Mkuu hata mie binafsi sielewi ndugu zetu wa hapo mjini mpaka sasa kusema kweli ndo wanatukwamisha make tayari tumejitoa kuwaghalamia gharama za vikao lakini haonekani hata mmoja hapa tena
Juzi M.Byabato kaja hapa akasema kusaidia na yeye yuko hapo mjini lakini simuoni tena naye ...lakini subiri kwanza ikishindikana kabisa tuna plan B ya hili jambo.
Hapa kuna tatizo na sijui ni nini! kama hapo mjini watu wakujitolea wamekosa labda tujaribu wilayani!