notradamme
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 2,009
- 453
Biblia sio kitabu cha hadithi cha kuchezewa na kila mtu, watu wehu hamtakiwi kukitumia.
Mbona POLYCARP ni mwendawazimu lakini anatumia BIBLE
Biblia sio kitabu cha hadithi cha kuchezewa na kila mtu, watu wehu hamtakiwi kukitumia.
Kwani Wakiristo ndio kina nani? Slaa yumo? Mbowe yumo?
Na wapi kwenye Bibilia iliposema "hiki ni kitabu cha wakiristo"?
Ukishindwa kujibu, kaa kimya! SHUT UP.
Ukiona mtu wa aina hiyo jua hazimo kichwani anaogopa challenge kwa hiyo hafai kuitwa Dr.Nakupa mmoja ukamtafute yupo msikiti opposite na Chuo cha biashara (CBE) anavaa miwani mikubwa na anasalisha hapo ni imam pale ana PhD ya sharia laws ameipa Al-Azhar University. Hajiiti Dr kama Madr wenu wa Divinity na ukimwita hivyo hapendi ila watu hutoka pembe mbali mbali za dunia kumfata kwa ushauri.
Walio jeruhiwa/kufa ni pamoja na waislamSasa Chadema kinazidi kujidhihiisha kuwa na chama cha kidini na hasa Ukatoliki ambao kasomea Slaa, walikuwa wapi kulaani kwa nguvu watu wa Pemba walipouwa kipindi wanaandamana? sio hawa walithubutu kusema kuwa CUF inapaswa kulaumiwa kwa kukataa kutii amri ya Polis? na huyu Kikwete walisema ni chaguo la Mungu, iweje leo awe chaguo la shetani? au kwa sababu kaondoa memorandum of understanding?
Samahani alikuwepo kiongozi wa kiislam ktk mazishi hayo alietoa hotuba?
Nisome vizuri nimesema wehu kama wewe ni mwehu kama babu yako makamba hutakiwi kuichezea Biblia mwisho utakuwa zezeta try.Acha ujinga soma Biblia na tumia akili yako mwenye kufuata, mtu yoyote yuko huru kukisoma ama kukikubali au kukikana.
- Ukiona viongozi wa taifa wanaanza ku-quote Biblia badala ya Katiba ya Jamhuri, katika kuhalalisha vitendo vya serikali maana yake ni moja tu kwamba hao viongozi na serikali nzima ni mufilisi, wanahitaji kuondolewa mara moja!
William.
Very low.Tena huyu niliwahi kumsikia pale msikiti wa ngazija akitoa mawaidha watu walimwita professor akawaambia sheikh yeye inamtosha na sio professa.
Ukiona mtu wa aina hiyo jua hazimo kichwani anaogopa challenge kwa hiyo hafai kuitwa Dr.
Very low.
Sijui kwani ustaadh Mikidadi Omari anajua.Vema ulimchallenge akashindwa? Unajua amepublish wapi au unasema tu kuwa hafai. Hivi unajua wahadhiri wana msemo wao wanasema A politician is a failed academician unajua maana yake???
Sijui kwani ustaadh Mikidadi Omari anajua.
Mi sikusomea sharia law nina ya chemical engineering ataweza.Professor, Dr ni title na sio measure ya kudefine intellectual capacity ya mtu, mfate ukamchallenge au andika kiji article chako kuquestion anachokifundisha na kukifanyia utafiti otherwise kaa kimya NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK!!!!
Vipi Simba na Yahya ni wazima?We je?Mbona POLYCARP ni mwendawazimu lakini anatumia BIBLE
Mi sikusomea sharia law nina ya chemical engineering ataweza.
Haya umetosha kutoa upupu wapishe wenye point za maana waendeleze mada 'Makamba asitumie Biblia kupotosha jamii'.Then you have no right to challenge other people's work. Narudia tena NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK. Kasomee Sharia laws ndio uchallenge contributions zao katika literature venginevyo kaa kimya ndugu yangu Kila mtu na fani yake.
Haya umetosha kutoa upupu wapishe wenye point za maana waendeleze mada 'Makamba asitumie Biblia kupotosha jamii'.
Malaria Sugu in actionWeWe W. J. Malecela nilifikiri una akili sana kutokana na jina lako< kumbe una pumba kumzidi yule orijino, ambae alig'ania kugombea ubunge mpaka akakataliwa kwenye kura za maoni. Si angestaafu toka alivyoachishwa kazi na Nyerere? hana haya, hata huyo mkewe mpya kakubalika, kuliko yeye.