Maaskovu Vs. Makamba na mgongano wa Arusha

Unaitii mamlaka iliyoingia kihalali madarakani but sio iliyoingia via vote rigging
 
Sasa Chadema kinazidi kujidhihiisha kuwa na chama cha kidini na hasa Ukatoliki ambao kasomea Slaa, walikuwa wapi kulaani kwa nguvu watu wa Pemba walipouwa kipindi wanaandamana? sio hawa walithubutu kusema kuwa CUF inapaswa kulaumiwa kwa kukataa kutii amri ya Polis? na huyu Kikwete walisema ni chaguo la Mungu, iweje leo awe chaguo la shetani? au kwa sababu kaondoa memorandum of understanding?

Kalaga baho na ubozi wako myago Hata mmbwa akitangaza wanacho kibainisha CDM mimi nitamfuata Bila kujali masika au kiangazi Kengele au Azana Ima Dogoli au Wegu!
DAWA DAWA Ni kwa ccm ifanye kweli tena kwa nguvu na dhamira ya kweli kuindoa nchi kwenye UJINGA,UMASKINI,NA UFISADI Hapo CDM Itakufa kifo cha me mende bila hivyo roho ya CDM Haitakufa daima.
HABARI NDIO HIYO
 
Sasa Chadema kinazidi kujidhihiisha kuwa na chama cha kidini na hasa Ukatoliki ambao kasomea Slaa, walikuwa wapi kulaani kwa nguvu watu wa Pemba walipouwa kipindi wanaandamana? sio hawa walithubutu kusema kuwa CUF inapaswa kulaumiwa kwa kukataa kutii amri ya Polis? na huyu Kikwete walisema ni chaguo la Mungu, iweje leo awe chaguo la shetani? au kwa sababu kaondoa memorandum of understanding?

Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
Join DateSat Jan 2011Posts3ThanksUmeivamia JF. Huna hoja. Kwa hiyo CUF ni cha Kiislam? Maandamano ya CHADEMA waliandamana Wakristu na Waislam na isitoshe walioumia na kufa ni Wakristu na Waislam. Isitoshe, katika sala ya kuaga marehemu, walikuwepo viongozi wa Kikristu na Kiislam. Udini wa CUF uko wapi? Niambie Pemba alikufa Mkristu hata mmoja? Vile vile CHADEMA ya 2001 si hii ya 2010. Umejiunga Januari hii na unaanza kupost utumbo? Post 3 na zote pumba tu!
 
Ndio maana tunawaambia kila siku humu kuna vitoto havijui mambo mnabisha. Matokeo yake mnakuwa mashupavu katika ujinga. hiyo sio PHD? Au wewe wataka ya Cannon Law tu. Fanyeni research kabla hamjaropoka humu kwenye blog yenu.
PROFESSOR : Juma Mikidadi Omari
PhD (Philosophy & Islamic studies) Edinburgh University
M.A. (Logic & Oriental Studies) SUUD;
B.A. (Islamic Law) Medina University.
 
Sasa Chadema kinazidi kujidhihiisha kuwa na chama cha kidini na hasa Ukatoliki ambao kasomea Slaa, walikuwa wapi kulaani kwa nguvu watu wa Pemba walipouwa kipindi wanaandamana? sio hawa walithubutu kusema kuwa CUF inapaswa kulaumiwa kwa kukataa kutii amri ya Polis? na huyu Kikwete walisema ni chaguo la Mungu, iweje leo awe chaguo la shetani? au kwa sababu kaondoa memorandum of understanding?
Tatizo lenu mna wivu na kanisa katoliki! Mbowe ni mkatoliki? kanisa katoliki limeingiaje hapa?
 
Umeivamia JF. Huna hoja. Kwa hiyo CUF ni cha Kiislam? Maandamano ya CHADEMA waliandamana Wakristu na Waislam na isitoshe walioumia na kufa ni Wakristu na Waislam. Isitoshe, katika sala ya kuaga marehemu, walikuwepo viongozi wa Kikristu na Kiislam. Udini wa CUF uko wapi? Niambie Pemba alikufa Mkristu hata mmoja? Vile vile CHADEMA ya 2001 si hii ya 2010. Umejiunga Januari hii na unaanza kupost utumbo? Post 3 na zote pumba tu!
Umepatia mkuu! CHADFEMA ya 2001 haikuwa na affiliation na Kanisa, ila inayo kabisaaa tena sana. Hata ukikataa humu kwa ukali moyoni mwako walijua hilo. Usijifanye mbuni unaficha kichwa mwili uko nje! Hili mbona lipo wazi kabisa. Ndio mtaji wa CDM. Swallow it dude!
 
Kwani Bibilia ina watu fulani wa kuitumia? Na sio kwa watu na Mataifa yote?
Ufafanuzi wa biblia unahitaji uongozi wa Roho Mtakatifu ili ujue Mungu alichotaka kusema. sas kama unachambua kama Kitabu cha kiswahili huko roho yako ikiwa Chafu kama ya Makamba lazima utakuwa bias tu. Ila kitabu ni cha mtu yeyote anayekipenda ila kisitumiwe kuhalalisha uovu kama afanyavyo Makamba
 
Wakati ule CUF ndio wenye nguvu, Chadema hakikuwa na nguvu. Mbona huulizi vyma vingine?

Nadhan Gurtu hukunipata vyema, mie nachosema hapa ni kuwa hawa Maaskofu mbona hawasimamii kutetea udhalimu kwa usawa?
kipindi CUF ikiwa na nguvu kama leo ilivyo CHADEMA waliwahi pia kuandamana huko Pemba kudai haki yao walipopokonywa ushindi kama CHADEMA walivyochakachuliwa Arusha, lakini Maaskofu walisema lawama zote ziwaendee viongozi wa CUF kwa kutotii amri ya Polis kuandamana, vipi wale wa Pemba si watanzania wenzetu kama wa Arusha?
 
Hao maaskofu ndio waliopotosha watanzania kwa kutumia biblia bale walipowambia watanzania Kikwete ni chaguo la mungu!!

Biblia Ilitumika wapi kusema hivyo? una ushahidi wewe? Yalikuwa ni matamko ya individual na siyo kusingizia bible.
 
Nadhan Gurtu hukunipata vyema, mie nachosema hapa ni kuwa hawa Maaskofu mbona hawasimamii kutetea udhalimu kwa usawa?
kipindi CUF ikiwa na nguvu kama leo ilivyo CHADEMA waliwahi pia kuandamana huko Pemba kudai haki yao walipopokonywa ushindi kama CHADEMA walivyochakachuliwa Arusha, lakini Maaskofu walisema lawama zote ziwaendee viongozi wa CUF kwa kutotii amri ya Polis kuandamana, vipi wale wa Pemba si watanzania wenzetu kama wa Arusha?

Wangelijua behind the force ya huyu Askofu wao Thomas Laizer ni fisadi Lowassa who happens to be a close alied wa Rostam haya maneno yasingelikuwa hivi. Endeleeni tu but fumbo mfumbie mjinga mwerevu huling'amua.
 
Sasa Chadema kinazidi kujidhihiisha kuwa na chama cha kidini na hasa Ukatoliki ambao kasomea Slaa, walikuwa wapi kulaani kwa nguvu watu wa Pemba walipouwa kipindi wanaandamana? sio hawa walithubutu kusema kuwa CUF inapaswa kulaumiwa kwa kukataa kutii amri ya Polis? na huyu Kikwete walisema ni chaguo la Mungu, iweje leo awe chaguo la shetani? au kwa sababu kaondoa memorandum of understanding?

Ndugu, sometimes do not put your mouth into motion before your brain is in gear
 
Ndio maana tunawaambia kila siku humu kuna vitoto havijui mambo mnabisha. Matokeo yake mnakuwa mashupavu katika ujinga. hiyo sio PHD? Au wewe wataka ya Cannon Law tu. Fanyeni research kabla hamjaropoka humu kwenye blog yenu.
PROFESSOR : Juma Mikidadi Omari
PhD (Philosophy & Islamic studies) Edinburgh University
M.A. (Logic & Oriental Studies) SUUD;
B.A. (Islamic Law) Medina University.

Tena huyu niliwahi kumsikia pale msikiti wa ngazija akitoa mawaidha watu walimwita professor akawaambia sheikh yeye inamtosha na sio professa.
 
Back
Top Bottom