Mabadiliko ya Katiba: Kikwete aongezewe muda wa miaka mitano

Hakuna shaka kuwa wapuuzi ni wale wanaoupinga ukweli. Hata kama una chuki binafsi na JK lakini kusema ukweli mema tunayaona.
Mradi wa mabasi yaendayo kasi umeshaanza, upo hatua ya mwanzoni
Flyovers nazo zipo mbioni...
Mnataka mfanyiwe nini watanzania??

Ukweli ni nini? Usifikiri kuwa ukweli ni kile unachofikiri wewe kuwa ni ukweli ndiyo kiwe ukweli kwa sababu tu umesema hivyo.
 
tumfanye rais wa maisha ..............

Au tumfanye mfalme..........
 
tehe tehe tehe!!!!!!!!!!! ukijibizana na mwenda wazimu nawe utakuwa mwendawazimu.
 
Hivi JK ameshaelewa sasa kinachoifanya Tanzania kuwa maskini? Mimi naona kuwa JK apunguziwe muda wa kukaa Ikulu, miaka 5 mingi sana! Wakati wa Serikali zilizopita JK alikuwa Waziri wa Nishati na Madini na alisaini mikataba mibovu ya madini! Pia baada ya kujua uovu uliofanywa na Serikali ya Mkapa, aliamua kuyafumbia macho na kuamua kudai kwamba "mzee (Mkapa) aachwe apumzike" kwa ufisadi aliofanya!

Tusidanganyane JK akiendelea kuwa Ikulu Tanzania itakuwa kama Somalia!

Dah! wewe una akili kweli yaani nilipomaliza kusoma thread ya kwanza nikawaza kuwa Tanzania itakuwa kama Somalia,kumbe mawazo yetu yanafanana safi sana.Tanzania itakuwa kama Somalia JK akiongezewa muda
 
Discuss issues achana na mambo ya watu. Upuuzi wa kudiscuss watu ndio moja ya sababu ya Chadema kushindwa uchaguzi mkuu

Issues zipi unataka ziwe discussed? Hiyo uliyoandika ndo unaiita issue to be discussed? Issues my foot.

Your issue is as stinking as maviiiiiiii yaliyochanganyikana na usaha. Wewe ni mmoja wapo wa mafisadi wanaoiliza nchi hii. Eti unaita mambo ya watu, una mtindio wa akili wewe na hizo controversial issues zako.

Is just a wastage of time to discuss issues like this of yours, leta issues za kujenga siyo za kubomoa. Typical thinking and you must be Dar es salaam and if not one of the mafisadis.
 
Ni wehu tu watakaopinga kuwa JK amefanya mema mengi kwa WATANZANIA
Madudu ya EPA, MEREMETA et al yamefanyika wakati wa Mkapa
Muda mwingi amevumilia kutukanwa kwa ajili ya makosa ya wengine. Hakuna ikomavu wa kisiasa unaofanana na waa JK.

Sasa ameanza kuijenga nchi.
1. Elimu safi na itaendelea kuwa safi
2. Maji yanapatikana kila mahali na maeneo machache yasiyo na maji mikakati ya kuwapatia maji inaendelea
3. Afya bora inapatikana na amefanikiwa kuhamasisha upunguaji wa maambukizi ya VVU
4. Nchi ipo salama dhidi ya maadui wa ndani na wa nje
5. Watanzania bado tunapendana
6. Ametimiza ahadi yake kwa zanzibar kumalizwa kwa mpasuko
7............
8............

Nadhani katiba mpya imtendee haki, imwongezee miaka mingine mitano. Nina hakika Tanzania itakuwa kama Marekani.
Wapiga Tarumbeta kina Slaa ni Kelele za mlango tu.

Nawasilisha

Halafu sura yake nzuri sana anapendeza kuwa raisi wa maisha!
 
tumfanye rais wa maisha ..............

Au tumfanye mfalme..........

Ikitokea Kikwete anakufa basi Ridhiwani awe mrithi na akina Miraji ama Khalfan wawe tayari kupokea uongozi. Kifupi Tanzania Itawaliwe milele na uzao wa Kikwete.
 
Quadratic

Ulichosema ni kweli tupu,Rais JK asiongezewe tu miaka 5 bali Katiba mpya imtangaze kabisa kuwa ni Rais wa milele wa TZ kwani kaifanyia mengi sana nchi yake Tanzania

Mosi;katupa umeme wa uhakika kabisa TZ;chini ya utawala wa maulana JK kwa kweli wa TZ wanafaidi umeme wa bei rahisi tofauti na viongozi wengi waliotangulia.

Pili;hali za huduma za afya TZ ni za juu sana chini ya utawala wa JK hata ikafikia ile kadhia ya kulala chini akina mama wajawazito pale Mwananyamale,Muhimbili na karibia hospital zote za TZ sasa haipo tena

Tatu;Rais wetu JK kadhibiti sana mfumuko wa bei na hivi sasa chini ya utawala wake shupavu shilingi yetu imepanda sana bei kulinganisha na bei ya dola ya kimarekani

Nne;wakulima hivi sasa wana uhakika wa kupata bei nzuri ya mazao yao kwani JK kaimarisha sana soko la ndani na la nje kwa products zitokazo mashambani mwetu hasa alipowapa pembejeo za kisasa wakulima wa TZ

JK kaifanyia mambo mengi sana TZ na mengine nitaendelea kuyataja siku zinazokuja lkn sidhani kama itakuwa vibaya kutoa wazo langu kwenye katiba mpya imtangaze JK kama Rais wa milele wa TZ ili kuenzi mazuri aliyoyafanya kwa miaka 5 tu ya uongozi wake!
 
Kama amefanya mazuri,kwanini karibu majimbo mengi ya mijini wagombea CCM wameanguka,na hata kura zake zimepungua
 
nahisi kidhungu dhungu.
 
Ni wehu tu watakaopinga kuwa JK amefanya mema mengi kwa WATANZANIA
Madudu ya EPA, MEREMETA et al yamefanyika wakati wa Mkapa
Muda mwingi amevumilia kutukanwa kwa ajili ya makosa ya wengine. Hakuna ikomavu wa kisiasa unaofanana na waa JK.

Sasa ameanza kuijenga nchi.
1. Elimu safi na itaendelea kuwa safi
2. Maji yanapatikana kila mahali na maeneo machache yasiyo na maji mikakati ya kuwapatia maji inaendelea
3. Afya bora inapatikana na amefanikiwa kuhamasisha upunguaji wa maambukizi ya VVU
4. Nchi ipo salama dhidi ya maadui wa ndani na wa nje
5. Watanzania bado tunapendana
6. Ametimiza ahadi yake kwa zanzibar kumalizwa kwa mpasuko
7............
8............

Nadhani katiba mpya imtendee haki, imwongezee miaka mingine mitano. Nina hakika Tanzania itakuwa kama Marekani.
Wapiga Tarumbeta kina Slaa ni Kelele za mlango tu.

Nawasilisha

Kolimba kafufuka
 
craaaaaaa.........!!!!

Mawazo ya wana CCM yanafanana siku zote na hawaoni mbali hivyo hatushangai!

Anamdhihaki tu mkulu huyo. Yuko pamoja nanyi!!!
 
Katiba mpya ibadilishe badala ya kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iwe Falme Ya Danganyika, na mkwere awe Mfalme Kikwekwe wa kwanza.
 
RAISI ALITOA AHADI ZAIDI YA 80 KATIKA UCHAGUZI WA MWAKA JANA AMBAPO GHARAMA ZA KUZITEKELEZA NI SHILINGI TRILION 98,NA KWA BAJETI YETU YA TRILION SABA KWA MWAKA ****** ANAHITAJI MIAKA 15 KUTIMIZA AHADI ZAKE

WITO

NAMUOMBA MUHESHIMIWA AKUBALI MABADILIKO YA KATIBA MAPEMA IWEZEKANAVYO ILI HUENDA WATANZANIA WAKAKUBALI KUBADILISHA MUDA WA RAISI KUKAA MADARAKANI NA KUMUONGEZEA ****** MIAKA MINGINE KUMI ILI aTIMIZE AHADI ZAKE.
 
Back
Top Bottom