA PESA.

Mi sitaki Tena kuhonga.
BORA PESA ZANGU NIZITUPIE HUKU TU
View attachment 2000769

Masela A.K.A mabaharia hebu tutengeneze future zetu na ya vizazi vyetu.

Let's invest
Let's dig financial knowledge in our brains.
Maana pesa bila maarifa ya pesa HUYEYUKA FASTAAA.

Umalaya SIO DILI.

INVESTMENT is BETTER than BUSINESS

TUTAFUTE HELA ili TUWEKEZE na sio KULIA MBUNYE.

Nimeamua kujiunga na CHAMA CHA WANAUME MABAHIRI RASMINI.

KATIBU eeeh "NAOMBA KADI"

#YNWA
2tafika 2mechoka sana
 
Binafsi naushukuru umalaya kwani nikipoteza hela nyingi huko huwa napata ari ya kutafuta pesa kwa juhudi sana.
 
Ahsante kwa ushauri ila kwa Baharia wa kweli hawezi tumia Gharama zote hizo kwa Mbususu 1 tuu anayetumia hela zote hizo hafai kuwa Baharia maana hiyo kwa baharia ni hela ya kuspend mademu kama 6 ivii
Umeona eh! Mwenyewe hizo gharama ckazikubali baharia lazima uwe mgumu kwenye hela.
 
Ahsante kwa ushauri ila kwa Baharia wa kweli hawezi tumia Gharama zote hizo kwa Mbususu 1 tuu anayetumia hela zote hizo hafai kuwa Baharia maana hiyo kwa baharia ni hela ya kuspend mademu kama 6 ivii
Maana yake ni average ya 20000 tu kwa mwanamke mmoja, mbona unawanyonya sana?
 
Eeh bwana eeh it's me Mr. Liverpool again.

Mwenzenu nimekaa nikawazaa na kuwazua, nikaona dah "BAGOSHAAAA wanaume TUNANYONYWA SANAA"

Iko hivi.....

Mr. Liverpool ni mkulima wa Parachichi na miti ya mbao.

Sasa bana, leo nimekaa nikawa napanga bajeti ya kuingia Shamba.
Maana huwa naingia Shamba mwisho wa mwaka kupanda miti (kuanza new season) na kuhudumia iliyopo Shamba.

Aisee kwa kuwa miti yangu imekua mikubwa basi inahitaji pesa ndefu kiasi kwenye huduma (Kilimo biashara)

Sasa nikawaza ""Huwa natombe* na kuhonga za nini hizi hela..!!???""

Kwa scenario hii, Hebu fikiria hizi losted financial resources...

Umemtongoza demu akakuelewa na kutaka kukupa mbunye.
Sasa tuseme umeamua kuwa low kwenye matumizi.

1. Soon atakuomba vocha ,5000
2. Utatuma nauli akufate lodge uliyopo mpate vinywaji na kula kwanza 50,000 (nauli + vinywaji + msosi)
3. Utalipia chumba 20,000
4. Mtanunua vya kwenda navyo chumbani (Vinywaji+condom) 10,000
5. Asubuhi mtaagana 30,000

Hii nimefanya minimum cost ile kikaizu zaidi.

Yaani kwa mbunye ya siku moja umeteketeza 115,000/=

Yaani umeteketeza...
1. Gharama ya kununua Eka 1 kijijini huko
2. Gharama ya kulima Eka 2 mpaka 4 (inategemea na location ya Shamba lako).
3. Gharama ya kupalilia Eka 3 za shamba
4. Gharama ya kupata viwalo vikali full kutoka kwa Fred Vunja bei.

Ila nikawaza ""si opportunity cost"" @ umeamua kupiga chini ku-investment na future yako kwa ajili ya utamu wa usiku mmoja (exchanging of satisfactions).

Dah, hivi kila mtu akikaa chini ajumlishe zile pesa alizohonga mwaka huu tu hivi hanunui TRACTOR kweli akalipeleka Ifakara au Chimala huko likamuingizie pesa?

Dah kuzaliwa mwanaume ni mateso Sana, kila mwanamke utakaye mtongozo atahitaji pesa zako..!!!

Dah mwenzenu mi nimeacha.
Ni mama zetu
Ni dada zetu
Ni shangazi zetu
Ni mabinti zetu
Ni maua yetu
.....ila WANAMALIZA SANA PESA.

Mi sitaki Tena kuhonga.
BORA PESA ZANGU NIZITUPIE HUKU TU 👇👇👇
View attachment 2000769

Masela A.K.A mabaharia hebu tutengeneze future zetu na ya vizazi vyetu.

Let's invest
Let's dig financial knowledge in our brains.
Maana pesa bila maarifa ya pesa HUYEYUKA FASTAAA.

Umalaya SIO DILI.

INVESTMENT is BETTER than BUSINESS

TUTAFUTE HELA ili TUWEKEZE na sio KULIA MBUNYE.

Nimeamua kujiunga na CHAMA CHA WANAUME MABAHIRI RASMINI.

KATIBU eeeh "NAOMBA KADI"

#YNWA
Hongera, maana naona umeshapanda na mparachichi kabisa!
 
Kijana hawana grade hao shauri yako, we utaendelea kula makapi kwa kuogopa eti kuna grades. Mi nshawai kula manzi mkali kabisa kwa kipindi fulani for free kabisaa. Ambae we mpanga grades ukimuona utatumia mahela yako mengi, hadi sometimes girls wanawashangaa mnapotumia ela kiholela hata isipohitajika.

Ndo hapo mnaonekana kua mnataka kujionesha mna pesa na ndo mnapopofolewa sasa.
We unawajua vizuri hawa viumbe
 
Babaria kama pesa zipo nyingi na zimepatikana nyingi ndio TUNAENDELEA kuwekeza again and again.

Yaani kama ulikua na duka moja fungua la pili.

Endelea kupambana mpaka ikiwezekana uwe level za ku-discus madili na bakhresa.

#YNWA

After kudiscuss madili na bakhresa na unapata hela unakufa shughuli inaishia hapo.
We live once, take moment and enjoy life bro.
Kama umalaya ni gharama bas oa utulie na mmoja.
Sio kutaka utelezi kwa gharama za ajabu ajabu.
 
Aisee mwamba basi hicho kilimo kinakulipa sana, halafu hizo ni gharama za mtu alie kwenye ndoa anachepuka.

Hiyo nauli ni kubwa sana kama yupo hapa dar nitaenda kumchukua mwenyewe.

Nikiwa vizuri ntanunua chakula wala haizidi 5000, mimi nakua nshapiga dona.

Lodge ya nini??? Labda mkuu uko mbali sana na kwako, una kwako lodge uende kufanha nini.

Kuna na malipo kabisa unamlipa 30k , una pesa ya kuchezea sana we kijana, yote hiyo ya nini. Labda kama anajiuza na hiyo ndo gharama yake ila kama nimemtongoza akisepa na nyingi ni 10k tu ya nauli.
Mpaka hapo nakua nimetumia si zaidi ya 20k.
Manzi ukimpeleka kipesapesa pesa itakutoka kwelikweli na bila kutegemea utajikuta umetumia mipesa kibao kama wewe, ulivotumia malaki kwa jambo la 50k tu.
We jamaa takutafuta unifanyie kikotoo(tra calcutar)
 
Baharia sintoacha kutafuna mbususu siogopi maisha ni mipango,kila mtu ana mfumo wake wa kuingiza pesa.....yani jmosi ndio ratiba yangu ya kuchakata,jpili nashinda na familia
 
hapo kuna wale wakusafirisha mbususu toka mkoa had mkoa

nyapu inatoka mbeya unaileta dar nauli tu ieende irudi 100,000 tu ya chapuchapu...

Ila yote haya ni kwaajili ya utamu wa mbususu....Tutafika tukiwa tumechoka sana

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Nishawahi fanya hii nilisafirisha demu kutoka Mbeya mpaka Dar sikumbuki nilitumia shingapi ila ni pesa ndefu

Mind you nilikuwa chuo mwaka wa 2
 
Nishawahi fanya hii nilisafirisha demu kutoka Mbeya mpaka Dar sikumbuki nilitumia shingapi ila ni pesa ndefu

Mind you nilikuwa chuo mwaka wa 2

kama nakuona ulivyokua unashindia uji baada ya kuondoka
Kuna watu mnapitia mengi jaman
Pole lakin mkuu
 
Back
Top Bottom