Maaskovu Vs. Makamba na mgongano wa Arusha

si sahihi kabisa mkuu... siungi mkono asilani

my point ni pale unaposema usitumie biblia kwasababu huijui au hauna upeo au maono

i dont bother what sh!t makamba says because i dont expect anything from him... what wesee now is laizer arguing with a fool, people might not notice the difference

dhamira ya makamba ilikufa zamani sana, ukiniuliza mimi ntakwambia nimemjua makamba akiwa mkuu wa mkoa wa dar kama mdhalimu, he is not worth anyones time

Lakini kaka katibu wa chama kinachotawala kauli zake lazima tuzipe uzito, hata kama they sound really idiotic...nimegundua hilo baada ya kuona uzito wa cheo chake. Kwamba wenzake ktk hicho chama wamekaa kimya it says a lot about that party..it seems wanaafikiana na maneno na matendo yake..na hapa ndio haswa ninapotatizwa na hii kadhia nzima.

Huenda anajua analolifanya, lakini i doubt that. Vitendo vya ARusha na Rukwa vinataka kumake official kwamba hivi vyama viwili ni vyama vya kidini. Na anaye-propell na ku-fuel hii idea ni Makamba na trupu lake. Kama tumeshafikia ktk hiyo threshold basi the beginning of the end has already started.
 
pamoja sana BE, issue yangu ni laizer kumpick makamba.... i would have been happy kama angepick ccm

Katika politics - Katibu Mkuu wa Chama ndiye Chama!

Ni siku hizi unasikia Kiongozi wa Serikali e.g Waziri Mkuu anatoa "statement" fulani mbovu mbovu halafu baada ya siku kadhaa anasema "hayo yalikuwa maoni yangu na sio mtazamo wa Serikali"! Insane - right? Hatutegemei kuwe na tukio kama hili halafu Kiongozi Mkubwa wa Chama atoe maneno ya kipumbavu halafu tuyaone kama ni ya kwake binafsi, no never, by inference, huo ndiyo mtizamo wa Chama chake.
 
Makamba amesema yeye kama Mwislamu hatakiwi kuwa na uelewa wa undani ktk Quran kwa sababu yeye sio shekh!!!
Quran ililetwa kwa mashekh tu??
Maskini wee hata dini yake haielewi.

Uelewa wa ndani.
 
Makamba alitumia biblia kuonyesha kuwa hata biblia inakataza kutotii amri za watawala. Chadema ni kama nani hata wasitii amri za watawala na wasitii hata biblia yao?
 
Lakini kaka katibu wa chama kinachotawala kauli zake lazima tuzipe uzito, hata kama they sound really idiotic...nimegundua hilo baada ya kuona uzito wa cheo chake. Kwamba wenzake ktk hicho chama wamekaa kimya it says a lot about that party..it seems wanaafikiana na maneno na matendo yake..na hapa ndio haswa ninapotatizwa na hii kadhia nzima.

Huenda anajua analolifanya, lakini i doubt that. Vitendo vya ARusha na Rukwa vinataka kumake official kwamba hivi vyama viwili ni vyama vya kidini. Na anaye-propell na ku-fuel hii idea ni Makamba na trupu lake. Kama tumeshafikia ktk hiyo threshold basi the beginning of the end has already started.
mkuu... i apologize kama nimekwaza... ila mimi binafsi hata nikimkuta makamba anakata gogo pale feri sitamshangaa, ntanunua uhai ya mia tano au kwenda kabisa baharini kuchukua maji ya bahari kumpa achambie maana kwangu mimi simuoni kama ni mtu mwenye akili timamu... na hilo ndilo linanifanya niione the whole CCM CC as not serious

Yaani sijui hata nielezeje, ningekua Laiser ningempigia mkulu simu na kumtuma tu, makamba ni pain in the arse
 
Makamba alitumia biblia kuonyesha kuwa hata biblia inakataza kutotii amri za watawala. Chadema ni kama nani hata wasitii amri za watawala na wasitii hata biblia yao?
hebu nenda ukakae nae basi msaidiane kuinua viwango vya ufikiri na uelewa kwani Mungu alisema jisaidie naye akusaidie

sio unabung'aa bung'aa subuhi na mjomba wako yule... haipiti muda mko handeni kwa waganga
 
ivi huwa tunaombea uzee wenye busara na hekima mzee wa watu alishaamua kuishi dunia yake mwacheni huyo ajipumzikie taratibu
 
Makamba alitumia biblia kuonyesha kuwa hata biblia inakataza kutotii amri za watawala. Chadema ni kama nani hata wasitii amri za watawala na wasitii hata biblia yao?

Of course ktk hii ishu kuna some Islamists kama wewe na Mdondoaji na wengineo ambao ni wajibu wenu kujoin the bandwagon,na kumtetea msilamu yeyote yule no matter what he did..mnahitaji kupewa pole kila mnapopost maana when the dust has settled mtangashangaa wenzenu wanamalizia majumba yao Dubei..lol
 
Katika politics - Katibu Mkuu wa Chama ndiye Chama!

Ni siku hizi unasikia Kiongozi wa Serikali e.g Waziri Mkuu anatoa "statement" fulani mbovu mbovu halafu baada ya siku kadhaa anasema "hayo yalikuwa maoni yangu na sio mtazamo wa Serikali"! Insane - right? Hatutegemei kuwe na tukio kama hili halafu Kiongozi Mkubwa wa Chama atoe maneno ya kipumbavu halafu tuyaone kama ni ya kwake binafsi, no never, by inference, huo ndiyo mtizamo wa Chama chake.

Hiyo ni sawa kwa chama na serikali timamu... siyo ya CCM... FYI, tumeshasikia matamko kama nane kutoka chama na serikali

  1. Mwema
  2. Chagonja
  3. Vuai
  4. JK
  5. Makamba
  6. Pinda
  7. Mary Chatanda
  8. Lowassa
  9. Msekwa
  10. Wasirra
Kwangu mimi, kujibu CCM au Makamba ni sawa na kuanza kubishana na redio, tena kipindi cha efraim kibonde

Awashe simu, piga kwa mkuu (ana access sana tu, hata ikibidi via lowassa) then amalize mambo
 
haka kazee kaseme, ni wapi kwenye biblia inasema watu wauawe kama sio kuzeeka vibaya. lakini kauli zake hizi siku zinakuja atakaposimama katika mahakama kujibu tuhuma za kuhamasisha mauaji. kila jambo baya mshahara wake ni hapa hapa duniani
 
Makamba alitumia biblia kuonyesha kuwa hata biblia inakataza kutotii amri za watawala. Chadema ni kama nani hata wasitii amri za watawala na wasitii hata biblia yao?

Serikali ikikuambia ukambake mama yako utaitii? Wakati mwingine muwe mnatumia akili kidogo mlizopewa na Mungu, msikariri tu kwamba lazima kuitii Serikali!
 
Poor Makamba..kwa nini hatukuwatii wakoloni wetu wa Kiingereza,Kireno,Kijerumani na Kiarabu? Nazo si zilikuwa mamlaka toka kwa Mungu?
 
Haka kazee bana, kana mt*** wa ubongo. Kama tungekuwa tunatii kila mamlaka kwa assumption kwa zinatoka kwa Mungu hadi leo hii tungekuwa tunatawaliwa na wakoloni na pengine dunia ingekuwa tupu maana watawala dhalimu wote wangeendelea kutawala wao na vizazi vyao na kuendeleza u-tyranny wao.. ikiwemo mambo ya mauaji na dhulma zingine.

Sijui nikupe nini Bw. Abdulhim, umenikuna kwa uchambuzi wako.
 
Laana aliyopata Makamba ya kubaka mwanafunzi bado ingali inamtesa, na hii ya kutumia maandiko matakatifu kuhalalisha mauaji na kuwatukana viongozi wa dini ndiyo itammaliza kabisa, ngojeni muda si mrefu litamfika jambo kuuuuuuuuuuuubwa na kutisha katika maisha yake.
 
Alichikifanya Makamba kinapaswa kukemewa na dini zote si wakristo peke yao bali hata waislam wenzake,hata ingekua ni mkristo ametumia Quran takatifu kuwalaani chadema isingewapendeza waislam,hivyo Makamba kawakosea wananchi wote kwa ujumla na hivyo tunamtaka aombe radhi kwani huu ni uchochezi wa wazi.
 
mada ni nyingine na comment ni nyingine, hatuwaelewi, USHAURI Usisubiri mtu anzishe mada ya siasa halafu wewe u comment kwa dini. kama unataka za dini anzisha post yako ya dini tujimwaemwae kidini.
 
Makamba amjibu Askofu Laizer Send to a friend KATIBU Mkuu wa CCM, Yusuph Makamba, amesema kuwa na uelewa finyu wa biblia si jambo la ajabu kwake kwa sababu yeye siyo askofu.

Makamba aliliambia Mwananchi jana kwa simu, kuwa licha ya uelewa finyu wa biblia, lakini amekuwa akitoa vifungu hivyo kwenye biblia.
Makamba alisema hayo kufuatia, Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Thomas Laizer kusema Makamba ana uelewa finyu wa biblia.

Laizer alisema hayo juzi mjini Arusha wakati wa kuwaaga watu wawili waliofariki kwa kupigwa risasi na polisi katika maandamano na Chadema yaliyofanyika Januari 5 mwaka huu.

“ Ni kweli ninauelewa finyu wa biblia kwa sababu mimi siyo askofu, hata Qurani naweza kuwa siifahamu vizuri kwa sababu mimi siyo Sheikh, ndiyo maana kila ninachozungumza kuhusu dini hizo nakariri vifungu kutoka katika vitabu hivyo,” alisema. Makamba alisema alimweleza Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, kutoandamana kwa sababu serikali ilipiga marufuku maandamano hayo, wao wakapuuza.

Alimtaka Laizer kutoa tafsiri ya kitabu cha Warumi 13 sehemu ya kwanza hadi ya saba, inayosema kuwa kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu.
Alisema kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala anapinga chombo kilichowekwa na Mungu na watu wanaoasi hujiletea hukumu.

“ Kwa maana watawala hawatishi watu wanaotenda mema bali wale wanaotenda maovu, kama hupendi kuishi kwa kumwogopa mwenye mamlaka basi tenda mema naye atakusifu,” alisema.

“ Laizer anieleze ufinyu wangu katika uelewa wa biblia upo wapi ikilinganisha na tukio lililotokea mkoani Arusha

HIVI HUYU laizer ameshajibu hii. nAOMBA JIBU LAKE LIBANDIKWE HAPAQ WANA jf!
 
Back
Top Bottom