Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,708
- 12,793
we jamaa komedi sanaChengine wekeni kitufe cha kuomba msamaha ban ya wiki mbili sio mchezo nyie..!
Maxence Melo uje ujaribu nawewe kujipiga ban uone utamu kunoga..
we jamaa komedi sanaChengine wekeni kitufe cha kuomba msamaha ban ya wiki mbili sio mchezo nyie..!
Maxence Melo uje ujaribu nawewe kujipiga ban uone utamu kunoga..
Nashauri vijana wa CCM na CHADEMA wadhibitiwe..wao ni kutukanana 24/7..hawana facts zaidi ya ushabiki.Appeal system itaboreshwa.
Nakuelewa mkuu
Tofauti zake ni nini? Nataka nikuPMPm za browser tunaomba mrudishe kipengele cha ‘kick out’
Zamani ilikuwepo kick out na leave.. ila mmeondoa kick out mkabakiza leave. Tunaomba kick out irudi….
Once I kick you out‘utapata notification kuwa nimekukick out na pia ile convo niliyokukick out kwako utafutika automatically.Tofauti zake ni nini? Nataka nikuPM
Sawa na hongera.Endeleeni kuzingatia faragha za watu ni muhimu.Wakuu,
Tupo kwenye hatua za mwisho kuja na JF yenye mwonekano mpya ambayo inaendana na mabadiliko ya teknolojia. Kwa wanaohitaji kuwa sehemu ya majaribio, mnakaribishwa...
Katika mabadiliko haya, huenda ukakutana na kitu kikakufurahisha, kikakuchanganya, kikakufanya uone kuna haja ya kuongeza au kupunguza n.k - usisite kutujulisha kupitia uzi huu.
Thread hii itatumika kukusanya maoni yenu na yatazingatiwa ajili ya kujenga sehemu bora na salama zaidi kwa ajili ya kila mmoja wetu.
Kwa wale watumiaji wa App, tunashauri kujaribu App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi kwani itaendana vema zaidi na kinachokuja.
Tunawashukuru kwa ushirikiano mnaotupa kila mara kwani hadi toleo hili ni tokana na maoni yenu.
Kutakuwa na features kadhaa hazitakuwa released mapema hadi zikamilike kufanyiwa testing ndipo ziwe applied.
Tunawapenda, tunawajali na tunaahidi kuendelea kutoa huduma bora.
Asanteni sana!
Aisee... Inaelekea uko vizuri sana kwenye PM. Nimefeli wapi mimi? Ngoja nimPM AshuraOnce I kick you out‘utapata notification kuwa nimekukick out na pia ile convo niliyokukick out kwako utafutika automatically.
Leave yenyewe nikileave hapo bado kwako we utaendelea kuwa na zile chats.
Utadhibiti maisha?Halafu misisiemu ni mihuni haina adabu wala akili.Nashauri vijana wa CCM na CHADEMA wadhibitiwe..wao ni kutukanana 24/7..hawana facts zaidi ya ushabiki.
Mimi ilikuwa haionyeshi naona imejifungulia yenyewe sasa inaonyeshaMkuu hiyo nenda kwenye setting signature then toa
Wakuu,
Tupo kwenye hatua za mwisho kuja na JF yenye mwonekano mpya ambayo inaendana na mabadiliko ya teknolojia. Kwa wanaohitaji kuwa sehemu ya majaribio, mnakaribishwa...
Katika mabadiliko haya, huenda ukakutana na kitu kikakufurahisha, kikakuchanganya, kikakufanya uone kuna haja ya kuongeza au kupunguza n.k - usisite kutujulisha kupitia uzi huu.
Thread hii itatumika kukusanya maoni yenu na yatazingatiwa ajili ya kujenga sehemu bora na salama zaidi kwa ajili ya kila mmoja wetu.
Kwa wale watumiaji wa App, tunashauri kujaribu App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi kwani itaendana vema zaidi na kinachokuja.
Tunawashukuru kwa ushirikiano mnaotupa kila mara kwani hadi toleo hili ni tokana na maoni yenu.
Kutakuwa na features kadhaa hazitakuwa released mapema hadi zikamilike kufanyiwa testing ndipo ziwe applied.
Tunawapenda, tunawajali na tunaahidi kuendelea kutoa huduma bora.
Asanteni sana!
Ameen mkuu, JF kipindi cha Giza ndio ilikua media pekee huru ,keep it upMimi binafsi nashukuru kwa imani ya JF juu ya uhuru wa habari na haki ya watu kupashana habari.wewe melo umeishi imani hii kwa vitendo na kujipambanua hadhararani haswa kwenye nyakati zile za giza.jamii forum imekuwa mwaminfu kwetu kuliko michepuko yetu.
hahahahaha Maxence Melo hizo ni fununu.Maxence Melo na team nzima ya mods muangalie swala la avatars kuna avatars nyingine hazina maadili na zinashawishi kupiga nyetoh na kuharibu kampeni ya #NoFap mfano hiii ya Linko
Yaonyesha utotoni ulikuwa kiherehere we dada!😀Chonde chonde Boss ,wekeni option ya kuedit na kudelete message PM.
Kwa sisi wa App.
Pia rekebisheni system ya kuquote comments.
App sasahivi haiwezi kuquote comments zaidi
Mfano wa wanaotoa lugha za matusi..?Tunayasubiri kwa hamu kubwa hayo maboresho.
Kingine mjitahidi kuzingatia maadili. Lugha za matusi na zisizo za kistaarabu zimeshamiri sana. Watu wanatukana matusi mazito sana humu. Lifanyieni kazi.
Tuliawe jamaa komedi sana