Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,531
- 8,216
Wakati wananchi wanatishwa ulikuwa wapi ndugu?Ndio mnavyotisha wananchi na Mambo ya kitoto kama hayo..!!
😅
Wakati wananchi wanatishwa ulikuwa wapi ndugu?Ndio mnavyotisha wananchi na Mambo ya kitoto kama hayo..!!
Tupo hatua ya mwisho kupata kibali nduguMaandamano mema lakini sijui Kama mtapewa kibali.
Bei za vitu hazishikiki na pesa hakunaKanuni tumeshafata na tupo hatua ya mwisho ya kupata kibali, Pia wengi wa polisi wanaotoa kibali wamechoshwa na sarakasi za serikali zinazomuongezea mzigo kila siku mwananchi wa hali ya chini
Asante Kwa kunielewa, nimepata taarifa Sumbawanga watakutania karibu na stand pale kuanza maandamano kuelekea ofisi ya mkuu wa mkoaHapo nimekuelewa. Kama hoja ni hiyo Mimi nitakuunga mkono huku sumbawanga.
Kuna mashetani wa kibanaadam na wa kijini.wewe ni wa kibinaadam.Kaandamane na Bibi yako kijijini.Niseme Kwa kifupi kwamba, Ndugai alitoa mawazo kuhusu mikopo ya nchi na tozo kuwakilisha kilio cha wananchi wengi, ila nasikitika kwamba ccm wameshinikiza ajiuzuru Kwa maslahi ya chama Chao.
Jambo kama hilo ni hatari Kwa watu wengine wenye mawazo mbadala katika kusemea matatizo ya wananchi wa hali ya chini.
Hivyo watanzania ni vyema tukaandamana kumuunga mkono Mh Ndugai Kwa uthubutu ule wa kuweza kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini, Pia kuwapa moyo watu wengine wenye mawazo mbadala kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini
Hoja hapa sio Ndugai, Bali hoja ni kupinga sarakasi za serikali kuhusu mseto wa tozo na mikopo isiyoeleweka vinavyomuongezea mzigo wa maisha magumu kila siku mwananchi wa hali ya chiniMbona yeye alimshinikiza Prof. Assad aachishwe kazi kwa sababu ya Prof. kutumia uhuru wake binafsi wa kujieleza? Au mkuki huwa unauma kwa nguruwe tu.........??
Hoja hapa sio Ndugai Bali hoja ni kupinga sarakasi za serikali kuhusu mseto wa tozo na mikopo isiyoeleweka vinavyomuongezea mzigo wa maisha magumu kila siku mwananchi wa hali ya chiniNdugai alishiriki moja kwa moja kuhakikisha Magufuli anatawala nchi hii kwa ukatili na uovu mkubwa. Yeye ni sehemu ya utawala wa kiovu wa Magufuli. Kama ni maandamano Ndugai akae mbele na familia yake kisha tutamuunga mkono.
Acha unafiki.kwanini akumsema ndugai kabla hajaongelea mikopo na tozo?. Mama mnafiki na Hana moyo kwa kusamehe.Hivi kwa akili zako unafikiri kisa ni hiyo issue ya mikopo. Kuna migongano huko ilikua inaendelea
Msamaha hata haukua real aliomba kufunika jungu na mama alishamsoma kwahiyo wamesomana mwenye nguvu kashinda
Tunahitaji ushirikiano wako kama mtanzania mwenzetu ili tupaze sauti.Hapo Kongwa wala viwavijeshi waandamane vifua mbere kumpokea Ndungai.
Hatua ya mwisho ni ipi?Tupo hatua ya mwisho kupata kibali ndugu
Sijawai Cheka wanasiasa Pia sijawai kuwa mwanasiasa.Mlikuwa mnachekelea wapinzani wakiambiwa watapigwa, sasa ingieni barabarani mvune matokeo ya ule upuuzi mliokuwa mnausujudu.
Wewe hata alichosema Job hukukielewaNiseme Kwa kifupi kwamba, Ndugai alitoa mawazo kuhusu mikopo ya nchi na tozo kuwakilisha kilio cha wananchi wengi, ila nasikitika kwamba ccm wameshinikiza ajiuzuru Kwa maslahi ya chama Chao.
Jambo kama hilo ni hatari Kwa watu wengine wenye mawazo mbadala katika kusemea matatizo ya wananchi wa hali ya chini.
Hivyo watanzania ni vyema tukaandamana kumuunga mkono Mh Ndugai Kwa uthubutu ule wa kuweza kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini, Pia kuwapa moyo watu wengine wenye mawazo mbadala kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini
Kwa wanaoelewa hii nchi iko kwenye hali ya hatari.Ni mjinga na mbumbumbu tu anayeweza kufurahia kujiuzulu kwa Ndugai.This is a signal kwamba Samia kashindwa kuendesha nchi.Yajayo yanafurahisha.
Asante Kwa mawazo yako yenye kujengaNi mjinga na mbumbumbu tu anayeweza kufurahia kujiuzulu kwa Ndugai.This is a signal kwamba Samia kashindwa kuendesha nchi.Yajayo yanafurahisha.
huna akili.Ndio maagizo mliyopewa na mabwana zenu kudhihaki watu?
Sijawai Cheka wanasiasa Pia sijawai kuwa mwanasiasa.
Maandamano hayana uhusiano na chama chochote cha siasa
Nafikiri unaleta mzaha kwenye Mambo serious.Wakati wananchi wanatishwa ulikuwa wapi ndugu?
[emoji28]