1 ) sikuzote watu wanapoandama inamaana wanaonyesha / dhihirisha hisia zao kwa jambo fulani ...
2) Maandamano hayana tija yanapomalizika bila ya itifaki yeyote ... maswali mliyonayo yanapokosa majibu etcl ..
3)si mtetei nchimbi najaribu kusema ukweli msiotaka kusikia baadhi yenu waandishi wamekosa adabu kwa kumfukuza kiongozi wa serikali ambaye angekuwa na majibu ya maswali yao ... end of the day wamerudi makwao na maswali yasio kuwa na majibu
ninaamini kabisa hata angeenda kiongozi wa nchi yetu watu wangezomea tu
Huyu hapa wakati anaingia uwanjani
Hapa akiwa tayari katimuliwa anaondoka kwa aibu kichwa chini
Weee kuwa na adabu...shemeji yako huyo ala!Sister hongera naomba namba yako ya cm
1. Walipoandaa maandamano yao walikuwa na malengo/maazimio na Nchimbi na serikali yake hawakuhitajika kuleta ujumbe ama maelezo yoyote kama sehemu ya maazimio yao,utamshirikishaje muuaji katika mipango ya ndugu yako aliyeuawa?
2. Itifaki ya maandamano/lengo/tija ya maandamano wanaoijua ni wale waliyoyaandaa..sio lazima unapoaandaa maandamano uandae maswali yatakayohitaji kujibiwa wakati wa maandamano
3.Hayo ya kukosa adabu waandishi ndio unayaona, mbona hauoni kama Nchimbi na Serikali yake wamekosa adabu kwa kutokuchua hatua kali kwa wauaji wa mwandishi kinyume na sheria za nchi na pia kutokupeleka uwakilishi wa serikali katika mazishi yake?
Kwa nini Nchimbi kavaa nguo nyeupe? Ana usafi gani wakati anaongoza team ya 'wanywa damu ya watanzania? Daudi Mwangosi yuko ardhini, RPC wa Iringa yuko ofisini, RPC wa Morogoro yuko ofisini, Kule Mara nako watu wako ofisini.
Ujasiri wa kuvaa nguo nyeupe kwenye mkusanyiko wa majinzi kama huo kautoa wapi kama si dhahaka kwa watanzania?
Walichokionyesha Leo Wanahabari wetu katika Viwanja vya Jangwani kukataa kwao kwa Kuwepo Waziri Muhusika kupokea Hoja zao ni Udhaifu, Ujinga na Akili za Kitoto, Inaelekea wamefanya Maandamano hayo bila kujua Malengo na Makusudi ya kweli ya kufanya hivyo. Kwa hiyo inayakinisha kuwa wengi wao walikuwa hapo walikuwa Bendera fuata Upe[o!
waziri nchimbi kakataliwa na wandishi wa habari leo jangwani na kuondoka
Utakuwa ni mgeni Tanzania!, hapo wanafanya mipango ya kula kodi zetu alafu atawekwa huru. Umesahau Zombe na wenzake walioua wafanyabihashara? siyo tu waliojiwa bali walisafishwa walitakaswa japo hawatakati hata rohoni mwao wenyewe wanajua hivyo. Mifano ni mingi mno ya aina hii!.Polisi aliyefanya uhalifu huo, tayari amekwisha kamatwa na anahojiwa kwa hatua zaidi za kisheria. Kwani ulipenda awajibishwe vipi zaidi ya hivyo?????????