Maandishi kwenye magari, tumefika huku? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandishi kwenye magari, tumefika huku?

Discussion in 'Jamii Photos' started by emalau, Aug 10, 2012.

 1. e

  emalau JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,179
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Wadau jana mida ya saa moja jioni nilikuwa nikienda sehemu ya kupata moja moto moja baridi, nikiwa kwenye gari mbele yangu kuna basi moja lilikuwa mbele yangu, basi lenyewe bila kuficha ni la kampuni ya Mohamed classic.

  Kilichonikera kwenye hilo basi ni bango au mudguard iliyokuwa na maneno makubwa ya ALSHABAB. Mtu akiandika maneno kama yale maana yake ni kwamba anaunga mkono wanachofanya magaidi wa alshaabab au inawezekana ni mmoja wao. Nikajiuliza je huko njiani yanakopita hakuna hata wana usalama wa kuwauliza?

  Siku za nyuma pia niliwahi kuona pia pickup moja imeandikwa "Boko Haram".

  Nimejaribu kuweka picha ingawa haionekani vizuri maana ilikuwa usiku

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Mbona huku kwetu lipo limeandikwa Idd Amin?
   
 3. Magongo

  Magongo Member

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtu akisema kauli kama "nyoka huyo!!" Kawaida huwa hana maana mbaya.
  Yawezeka alitaka watu wawajue vizuri Al shababu ili waweze kuepukana nao.
   
 4. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,632
  Trophy Points: 280
  unganisha hii thread. mia
   
 5. U

  Uswe JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kuna lingine nililiona limeandikwa 'TUNAUZA BANGI'
   
 6. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2012
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  al shababy-maanake kijana mkakamavu sasa tatizo nini
   
 7. piper

  piper JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kuna hata timu ya mpira Uarabuni inaitwa jina hilo, nachoelewa majina hayo yana maana nzuri ila wayatumiyao for their evil motives ndo wanakosea
   
 8. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  al sababy ni neno la kawaida ata kuna team inaitwa hivo misri,maana yake ni wababe
   
 9. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  maneno kitu gani bana.......
  je ungekuta limechorwa hii kitu??

  [​IMG]
   
 10. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #10
  Aug 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kuna moja Kinyerezi kule limeandikwa Salman Rushdie
   
 11. Dodoma one

  Dodoma one JF-Expert Member

  #11
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 327
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Huku kwetu lipo limeandikwa UTAKULA ULIPO PELEKA MBOGA,Lingine kukua kwa kifaranga sio huruma ya mwewe.
   
 12. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #12
  Aug 10, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Jee ukikuta bus la tanga linaitwa ZAFANANA.ni la muarab kaoa mswahili waarab wenzake wakamtenga akaandika ma bus yake jina hilo
   
 13. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #13
  Aug 10, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  mwezi mtukufu huu unatutia nyege
   
 14. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #14
  Aug 10, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Mi nimeona moja limeandikwa al Boflo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. p

  papillon Senior Member

  #15
  Aug 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 122
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hahaaaa, nimecheka haswaaaa. Hakika zafanana!
   
 16. m

  markj JF-Expert Member

  #16
  Aug 10, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  lipo moja limeandikwa UKIONA KAPOTEA KAMTAFUTE MAbWEPANDE, lingine JUA KALI MASTER, lingine ZIMA KIPISI MGAMBO ANAKUJA, lingine NJAA AINA BAUNSA, lingine TUKIKUMBUKA TULIKO TOKA BASI MASAI ATACHANA CHUPI, lingine BUBU UNAMFOKEA KIZIWI? lingine WATOTO WA JANGWANI, lingine .......
   
 17. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #17
  Aug 10, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mkuu hebu fafanua zaidi, sijaelewa kipi kimefanana
   
 18. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #18
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Boflo kiboko yake chai
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #19
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Kiongozi mtihani usiku huu tumepumzika sheikh!
   
 20. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #20
  Aug 11, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,491
  Likes Received: 4,764
  Trophy Points: 280
  alifumba (tafsida) tu akini anamaaiha iwe mswahili au muarabu....K ZAFANANA
   
Loading...