Mabadiliko ya Katiba: Kikwete aongezewe muda wa miaka mitano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabadiliko ya Katiba: Kikwete aongezewe muda wa miaka mitano

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Quadratic, Jan 3, 2011.

 1. Quadratic

  Quadratic Member

  #1
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni wehu tu watakaopinga kuwa JK amefanya mema mengi kwa WATANZANIA
  Madudu ya EPA, MEREMETA et al yamefanyika wakati wa Mkapa
  Muda mwingi amevumilia kutukanwa kwa ajili ya makosa ya wengine. Hakuna ikomavu wa kisiasa unaofanana na waa JK.

  Sasa ameanza kuijenga nchi.
  1. Elimu safi na itaendelea kuwa safi
  2. Maji yanapatikana kila mahali na maeneo machache yasiyo na maji mikakati ya kuwapatia maji inaendelea
  3. Afya bora inapatikana na amefanikiwa kuhamasisha upunguaji wa maambukizi ya VVU
  4. Nchi ipo salama dhidi ya maadui wa ndani na wa nje
  5. Watanzania bado tunapendana
  6. Ametimiza ahadi yake kwa zanzibar kumalizwa kwa mpasuko
  7............
  8............

  Nadhani katiba mpya imtendee haki, imwongezee miaka mingine mitano. Nina hakika Tanzania itakuwa kama Marekani.
  Wapiga Tarumbeta kina Slaa ni Kelele za mlango tu.

  Nawasilisha
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,690
  Likes Received: 82,553
  Trophy Points: 280
  craaaaaaa.........!!!!
   
 3. DALA

  DALA JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 874
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 80
  Mawazo ya wana CCM yanafanana siku zote na hawaoni mbali hivyo hatushangai!
   
 4. Z

  ZenaTulivu Senior Member

  #4
  Jan 3, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwenye sherehe ya MWENDAWAZIMU siku zote waungwana hujitenga pembeni.

  Hili la JK na kuundwa tume ya katiba bila ya wadau wote kushiriki pamoja naye kwa kila hatua ni nayo pia ni sherehe ambayo waungwana hawatokawia kuugwaya na hata kupelekana mahakamani kuzuia matumizi mabaya ya kodi ya wananchi kwa zoezi ambalo hawana haki nalo.

  Zoezi hilo likiendelezwa tu kwa ubabe uliozoeleka kwa CCM basi huenda mshahara wake ukawa mchungu zaidi kwa taifa letu.
   
 5. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2011
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Upuuzi mwingine!
   
 6. Tundapori

  Tundapori JF-Expert Member

  #6
  Jan 3, 2011
  Joined: Aug 12, 2007
  Messages: 521
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Wewe lazima utakuwa "Dar es salaam" tu with a different ID. Bisha?
   
 7. L

  LAT JF-Expert Member

  #7
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hivi waweza zungumzia wehu kama na wewe si mwehu..... utindio wa ubongo ni mali yako...... akili yako in a ncha kali sana ... ikiashiria ukingo na mwisho wa ufikiri..... sioni ajabu viongozi wa wehu RA na EL wakihujumu nchi bila huruma kwani wana element za ushetani kwa kupitia ugonjwa wa wehu
   
 8. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #8
  Jan 3, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Hivi JK ameshaelewa sasa kinachoifanya Tanzania kuwa maskini? Mimi naona kuwa JK apunguziwe muda wa kukaa Ikulu, miaka 5 mingi sana! Wakati wa Serikali zilizopita JK alikuwa Waziri wa Nishati na Madini na alisaini mikataba mibovu ya madini! Pia baada ya kujua uovu uliofanywa na Serikali ya Mkapa, aliamua kuyafumbia macho na kuamua kudai kwamba "mzee (Mkapa) aachwe apumzike" kwa ufisadi aliofanya!

  Tusidanganyane JK akiendelea kuwa Ikulu Tanzania itakuwa kama Somalia!
   
 9. Quadratic

  Quadratic Member

  #9
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hakuna shaka kuwa wapuuzi ni wale wanaoupinga ukweli. Hata kama una chuki binafsi na JK lakini kusema ukweli mema tunayaona.
  Mradi wa mabasi yaendayo kasi umeshaanza, upo hatua ya mwanzoni
  Flyovers nazo zipo mbioni...
  Mnataka mfanyiwe nini watanzania??
   
 10. Z

  ZenaTulivu Senior Member

  #10
  Jan 3, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwani akapunguziwe mara ngapi mbona watu wengi husema afya gogoro au ishakua poa?
   
 11. Quadratic

  Quadratic Member

  #11
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Discuss issues achana na mambo ya watu. Upuuzi wa kudiscuss watu ndio moja ya sababu ya Chadema kushindwa uchaguzi mkuu
   
 12. Quadratic

  Quadratic Member

  #12
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Unatumia nguvu nyingi kupingna na hoja ndogo sana. Dig deep kwenye issues. Nasema hivi, JK amefanya mema mengi kwa Tanzania pamoja na Changamoto za kiutawala anazokutana nazo. Kubali hoja kwa hoja, pinga hoja kwa hoja. Hayo mengine unayoyasema ukayaseme kwa wenzako mnapokuwa mnasukana nywele au mkiteka maji...
   
 13. Quadratic

  Quadratic Member

  #13
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Una utafiti wowote katika hili la somalia?? Nani akitawala Tanzania haitakuwa kama Somalia? Changamoto zipo na JK hajapinga changamoto na ndio maana hajishughulishi nazo. Bado hujajenga hoja ni kwa nini JK asiongezewe mhula mwingine wa tatu
   
 14. L

  LAT JF-Expert Member

  #14
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  nikupe thanks...., lakini utailipa.... kama unavyo mpa RA
   
 15. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #15
  Jan 3, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Acha porojo wewe. Dr. Slaa alisema wakati wa kampeni kuwa kumchagua jk ni janga. Sasa wewe unasema tumpatie miaka 5 mingine!!!
   
 16. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #16
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Tena mimi naona ingekuwa kumi.
   
 17. Quadratic

  Quadratic Member

  #17
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sasa kama kasema Slaa ndo tuamini? Namheshimu Slaa, ametoa mchango mkubwa sana kwenye Taifa letu. Ni mtu makini lakini ni too small to be a president. JK aongezewe muda, full stop
   
 18. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #18
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Achana nae huyo, hana hoja.
   
 19. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #19
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  umepotea step!
   
 20. Quadratic

  Quadratic Member

  #20
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Naheshimu mawazo yako mkuu, lakini Kumi ni mingi sana, tuta encourage ufalme kind of leadership
   
Loading...