Nilianza kuitumia baada ya kupata tour kama 3 months sasa na nilichoipendea na hiyo kuwa confusing. Nilihisi itaconfuse visitors haswaa, ila kwa mtu sharp wa mtandao anaona kila kitu chako within minutes! Mtoa mada, sio tu kuanzia ulipoingia fb bali kama umeweka details za shule manake inaanzia 'born year'.
Umetukumbusha kitu, FB sio private!! You don't need to get personal there. Na tukumbuke chochote unachoandika mtandaoni, however private you think it is, hakitofutika milele amina labda itokee vita ya 3 ya dunia ya teknolojia! Kama huamini gombea urais ama umuulize Sarah Palin khabari yake!