Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Yan kwa tunaotumia app tu unstall then tuna download upya au?
Yeah, unstall app yako, kisha nenda kwenye google chrome kisha search Jamii forum, press the first link you see ambayo ni link ya jamii forum browser, kisha nenda upande wa kulia kuna dots 3 press kisha utaona download app ndo u-download sasa

Maelezo zaidi fata link aliyo weka Maxence Melo
 
Asante,tunaomba kwenye app mpya kuwe na maboresho haya;

1.Kwenye sehemu ya kuweka username au email,hapa tunaomba user name iwe inafutika mara tu unapo log out na sio kubakia pale kwa usalama sio nzuri.

2.Kuwe na uwezo wa ku save draft,yaani unaandika kitu unahifadhi kwa ajili ya kupost au kuendeleza baadae.
No 2 hapa pawekwe haswaaah.
 
Mkuu tunashukuru sana,

Ila kwangu jamiiforum app haileti notifications kwa wakati,

Nalazimika kutumia browser

Ili jambo naomba walitazame vizuri. Notifications zinachelewa iwe umekua quoted au ume subscribe uzi notifications zinakuja baada ya muda mrefu au hata zifike.
 
Kitufe cha dislike ni muhimu kama ilivyo hicho cha kulike.
Kitife cha dislike kitapunguza watu kucomment ujinga, watu wengi wakidislike comment yako ni rahisi kuacha huo upuuzi.
 
Maxence Melo pia kwenye upande wa taarifa za mtu binafsi pia mzingatie, mfano mtu akiangalia info yako anaona mpaka threads ulizochangia, nafikiri itapendeza kama hii feature ikizuiwa, kama ni kuonekana basi zionekane threads zilizoanzishwa na mhusika tu

lakini sio kwenye uzi mwingine alicomment nini na nini, maoni yake yataonekana huko huko kwenye uzi husika na sio kuyalist kwenye profile yake.
HAPO NAKAZIA
 
Asante,tunaomba kwenye app mpya kuwe na maboresho haya;

1.Kwenye sehemu ya kuweka username au email,hapa tunaomba user name iwe inafutika mara tu unapo log out na sio kubakia pale kwa usalama sio nzuri.

2.Kuwe na uwezo wa ku save draft,yaani unaandika kitu unahifadhi kwa ajili ya kupost au kuendeleza baadae.
Apo namba mbili ni jambo la muhimu sana
 
Yeah, unstall app yako, kisha nenda kwenye google chrome kisha search Jamii forum, press the first link you see ambayo ni link ya jamii forum browser, kisha nenda upande wa kulia kuna dots 3 press kisha utaona download app ndo u-download sasa

Maelezo zaidi fata link aliyo weka Maxence Melo
Kwangu ni kama hv
Screenshot_20220527-135238_Android%20System.jpg
 
1- Ukipost thread huna uwezo wakuedit heading
2- App yenu inasumbua
3- Mods wenu hawasimamii haki za kibanaadamu!
4- Mnawapendelea pro CCM
5- post za nyuma mtu awe na uwezo wa kudelete
6- Mlirudishe lile jukwaa pendwa la wakubwa!
7- Kuna members wanaongoza sana kwa cyber bullying na mnawaangalia tuu!
8- Kuna members mmewaonea kwa kuwapa ban kisa walijitetea walipokumbana na cyber bullying
9- Kwa wale wanaotaka kuchangia JF mbona hamuwapi au hamtoi muongozo
 
Mods suala la member kuzuia watu kuingia kwenye PM yake Mimi naona halijakaa vyema , badilisheni hizo command na badala yake mtu awe na uwezo wa Ku block member anayesumbua PM . Wakati mwingine kunatokea uhitaji wa dharura wa kutaka kuwasiliana na mtu PM lakini inashindikana
 
Back
Top Bottom