mabadiliko ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya mabadiliko ya kiutendaji katika ngazi ya Makatibu wa CCM wa mikoa.

  2. Z

    JamiiForums Tanzania UKAME vs EL NINO;Je ni mabadiliko ya tabianchi au laana...?

    Kuna watu wanajiita (watabiri wa hali ya hewa) ukishajua maana ya utabiri/mtabiri basi utajua wale ni watu wa aina gani. Dunia ya leo,ukiwa na makaratasi yaliyoandikwa (certificate) unaonekana ni msomi sana hata kama bado ujinga flan kichwani. Kuna taarifa kuhusu el Nino kila kona ya dunia .na...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Natamani au napenda kuepo na mabadiliko ya baraza la mawaziri

    Nawaza tuu ,c unajua nimekunywa dawa za chenga chenga nahc usingizi Ni wizara ipi unaona waziri wake haendani na kasi au nani yupo inje ya baraza sasa ni mda muafaka alejeshwe ...hii home work Nakusanya kesho saaatatu asbh Lakini mm siipend CCM Twende kazi 1. 2.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kama CCM imeweka kwenye ilani yake kipengele cha mabadiliko ya katiba ni cha nini kama kutwa kucha makada wao wako bize kuipigia debe katiba iliyopo!?

    Nchi Ina vichekesho vingi sana hivi inawezekanaje chama kimeweka ajenda ya mabadiliko ya katiba kwenye ilani yake ya uchaguzi alafu wakati huohuo makada wake wako bize kuipigia debe katiba iliyopo!? Kwa nini wasifute tu kwenye ilani ili lijulikane Moja? Ni nani aliwalazimisha kuweka hicho...
  5. insane

    JamiiForums Tanzania Katika mabadiliko ya katiba tusisahau hili

    Ikitokea katiba ikabadilika au katika mabadiliko machache machache ya ibara. Tusisahau uhuru wa kujitegemea kwa halmashauri katika mambo yake hasa mapato. Hii itapunguza upigaji katika serikali na kusaidia kupunguza nafsi za kazi zisizo na umuhim lakni pia mamlaka makubwa ya mtu mmoja...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TAZARA yatangaza mabadiliko ya Muda katika Uendeshaji wa Treni Za Abiria, 26 Agosti 2026

    TAARIFA KWA UMMA MABADILIKO YA MUDA KATIKA UENDESHAJI WA TRENI ZA ABIRIA 26 AGOSTI 2026 Kutokana na changamoto za kiutendaji zinazotokana na kufungwa kwa muda kwa njia mbili za reli katika sehemu ya Kapwila-Msanza nchini Zambia na sehemu ya Mwakanga-Mzenga nchini Tanzania, mabadiliko yafuatayo...
  7. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ccm ikiwa dhaifu sana basi mabadiliko ya kweli yatakuja- ikiwa imara sana ni kikwazo cha mabadiliko

    Kwa hili linalotokea la nchimbi kujiuzulu mimi sina upande wa kutetea au kuponda sababu ukweli ni kwamba ccm wote wanafanana tabia na wanatumia playbook moja kwa hiyo huo ni uogomvi wa ndugu haina haja ya kuingilia na kuushabikia Ccm ikiwa dhaifu kwa mda mrefu basi itakuwa ndo chachu ya...
  8. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Siku Kukifanyika mabadiliko ya sheria na makosa yote kua na dhamana isipokua kosa la mauaji, hio ndio itakua mwisho wa ofisi ya DPP.

    Hii ofisi katika period ya Samia imetumika kihuni sana..saiv hata wakiona unaisema sana serikali wanakusingizia kosa wanalojua halidhaminiki ili ukae ndani uumie then utoke uwanyenyekee. Siku kukifanyika madiliko nahisi kuanzia hapo DPP atakua anaenda ofisini na kwenda Shamba..
  9. D

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Kidunda: Mradi mkakati wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maji inaendelea kutekeleza Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Kidunda mkoani Morogoro, mradi unaosimamiwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), unaotekelezwa kwa gharama ya shilingi bilioni 335. Mradi huu ni...
  10. idiomer

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya mitaala

    1961- 1967 Mtaala baada ya uhuru wa Tanzania. Hapa ulikua ni kutoa mifumo ya kikoloni na kuwekeza katika historia, utamaduni na Kiswahili kwa Tanzania na bara la Afrika kwa ujumla. 1967 -1987 Elimu ya kujitegemea Hii ilijenga zana ya kuwa na shughuli mbalimbali za kilimo na ushirika katika...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Namera Group of Industries wagomea mabadiliko ya jina la Kampuni hadi walipwe stahiki zao

    Wafanyakazi wa Kampuni ya Namera Group of Industries (T) LTD kilichopo Gongolamboto, Dar es Salaam wamefanya mgomo na kukusanyika nje ya kiwanda hicho wakilalamikia hatua ya mwajiri wao kubadilisha jina la kampuni hiyo bila kuwalipa stahiki zao na kuvunja mikataba yao ya awali. Wafanyakazi hao...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa waliopoteza uelekeo, wanadhani mihemko yao, matusi, uropokaji na uzushi wa wafuasi wao vinaweza kuleta mabadiliko ya kisiasa nchini.

    Je, Wamepotoka au kughafilika, na kwahivyo ni busara waungamishwe na kutubu mbele ya waTanzania? Unadhani mihemko yao, matusi yao, uropokaji wao, uongo wao na uzushi wao dhidi ya wenye mawazo au maoni tofauti na yao, vinawatambulisha kua ni watu wa aina gani Tanzania? Wanaweza kua wametumwa na...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Muungano unakwamisha mabadiliko ya kidemokrasia Tanzania?

    Inawezekana vipi mabadiliko ya kisiasa Tanzania kutokea kabla ya muundo wa muungano kushugulikiwa? Kwa tabaka tawala na state machinery suala la muungano ni kufa na kupona, kwao haiyumkiniki muungano kuvunjika kwa hiyo hata kama wangekuwa wanademokrasia vya kutosha wakubali ushindi wa upinzani...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Full Text: Mabadiliko ya Muswada wa Senate ya Marekani kuhusu Tanzania ni wa moto zaidi

    Baraza la Seneti limegundua yafuatayo: Tanzania ni nchi inayoendelea kugandamiza, uhuru wa demokrasia, uhuru wa wanaharakati, uhuru wa watu wake na uhuru wa dini Tanzania inatishia maslahi ya Marekani ya uwekezaji. Baada ya uchaguzi na mauaji ya oktoba 29, bado Tanzania inaendelea kuteka...
  15. Arnold_webster

    JamiiForums Tanzania Bifu la Millennials vs Gen Z: Je, ni Chuki ya Kweli au ni Mabadiliko ya Vizazi Tu?

    Habari za jioni wana-JF, Hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la mijadala na utani mwingi mtandaoni unaoonyesha kuwepo kwa mivutano kati ya kizazi cha Millennials (waliozaliwa miaka ya 1980 hadi katikati ya 1990) na Gen Z (waliozaliwa kuanzia mwishoni mwa miaka ya 1990 hadi mapema 2010)...
  16. Thecoder

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Teknolojia na Nafasi ya AI katika Software Development.

    Kadri mabadiliko ya teknolojia yanavyozidi kushika kasi, ndivyo yanavyozidi kuleta athari chanya au hasi katika nyanja mbalimbali za maisha ya binadamu. Katika uwanja wa software development, mabadiliko haya yamejidhihirisha wazi wazi, hasa kupitia ujio wa Artificial Intelligence (AI) na ndio...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia kutoa Shilingi Bilioni 5 kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

    Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI anayeshughulikia Miundombinu, Mhandisi Rogatus Matavila, ameishukuru Benki ya Dunia kwa msaada wa kifedha na kitaaluma wa kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi. Akifungua kikao cha Kamati Kuu (National Steering Committee) ya...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ukizuia mabadiliko ya amani huwezi kuepuka mabadiliko ya mapinduzi ya vurugu

    Rais John F. Kennedy alisema nukuu hii maarufu:
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Wizara Mbili na UTEUZI, Februari 6, 2026

    YAH: MABADILIKO YA MUUNDO WA WIZARA MBILI NA UTEUZI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya muundo wa Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji na Wizara ya Nishati kwa Wizara hizo kuwa na Makatibu Wakuu wawili kwa kila Wizara, kuteua na kufanya...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania RC Kagera atumbuliwa, Kanali Yahya Ramadhani Kido apewa nafasi hiyo

    Aliyekuwa RC wa Kagera ameondolewa; kuna issue gani alifanya huyu?
Back
Top Bottom