mnyonge mnyongeni na haki yake mpeni.... Makamba ame-quote kitabu sawia kwa hoja aliyoleta; cha maana ni kuamua kum-ignore au la... na pia sijawahi kusikia duniani mtu akikatazwa kutumia biblia au quran simply because hana uelewa au si wa dini husika...
Tuache ushabiki kwenye mambo yahusuyo imani

si sahihi kabisa mkuu... siungi mkono asilaniWewe unaona ni sahihi kwa katibu wa chama cha siasa kujibizana na kiongozi wa dini fulani? analeta picha gani?
pamoja sana BE, issue yangu ni laizer kumpick makamba.... i would have been happy kama angepick ccmAcid,
Makamba alinukuu vifungu vya Biblia ili kuonyesha uhalali wa maovu yaliyofanywa na Polisi huko Arusha! Hili ndilo tatizo ambalo Ma-Askofu wanaliona - Yeye as Makamba should not justify misdeed kwa kutumia vifungu vya Biblia. That is wrong. Probably angenukuu vifunguu vya sheria za Jamhuri ya Muungano au hata vifungu vya Katiba ambavyo vinaonyesha kuwa maandamano ya wafuasi wa CHADEMA yalikuwa batiri hakuna ambaye angekuwa na ugomvi naye!
Damu inapomwagika si vyema kutumia misaafu kuhalalisha umwagikaji wa DAMU!